Warembo wanaojijua ni warembo haswa wengi lesbians

Uzuri unazaliwa nao.... Urembo unakuja baada ya kujiremba

I stand to be corrected
hapo sawa,so kuna uwezekano asiyevutia kujipamba akavutia(kujiremba),then mzuri mzuri tu,
 
Wengine hutisha zaid,yaani hawanogi.... au labda kuna kitu wanakosea kwenye hzo makeups,and vise versa is truu
 
ila uzuri wa makeups haufiki popote
 
Uzuri unazaliwa nao.... Urembo unakuja baada ya kujiremba

I stand to be corrected

hapo sawa,so kuna uwezekano asiyevutia kujipamba akavutia(kujiremba),then mzuri mzuri tu,
Chocs umenena na kwa maneno mengine, asilimia kubwa ya wanawake ni wazuri ila kutokana na mazingira ambayo kila mmoja ameishi wanajikuta wengine wamefubaa wakati wengine wanaonekana warembo na ndio maana hata katika miji yetu tunayokaa unakuta wadada wa mitaa flani flani kila mtu anasema warembo alafu wa mitaa flani flani vuluvulu japokuwa nako warembo wapo. ("unasikia aisee mitaa ile kila nyumba kuna warembo")
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom