MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 761
Mleta mada, nimesoma bandiko lako lkn sikumaliza, uneishia kumtuhumu Warioba kama CCM wanavyofanya. Umeshindwa kujenga hoja, mbaya zaidi, umeshindwa kujibu hoja za Warioba hata moja! Warioba, ameshajibu hoja zenu zote, na akauliza maswali saba ambayo si Jk, Pinda, Shein, wala Dk Migiro na wajumbe wote wa BLMK ambaye amejibu hata swali lake moja.
Unajua neno Ilala asili yake ni nchi gani?Limetokea Malawi lakini mbona tunalitumia kama jina la moja wapo za Wilaya za Dar esa salaam
Kisoda Hakuna aliyesema Tume iwahoji watu wote Acha Akili Za Pumba! mnadanganya watu tu!
Watoe HESABU SAHIHI KWA HAO HAO WALIOHOJIWA BAASI!
Walihoji Watu 371000 wote kama Muundo wa Muungano ungekuwa ni Tatizo la KIKATIBA wangeuzungumzia tuuu, UHURU huo walikuwa nao NDIO kuwa Hawakuuzungumzia Ina Maana Kwao Haukuwa Jambo la Kusumbua Akili AMA Kikwazo Kwao !
Iweje Leo watu 17000 waliotoka Serikali 3 Kati ya 371000 na zaidi ULIOWAHOJI UTWAMBIE ETI NI ASILIMIA 60% HESABU ZA KIMWINYI hizo kama alilosema NYERERE 1+1=3
Unajua watanzania ndivyo tulivyo. Mtu akizungumza ukweli anaonekana mbaya. Hivi Warioba kaongea nini kibayaaaaaaaa jamani. Hivi kama usemavyo mbona hata akina NAPE, Le mutuzi na huyu diwani hawajibu hoja zake ipasavyo? Wajibu waache kuleta porojo hapa jamviniKabla hujaandika yote hayo ungejibu kwanza maswali yake saba vinginevyo usitafute huruma ?
Warioba na wajumbe wenzake wa tume wameleta maoni na mapendekezo ya wananchi. Aliyewatuma ni rais. Acha kupiga porojo wenzako wamefanya utafiti kisayansi. Hao waunguja ulikutana nao wapi na unatakwimu zozote kuthibitisha hilo?Nimekaa na nimetafakari hasa ni kitu gani huyu warioba anakitafuta na nimekuja kugundua kuwa anachokitaka hasa si chochote ila ni kuvunja muungano.Ukifuatilia kwa makini kazi yake rasmi ilishakwisha wakati wa tume ilipowasilisha ripoti kwa rais lakini ni kwa nini yeye amekuwa ndo kihelehele haswa kushinda wengine kutaka kujibishana na kila mtanzania dhidi ya upotofu wa mawazo yake na kutaka kila mtanzania afikiri kama anavyofikiri yeye!! hii inamaanisha kuwa akiwaambia watanzania kuwa bangi ni nzuri tu iruhusiwe basi anataka wazazi wote wamkubalie na atakaye pingana naye basi ujue ni ugomvi!! ndio mambo anayotaka kutuletea huyu mzee hapa kwetu na hizi pilika pilika zake za kutaka kuvunja muungano sa sijui ana ndoto za kugombea urais baadae kwa hii publicity stunt anayoifanya sasa??
Anakasirika sana pale anapoambiwa kuwa mawazo yake siyo yale ya watz kwani kwenye ripoti inaonyesha kuwa zaidi ya 60% ya watz wote waliopiga kura hawakuzungumzia suala la muungano hii inamaanisha kuwa walilidhika nao na ni % chache tu waliotaka serkali 3 na ya mkataba sasa hawa waliowengi ambao wameridhika na mfumo uliopo mbona unawalishia maneno ambayo hawakuyasema??
Kwa kweli huyu mzee mi ananichefua kabisa na hizi itikadi zake wakati mwingine nasikia tetesi kuwa eti anataka salim awe ndo rais wa muungano baada ya kukosa mwaka 85 kiti hicho kwa hiyo anataka kumpa kiti hicho kupitia mlango wa nyuma,maajabu ya musa haya!!
Pia anatabia ya kuwasemea waznzbr mi nachotaka kumwambia kuwa mi ni mbara lakini nimekaa znznbr miaka 6 na nimerudi mwaka jana tu nataka nimweleweshe kuwa waznzbr ambao hasa ni waunguja wao wanataka muundo huu uliopo bali uboreshwe tu hao anaowasema yeye wanataka serkali 3 ni wapemba wa kwao huko pemba ila wanaishi pale znzbr na ndio wanaopiga makelele na ndio ambao kwao ni masikini kushinda wote,na umasikini wao haukusababishwa na bara huku bali ni wakihistoria kwani wao waliyakataa mapinduzi na adhabu yao karume aliyowapa ndio hiyo ya kutokuwaendeleza sasa kikwete kaja kawapa rais mpemba,makamu wa rais,umeme labda wataridhika lakini wapi!! kumbe ni kweli yale maneno yasemwayo na waunguja kuwa hata umtendee wema mpemba kiasi gani hana shukrani.
Kwa hiyo warioba aache polojo zake waunguja ambao ni wengi na ambao asili yao ni bara wanataka muundo huu uendelee ila uboreshwe tu bado wanawataka ndugu zao wa bara hao wapemba kwanza wengi wao walishaukana uafrka na wanajiconsider wao ni waarabu ndo wanaotaka kujitenga wajiunge na nchi za kiarabu kwa hiyo warioba dont be pawn in a chess game which you dont even know father.
Confused!Utanganyika utakupatia tonge? Tanganyika ni jina tu kwa taarifa yako Tanganyika ni jina la kimanyema na wamanyema asili yao Congo kwa hiyo Tanganyika ni jina la Kikongo ndiyo maana kule Kigoma waliongoza kwa kudai Serikali tatu
Nimemleta ili wana JF walio Waislaam waelewe jinsi Waislaam wanavyotazamwa kwa mtazamo upi na Wakristo waliopo madarakani.
Ikiwa William Lukuvi ana hofu na Zanzibar kwa kuwa tu ni Waislaam, vipi wa hapa Tanganyika? hana hofu nao?
Mtu mzima kama Warioba nakuja na hoja kama vile hakwenda shule eti:-
-Wewe ni mtanzania ila kama sio mzanzibar huwezi kupata aridhi znz pia huwezi kupiga kura znz
Ila kwao wakija tanganyika ni kinyume chake
-Takwimu ni za kweli ni kwanini kwa nyalali na kwa kisanga hawakusema twakimu ni za uwongo?
-anasema kipindi cha nyuma wanajeshi walikuwa choka mbaya lakin hawakufikir kupindua nchi kwa hiyo hoja ya kupindua nchi kwa sababu ya serikal tatu haitakuwa na fedha ya kuwalipa haina mashiko
-Wasizungumzie takwimu au gharama watafute majibu ya hoja na maswali
-Warioba amesema mwalimu akirudi ghafla akakuta maraisi wawili wanapigiwa mizinga 21 angeshangaa sana"
Mtu kama wewe unaweza ukawa unafiri kwa kutumia 0655, mwambie aliyekutuma tunahitaji Tanganyika yetu hakuna Mzanzibar anayejiita Mtanzania, hafu bado unataka sisi Watanganyika yukae kimya
Kwa hili swali lako linajibika hii mbona ipo kwenye moja ya kero za muungano na linaweza kutafutiwa ufumbuzi,muwaonee huruma wenzenu wa pemba jamani waliopoteza ujana wao kwenye nchi ambayo si yao siku muungano ukivunjika sisi tutawafukuza na rais kahakikisha hilo huoni tutawatia umasikini jamani maana kauri ya rais si ombi ni amri,cha ajabu waunguja wanaoutaka muungano hajajenga bara bali wale wapemba wasioutaka ndo kama kwao sasa hivi hawa kweli wana akili sawasawa si wako sawa na mtu anayekata tawi au kuti alilokalia?? walioba zinduka!! WHY THAT MY FATHER?? WE GAVE EVERYTHING U NEED NOW UR TURNCOAT!!
Mtu mzima kama Warioba nakuja na hoja kama vile hakwenda shule eti:-
-Wewe ni mtanzania ila kama sio mzanzibar huwezi kupata aridhi znz pia huwezi kupiga kura znz
Ila kwao wakija tanganyika ni kinyume chake
-Takwimu ni za kweli ni kwanini kwa nyalali na kwa kisanga hawakusema twakimu ni za uwongo?
-anasema kipindi cha nyuma wanajeshi walikuwa choka mbaya lakin hawakufikir kupindua nchi kwa hiyo hoja ya kupindua nchi kwa sababu ya serikal tatu haitakuwa na fedha ya kuwalipa haina mashiko
-Wasizungumzie takwimu au gharama watafute majibu ya hoja na maswali
-Warioba amesema mwalimu akirudi ghafla akakuta maraisi wawili wanapigiwa mizinga 21 angeshangaa sana"
Kwa hili swali lako linajibika hii mbona ipo kwenye moja ya kero za muungano na linaweza kutafutiwa ufumbuzi,muwaonee huruma wenzenu wa pemba jamani waliopoteza ujana wao kwenye nchi ambayo si yao siku muungano ukivunjika sisi tutawafukuza na rais kahakikisha hilo huoni tutawatia umasikini jamani maana kauri ya rais si ombi ni amri,cha ajabu waunguja wanaoutaka muungano hajajenga bara bali wale wapemba wasioutaka ndo kama kwao sasa hivi hawa kweli wana akili sawasawa si wako sawa na mtu anayekata tawi au kuti alilokalia?? walioba zinduka!! WHY THAT MY FATHER?? WE GAVE EVERYTHING U NEED NOW UR TURNCOAT!!
Waliopo madarakani au waliopo CCM?
Bado kitambo kidogo mtaelewa tu waasisi wa siasa za chuki za kidini na kikanda ni wahttps://www.jamiiforums.com/katiba-mpya/649641-warioba-anataka-nini-hasa-20.html#post9399582kina nani.
Mlikuwa mnajifanya kupiga kelele ya mfumo kristo....ngoja ndo mtauelewa ndani ya serikali yenu ya CCM.
Nimeshakwambia tena, kamwambie JK wakati mkipata kikombe cha chai kwamba Lukuvi aondolewe. kama hata wewe bibi wa Kariakoo unashindwa kusemezana na JK na akakusikia itakuwa kelele za JF?