Warioba na Tume yake wajiunga na Upinzani

Warioba na Tume yake wajiunga na Upinzani

Namjua mpaka mama muuza anayemuuzia Warioba ile kitu iliyohalalishwa na chadema.
Ndege wafananao huruka pamoja. Na wapenda gongo wana akili na mitazamo inayofanana.
Kwa ujumla mimi namdharaaaaaaaaaauuuuuuu

Tatizo hujitambui unawaza kwa kutumia makilio na tumbo. Hata wazazi wako watakua wanajuta kua na toto jinga na zuzu kama wewe pole sana.
 
Kwanza anayepinga mawazo ya huyu mzee kwanza ajiulize huyu kafanya mangapi kwenye nchi hii ya tz,then ajiulize huyu mzee anaheshimika kiasi gan? utamfananisha na nani ndani ya ccm?kwanza no nadra sana huyu mzee kumsikia akibwabwaja hovyo, kama mukama na mwenzie makamba hawajitambui.
 
sikumbuki katika nchi hii kuwepo tume yoyote ya serikali ya kupata maoni ya wananchi kushinikiza serikali kukubali maoni yake. sikuamini masikio yangu baada ya kumsikia mzee warioba akisema yeye na tume yake wataenda kwa wananchi kupinga bmk. hatua kama hiyo ni kinyume na maadili na inaelekea huyu mzee hakua na nia njema. bmk liko kisheria na hata mahakama imethibitisha. hatua ya warioba kwanza inaweza kua ni uvunjaji wa sheria na inaweza kwa kiasi kikubwa kushusha hadhi yake.

Ndio ume andika matapishi gani hapa?
 
Hii ndio dawa HALISI kwa interahamwe
 
nyinyi watanzania hamjui warioba huyu mzee hajaanza leo toka alipofariki mw nyerere yeye akaanza kuikomandi serikali kama yeye ndio nyerere.siku moja tulikua air pot dodoma mwalim alikuja kwenye mchakato wa kumpata rais mwaka 1995 akamuuliza vipi joseph mbona hatuonani alifurahi sana inaonekana alikuwa tofauti na mwalim

Ndo umeandika point mwenyewe unaona!!!
 
sikumbuki katika nchi hii kuwepo tume yoyote ya serikali ya kupata maoni ya wananchi kushinikiza serikali kukubali maoni yake. sikuamini masikio yangu baada ya kumsikia mzee warioba akisema yeye na tume yake wataenda kwa wananchi kupinga bmk. hatua kama hiyo ni kinyume na maadili na inaelekea huyu mzee hakua na nia njema. bmk liko kisheria na hata mahakama imethibitisha. hatua ya warioba kwanza inaweza kua ni uvunjaji wa sheria na inaweza kwa kiasi kikubwa kushusha hadhi yake.

...ebu ficha aibu yako wewe,ivi uhuni na ujangili unaofanya na ccm chini ya sheria uchwara iliyopingwa tangu day one kwa hoja zenye mantiki,leo watu wanasimama kupinga upuuzi huu tena kwa manufaa ya wananchi bado unazungumza eti ni kinyume na sheria..?!mbona hao wahuni huwasemi...
 
Kwanza anayepinga mawazo ya huyu mzee kwanza ajiulize huyu kafanya mangapi kwenye nchi hii ya tz,then ajiulize huyu mzee anaheshimika kiasi gan? utamfananisha na nani ndani ya ccm?kwanza no nadra sana huyu mzee kumsikia akibwabwaja hovyo, kama mukama na mwenzie makamba hawajitambui.

Mzee warioba namheshimu sana, sizungumzik itikadi, ila ni mtu makini, mzalendo na pia Rais alipo wateua waunde tume ile ya kukusanya maoni naamini alitumia busara na alipata pia ushauri wa wadau wake. Leo mzee warioba amedhihirisha kwamba ameona anadhalilishwa kwa kazi ngumu waliyofanya ya kuzunguka maeneo mbalimbali ya nchi kukusanya maoni, kisha wakakaaa chini kuyaandika na kuyaweka mbele ya bunge, ila chakushangaza yakapuuzwa. Mzee warioba ni mtu makini na mimi binafsi naungana naye sana. Maana alichofanya ni kazi safi isiyodhihakiwa. #team_warioba
 
Mbowe akamatwe kwakauli yake aloitoa itv kuwa ataingia msituni
 
nyinyi watanzania hamjui warioba huyu mzee hajaanza leo toka alipofariki mw nyerere yeye akaanza kuikomandi serikali kama yeye ndio nyerere.siku moja tulikua air pot dodoma mwalim alikuja kwenye mchakato wa kumpata rais mwaka 1995 akamuuliza vipi joseph mbona hatuonani alifurahi sana inaonekana alikuwa tofauti na mwalim

Unataka kusema hata JK alikuwa hamjui ...?
 
Aminangalo hebu tuambie watz kuzeeka vibaya kwa huyu mzee no kupi?kama kweli yanayofanywa na viongozi wetu no sahihi,basi na mungu awalaani ninyi mnaowatetea na wao na vizazi vyenu nyote amin.
 
Soma judgement utaelewa maana yake kama hutaelewa uomba usaidizi.
Nakupa summary ya judgement[
Court Delivers a Judgment on Matter Concerning Elections of Tanzania Representatives to EALA
East African Court of Justice Arusha, 26th September 2014: The First Instance Division today delivered a judgment on a matter concerning the election of Tanzania representatives to the East African Legislative Assembly (EALA). The case was filed by Anthony Calist Komu, a member of the political party Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) against the Attorney General of the United Republic of Tanzania. The Applicant who unsuccessfully contested for EALA membership was challenging the process of the said elections on grounds that it violated Article 50(1) of the EAC Treaty.
The Applicant prayed for declarations that, (a) the election for members of the East African Legislative Assembly conducted by the Parliament of Tanzania on 17/4/2012 was in flagrant violation of Articles 50 of the Treaty for the Establishment of the East African Community (b) a declaration that in obtaining the representatives from Opposition Political Parties and Tanzania Mainland Article 50 of the same Treaty envisages, inter alia, the observance and compliance of the principal of proportional representation (c) order prohibiting the Parliament of Tanzania from further violation of Article 50 of the Treaty by not complying with the principal of proportional representation and allowing candidates from political parties which are not represented in the national assembly.

The Court in delivering the judgment declaredthat to the extent that the election for members of the EALA conducted by the National Assembly of the United Republic of Tanzania on 17/4/2012 was premised on only political parties as the sole grouping as opposed to all other groups envisaged in Article 50(1) of the Treaty, then the National Assembly of the United Republic of Tanzania violated the said Article. Secondly, the Court made a declaration that by allowing a political party without representation in the National Assembly (Tanzania Democratic Alliance -TADEA) to field a candidate in the election of 17/4/2012 for representatives to the EALA, then the National Assembly of Tanzania was in violation of Article 50(1) of the Treaty. Finally the Court ordered the Applicant be granted a quarter costs of the case for having partly succeeded in his case.

For Editors
Article 50 (1) of the Treaty provides that; The National Assembly of each Partner State shall elect, not from among its members, nine member s of the Assembly, who shall represent as much as it is feasible, the various political parties represented in the National Assembly, shades of opinion, gender and other special interest groups in that Partner State, in a accordance with such procedure a s the National Assembly of each Partner State may determine.

ENDS-
This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it

This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it

Sasa hii judgment ina uhusiano gani na mada?
 
Kukataa maoni ya wananchi ndio maadili?
sikumbuki katika nchi hii kuwepo tume yoyote ya serikali ya kupata maoni ya wananchi kushinikiza serikali kukubali maoni yake. sikuamini masikio yangu baada ya kumsikia mzee warioba akisema yeye na tume yake wataenda kwa wananchi kupinga bmk. hatua kama hiyo ni kinyume na maadili na inaelekea huyu mzee hakua na nia njema. bmk liko kisheria na hata mahakama imethibitisha. hatua ya warioba kwanza inaweza kua ni uvunjaji wa sheria na inaweza kwa kiasi kikubwa kushusha hadhi yake.
 
Warioba na Tume yake ni wana UKAWA!
 
kwa ile rasimu ya sita, chenge na ccm wachache, kuiona kuwa ni mawazo yao haitaji uende darasani, hivi kweli wana mapenzi mema na nchi hao? hakika naanza ona TZ inakuja kuharibika.
 
warioba ni mzalendo wa ukweli anayetakiwa kuheshimiwa ndani na nje ya nchi ..nampongeza sana warioba kwa kuungana na UKAWA kutetea maoni ya wananchi ambayo hawa wahuni wa ccm wamechakachua polisi lazma watambue uonevu una mwisho wake .WAKATI MWINGINE HAKI HAILETWI BILA KUIDAI njia pekee ya ni maandamano .
 
sikumbuki katika nchi hii kuwepo tume yoyote ya serikali ya kupata maoni ya wananchi kushinikiza serikali kukubali maoni yake. sikuamini masikio yangu baada ya kumsikia mzee warioba akisema yeye na tume yake wataenda kwa wananchi kupinga bmk. hatua kama hiyo ni kinyume na maadili na inaelekea huyu mzee hakua na nia njema. bmk liko kisheria na hata mahakama imethibitisha. hatua ya warioba kwanza inaweza kua ni uvunjaji wa sheria na inaweza kwa kiasi kikubwa kushusha hadhi yake.

Nyinyi ndio wale munaojitekenya wenyewe halaf mukaruka wenyewe. Warioba hakusema anapinga bmk, alisema yeye anapanga kurudi kwa wananchi kwenda kuiunga mkono rasimu iliyosheheni maoni yao lakin ccm wakaichangamkia kwa maslahi ya koo zao. Lakini pia wananchi waikatae katiba iliyopendekezwa na ccm ambayo ccm walienda nayo bungeni hata kabla ya bmk kuanza.
 
nyinyi watanzania
hamjui warioba huyu mzee hajaanza leo toka alipofariki mw nyerere yeye
akaanza kuikomandi serikali kama yeye ndio nyerere.siku moja tulikua air
pot dodoma mwalim alikuja kwenye mchakato wa kumpata rais mwaka 1995
akamuuliza vipi joseph mbona hatuonani alifurahi sana inaonekana alikuwa
tofauti na mwalim

Sawa,
Sasa ebu tueleze hii hadithi yako inafundisha nini?
 
Back
Top Bottom