ngorope
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 1,112
- 243
sikumbuki katika nchi hii kuwepo tume yoyote ya serikali ya kupata maoni ya wananchi kushinikiza serikali kukubali maoni yake. sikuamini masikio yangu baada ya kumsikia mzee warioba akisema yeye na tume yake wataenda kwa wananchi kupinga bmk. hatua kama hiyo ni kinyume na maadili na inaelekea huyu mzee hakua na nia njema. bmk liko kisheria na hata mahakama imethibitisha. hatua ya warioba kwanza inaweza kua ni uvunjaji wa sheria na inaweza kwa kiasi kikubwa kushusha hadhi yake.
mawazo yako mgando ni tume kukubali vimemo vya watawala badala ya wananchi