ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,591
- 119,707
kukisiana kwenye shavu kuna ubaya? ni salamu tu hiyo
Hiyo nayo tumeiga kwa nani vile....!
kukisiana kwenye shavu kuna ubaya? ni salamu tu hiyo
hamna ubaya njoo nikukiss
how come vimezaliwa vingi vya utamu
hamna ubaya njoo nikukiss
Hiyo nayo tumeiga kwa nani vile....!
miss neddy hata sijali ebola
hata sijui nipe hints
Warembo bhana wamejiwekea classes
1.warembo wa kawaida(huwa hata hawajijui ni warembo)
2.warembo wanaovutia (ila wanaelewana na watu,wanafaa kuwa marafiki)
3.Warembo waliopitiliza (wamejiwekea class wanajijua wao)
Usishangae girls kuitana baby,honey,mme,kama utani vile ila wengine ni wapenzi kweli.
Hiyo class ambayo wanajihisi ni warembo waliopitiliza ogopa sana,usije ukadondokea ukapenda,atakutesa bure kujifanya yupo expensive kumbe,huwa wanajifanya expensive ila kuna mengine.
Mrembo mkali hawezi kukaa single mda wote.
weekend inaendelea
miss neddy hata sijali ebola
acha hizo ku-quit ongea kidogo
mkuu huyu mrembo anapendwa na wengi,conversation unayoona kubadilishana tu mawazo ila nyuma ya pazia nilishatoswa kwa msisitizoHayo ndio mapenzi ya kweli mpo tayari kufa hata kwa ebola na mrembo wako miss neddy
hujawahi gundua warembo ambao wanajitenga mda mwingi na kujiona unique friends zao ni gays?The only thing I can say sio wote wako hivi kama topic inavyosema. Kuna wengine wazuri lakini Wakaamua kuwa single because ya kuumizwa sana na nyie ( wakaka) na kuamua kuwa single it.doesnt mean that eti sisi ni lesbians no ni msimamo tuu wa MTU na ni maamuzi yao or yetu pamoja na uzuri wetu. Hebu naomba tuwasikilize na wengine. Thanks!
hujawahi gundua warembo ambao wanajitenga mda mwingi na kujiona unique friends zao ni gays?