Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,944
- 43,607
Nawashanga Lema, Sugu,Mnyika na Mbowe kumshangilia warioba wakati alitaka kuwanyima Ubunge Kwa kuweka kigezo cha Shahada ili kuwa Mbunge!
Chenge anatakiwa kupongezwa na Chadema maana kawaokoa kwa kuondoa kigezo cha Shahada na kuweka kujua kusoma na kuandika!
Kama Rasimu ya warioba ingepitishwa kama ilivyo basi Mbowe,Mnyika,Sugu na Lema mwaka huu ndio ungekuwa wa Mwisho kwa wao kuwa wabunge!
Ni vyema chadema wakampongeza chenge na kamati yake!