Workmates.Wakuu Niko njia panda baada ya wimbi la warembo kuanza kupagawa na mimi Nina girl wangu nimetoka nae mbali ila tangu nipate kazi mpya namuona si chochote mana workers mates wengi wananishobokea je nifanyaje wakuu mpaka mtaani warembo ni usumbufu tu
na ukimterekeza ni laana KUBWA kwako kwa chozi atakalolia!!!Mkuu, oa fasta huyo mrembo wako uliyetoka naye mbali. La sivyo utaharibu sasa hivi ratiba zote mlizojiwekea...
Hao wanakutamani wanaona uko potential na labda wakiwa na wewe maisha yatakuwa poa. Sio kosa lao na wala sio kosa lako but unavyochelewa kumuoa huyo mrembo wako ambaye umeshaanza kumuona kuwa si lolote, si chochote hapo ndio unafanya mistake...
ULIE OKOTA NAE KUNI NDIO UITE NAE MOTO, au jiulize huyu ulietoka nae mbali hakuwaona walokuzidi mbona hakukuwacha? kuna mambo mengine wala hayataki ushauri ni imani na busara.....Wakuu Niko njia panda baada ya wimbi la warembo kuanza kupagawa na mimi Nina girl wangu nimetoka nae mbali ila tangu nipate kazi mpya namuona si chochote mana workers mates wengi wananishobokea je nifanyaje wakuu mpaka mtaani warembo ni usumbufu tu
