Warioba: Nilimwambia Nchimbi CCM inakufa

Warioba: Nilimwambia Nchimbi CCM inakufa

CCM ilikwishakufa kitambo. Limebakia genge la wahuni wauaji, watekaji, wanaojiita CCM.
Fikiria mtu mmoja, anaamua hawala wakeawe mwenyekiti, makamu, rais, na inakuwa.
Duh!..
 
Nchi inaendeshwa kienyeji enyeji hakuna kufuata sheria wala katiba hata hii mbovu kiaina nayo wameitupa kule
Ccm ilikufa kitambo wamebaki wahuni na dola!
 
Huyu mzee sio mnafiki amesema wazi alikua anawasiliana na Nchimbi simple hana mambo mengi sana mzee wa watu
 
1000024076.jpg
 
CCM ni kama maiti ya kijaluo! inaweza kaa mochuari hata miaka 10 ikisubiri wana nzengo wajitafute! huku ikiendelea kupukutisha pato la familia!
 
So what mzee alikuwa chawa wa Nyerere akiwapiga short wengine

USSR

vijana kama nyie mnachango mdogo katika taifa hujui kwamba Jaji wrioba aliwahi kutofautiana na Nyerere mpaka akajiuzulu
 
Back
Top Bottom