Warembo wanaojijua ni warembo haswa wengi lesbians

Warembo wanaojijua ni warembo haswa wengi lesbians

hii nyimbo imenifanya nifikiri,nadhani wanamziki au wasanii wanaoongea real life walizokumbana nao huwa wanagusa hisia za watu.

Hata Marehemu Marijani alimuimba Siwema wake...nadhani Siwema alikuwa anaangukia hapo namba 3-warembo waliopitiliza (wamejiwekea class wanajijua wao)...

Kuna mstari Marijani anaimba kwa hisia kali "unajitapa, mbele ya rafiki zako..kwamba mimi sina la kusema mbele yako...umeniweka kwenye kiganja mama..unachotaka ndicho ninachofanya..sababu wewe ni mzuri sana siwezi kupata mwingine kama wewe....Siwema dada unajidanganya"
 
mkuu huyu mrembo anapendwa na wengi,conversation unayoona kubadilishana tu mawazo ila nyuma ya pazia nilishatoswa kwa msisitizo

hahaha viol bhana napendwa na mmoja tu ila na wewe penda penda sana tu usijitee
 
hahaha viol bhana napendwa na mmoja tu ila na wewe penda penda sana tu usijitee

Aaaah mi nimetulia ila we unagombaniwa kama mpira Wa kona,mi nataka nioe JF ndo maana unaona najituma kama nesi wa zamu
 
Warembo bhana wamejiwekea classes
1.warembo wa kawaida(huwa hata hawajijui ni warembo)
2.warembo wanaovutia (ila wanaelewana na watu,wanafaa kuwa marafiki)
3.Warembo waliopitiliza (wamejiwekea class wanajijua wao)

Usishangae girls kuitana baby,honey,mme,kama utani vile ila wengine ni wapenzi kweli.

Hiyo class ambayo wanajihisi ni warembo waliopitiliza ogopa sana,usije ukadondokea ukapenda,atakutesa bure kujifanya yupo expensive kumbe,huwa wanajifanya expensive ila kuna mengine.

Mrembo mkali hawezi kukaa single mda wote.

weekend inaendelea


Anaweza kukaa single endapo amejiweka in form of NO SEX B4 MRG
 
Ila kiukweli warembo wengi ni lesibian na ni kero tena sikuhizi hawajifichi ...mi wananiudhi, eti mtu anakuchana live labda nimependa lips o kifua chako yaani ni shida..huko fb ndo balaa....nilitukana nikachoka sshiv nawaambia tu njooni kwa Yesu mpate waume wawasugue muache hyo tabia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom