mungasulwa
Member
- Feb 17, 2012
- 48
- 14
... hapa jamaa aliyetoroka Gombe NP sijui atariakti vipi! Tusubiri tione.
hah ha haaaa ...mbavu zangu!!!
... hapa jamaa aliyetoroka Gombe NP sijui atariakti vipi! Tusubiri tione.
sikumbuki katika nchi hii kuwepo tume yoyote ya serikali ya kupata maoni ya wananchi kushinikiza serikali kukubali maoni yake. sikuamini masikio yangu baada ya kumsikia mzee warioba akisema yeye na tume yake wataenda kwa wananchi kupinga bmk. hatua kama hiyo ni kinyume na maadili na inaelekea huyu mzee hakua na nia njema. bmk liko kisheria na hata mahakama imethibitisha. hatua ya warioba kwanza inaweza kua ni uvunjaji wa sheria na inaweza kwa kiasi kikubwa kushusha hadhi yake.

Yaani nakubaliana na wewe, kwa maana amekuwa msimamizi wa mkubwa wake aliyemtuma! Kwani yeye aliambiwa baada ya kukamilisha kazi yake aifuatilie kwa nyuma wanaikamilishaje. Halafu kibaya zaidi maneno ya watu kama yeye unayasikia wakati mwenye nyumba hayupo. Wanaashiria nini? Sina Imani naye kabisa na hata ninahisi haya maoni yanayopigiwa kelele kila kona inawezekana yalikuwa forged, ndiyo maana hata hawataki kuachia nafasi hata kidogo kwa vile THEIR GOLDEN CHANCE haitapatikana tena kwa NIA waliokuwanayo. Yaani nimekuwa Disappointed kuliko kawaida. Na hofu yangu ni kama watu tuliowaamini kama hawa walikuwa na nia mbili, nani wa kumwamini tena. Huyu Mzee angekuwa sahihi iwapo angekuwa na Utambuzi japo kidogo kama anachoshabikia kitaiingiza nchi matatizoni. Au ni kwa vile ameshaishi asilimia 75 ya maisha yake atake kuwaharibia wajukuu? Wananchi aliowaendea wanaweza kuwa sahihi na hata sisi tusiofikiwa pia tuko sahihi. Asipende kuongea kwa majumuisho.
Mkuu umenena, wana CCM tunajidhslilisha wenyewe hadi watu wanajiuliza hivi chama kinamsimamia nani haswa?
... hapa jamaa aliyetoroka Gombe NP sijui atariakti vipi! Tusubiri tione.
Mkuu mtu yeyote anaweza kuwa rais wa nchi hii, alimradi sera zinazotekelezeka , itikadi pamoja na maadili yame wekwa wazi.Wewe ni mmoja wa wanaccm makini humu jamvini,nimekupima pia kwa kuepuka mijadala ya makundi ya urais kwa kuchafuana hadharani
Kwa sasa ni mwananchi wa kawaida anayetetea nchi Yake, tume mlishaivunja longtime nyie kina 6.
Sasa nini tatizo??