Warioba Anataka Nini Hasa?

Warioba Anataka Nini Hasa?

Joined
Apr 27, 2006
Posts
26,584
Reaction score
10,464
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System
 
Nilivyomuelewa Warioba ni kuwa anataka Serikali ya Muungano ilazimishe amma Zanzibar wafute Katiba yao kwa kuwa inawapa Uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao amma wapewe Uhuru kamili.

Hapo sasa!

Wewe hofu yako ni nini> kuwa Zanzibar itakuwa nchi ya Kiislaam kama William Lukuvi na Mzee Mwanakijiji?
 
Last edited by a moderator:
Warioba yeye lengo lake ni kuvunja nchi halafu matakwa yao yaweze kutimia kadri wanavyotaka na jamaa zake japo siamini kama atafanikiwa katika hili huwezi kusema maoni ya wananchi halafu ukaendelea kuwasemea watu wenye maoni yao.

huyu mzee anachoshangaza ni kitendo cha kusema watanzania wanataka serikali tatu wakati wapo wanataka serikali mbili na wengine moja lakini pia wapo wanataka mkataba yeye hili hitimisho la serikali tatu kalito wapi.
 
Anachotaka ni majibu ya maswali yake? jibu hoja zake acha kulialia?
 
Nilivyomuelewa Warioba ni kuwa anataka Serikali ya Muungano ilazimishe amma Zanzibar wafute Katiba yao kwa kuwa inawapa Uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao amma wapewe Uhuru kamili.

Hapo sasa!

Wewe hofu yako ni nini> kuwa Zanzibar itakuwa nchi ya Kiislaam kama William Lukuvi na Mzee Mwanakijiji?

Mweh.. nimekukaa rohoni mwenyewe... I miss you too!
 
Mimi warioba hanishangazi sana siku zote ni mtu wa hila na kupenda sifa bandia....muulize mwinyi na wassira wanamjua warioba
Ndiyo maana hata serikali ilimshinda wakati akiwa waziri mkuu mpaka akajiudhuru wadhifa wake ni miongoni mwa watu wa hovyo kabisa wanaopenda kulazimisha mambo hata kama hayana maana yapite.
 
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System

Anachotaka ni majibu ya maswali yake saba sasa anza kujibu acha kuweseka?
 
Anachotaka ni majibu ya maswali yake? jibu hoja zake acha kulialia?
Hoja ipi au swali lipi la warioba linatafuta majibu mbona maswali yake yote yanamajibu ya kiasili na mengine yote yamejibiwa bungeni unakurupuka bila hata kujua unaongea nini.
 
amealikwa kwenye kipindi kama viongozi wengine....kwanini iwe nongwa kwake?,prof baregu alikuwa ijumaa kwenye kipima joto,prof kabudi na baadhi ya wajumbe walishawahi kuwa kwenye general on monday.tatizo ccm wanataka kusikia mambo wanayoyapenda.acheni mh.warioba ametupa darsa muruwa.nendeni na nyie amkatoe hoja zenu.
 
:A S-frusty:Tume ya Warioba sio Warioba kama Warioba,huyo ni CCM gwiji na amewachana na kuwavua nguo zenu za ukondoo ,ukweli unauma na mtazidi kuumwa na dawa hakuna ,na wapo wengi kama Warioba ila wakati haujafika wa wao kujitokeza na siku wakati ukifika kutakuwa hakuna sumile.

Kubwa lijalo ni kwa akina Warioba types kuwarudishia kadi zenu za UCCM kwani CCM haibebeki tena ,ni mzigo kwa kila mpenda maendeleo ya nchi hii.

Wapenda maendeleo wengi wamekwisha ona kuwa sauti zao zinabanwa na wanaojitwika UCCM wamekuwa wakivuruga kila kona hadi kufikia hapa ilipo tayari dira ya CCM imeshavugwa na haina muelekeo tena ,akioza mmoja wameoza wote Nyie warithi wa uongozi ndio mnaoipeleka CCM kule ambako Mwali Nyerere ahkutaka iende huko (REF: za AZIMIO LA ARUSHA).

Huu ni wakati ambao wale wapenda maendeleo na wenye fikra za kuijenga nchi hii kiuzalendo hawafai tena kuwemo na kubakia CCM watadumaa tu na kufa na fikra zao vifuani ,chachu iliyopo ni wao kuachana na CCM na kuhamia kwengine liwalo na liwe ila huko fikra zao zitasikika na kufanyiwa kazi na sio ndani ya CCM.:suspicious:
 
- Kuna swali moja linanitatanisha sana kwamba exactly Warioba anachokitaka hasa ni nini? Ameteuliwa kuongoza tume ya kukusanya maoni na sio siri badala ya kukusanya maoni ametengeza maoni na kuwa shujaa wa kutupasua Taifa, sasa ameshakabidhi maoni lakini kila siku kwenye vyombo vya habari kushindana na wasiotaka Serikali 3 WHY? Jana kuna mahali kwa maneno yake mwenyewe amesema kuna sehemu ambazo alijua kwamba Viongozi wa CCM wamepitia kwa hiyo maoni ya wananchi wake hakuyasikiliza kwa sababu aliamini wameambiwa cha kusema, sasa huo utaalamu Warioba ameutoa wapi na ni kweli Sheria ya Tume ilimruhusu kuamua achukue maoni ya nani na aache ya nani?

- Warioba nminataka kuamini ni msomi amewakilisha maoni yake kama alivyoombwa na Taifa, sasa vita ya nini hasa na wasiokubali maoni yake? Kwa kweli ninapata taabu sana kumuelewa sijawahi kusikia wala kuona something like this before, Warioba aliongoza Kamati kama hii ya Rushwa chini ya utawala wa Mkapa, kwanza hata ile ripoti sijui iliiishia wapi na sijawahi kumsikia Warioba akilalamika au akitetea ile ripoti, sasa kwenye hili la kulilia Serikali ya Tanganyika mbona ana vita vikubwa sana na Taifa kwamba ni lazima wote tukubali mawazo yake tu?

- AT SOME POINT SASA CCM TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI EXCATLY HUYU MZEE ANATAKA NINI KWENYE CRIMINOLOGY TUNASEMA THERE IS SOMETHING BIGGER THAT WHAT WE ARE SEEING HERE WITH OUR EYES, HAIWEZEKANI NA NINASHINDWA KUAMINI KINACHOENDELEA, Warioba ameshawakilisha maoni ya supposedly tume yake na kwamba ndio maoni ya wananchi, mjumbe wa Bakwata amesimama bungeni na kusema wazi kwamba kilichosemwa kwenye Tume ya Warioba sicho walichomwambia, tunaambiwa kwamba kuna sekta nyingi sana za Serikali ambazo zilitaka Serikali 2 Warioba wala hakuweka maoni yao kwenye Rasimu, I mean why all these from one man?

- HIVI KWELI CCM MPAKA TUMEJIRIDHISHA KWAMBA WARIOBA NI ONE MAN DOING ALL THESE OPPOSITION? HAPANA MIMI SIAMINI KABISA KUNA SOMETHING BIGGER THAN WHAT WE ARE SEEEING WITH OUR EYES WHAT IS THAT? WHAT IS THAT? WHO IS INVOLVED? WHERE? WHY? WHAT?

- I MEAN CCM NA WALE WOTE TUNAOTAKA SERIKALI 2 NI LAZIMA TUKAE CHINI NA KUTAFAKARI ZAIDI YA TUNAVYOFANYA SASA, SOMETHING IS A MISS HERE LAZIMA KUNA A BIGGER PICTURE BEHIND ALL THESE!!

- SOMA GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI I WILL BREAK DOWN THESE THINGS KAMA KAWAIDA WARIOBA ANATAKA NINI HASA?

Le Mutuz System

Wewe ni kati ya wazee ambao hawana mchango wowote kwenye chama zaidi ya kuendeleza mipasho humu jamvini,hivi wewe na Mzee Warioba nani mzalendo ? rekodi ya utendaji wa Warioba inaeleweka kwa kila mtanzania,wewe embu tueleze umeifanyia nini nchi yetu ?
 
Tafuteni kipindi maalum kwa Tv ya Taifa wekeni wawakilishi wenu wawili aalikwe na yeye just two hours will get us beyond what you are trying to speculate!!!!!

Maana ground work ikianza hata huyo mjumbe unayesema wa Bakwata muulize maoni ya waislamu aliyakusanya lini mpaka apate mandate ya kuwawakilisha????!!!
Wewe ni kiongozi wa Jumuiya ya Wazazi good, watoto wako wapo wapi mpaka ujue shida na changamoto za wazazi???!!! Au unawakilisha wazazi wepi?????!!!

Check on sampling and representativeness,tutaishia ku query mpaka kura za urais, be alerted!!!!!

Simbeye or Ulimwengu might do it well if not Masako!!!!!
Changamoto hutatuliwa sio kuanza kudhaniana!!!!!

Unaweza kuwa na nia nzuri sana ila jua hili sasa itabidi tuanze na waliompa madaraka hayo vigezo walivyotumia,je alikuwa yeye ni bora kuliko pool ya 50 milion popn in a country??!!!!!Nani aliasema hayo??!! Mpaka anatafutiwa ofisi na funds credibility ilikuwaje???!!! Anaitwa kuwasilisha bungeni reliability ya muwasilishaji na report ilikuwa validated na nani???!!!!

Amsha popo babu ila jua it is a double barelled matter we must have more than one target!!!!
 
Back
Top Bottom