Ndugu yangu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 680
- 365
Kama ni urembo wa asili nimejaliwa ukiniona huondoi macho
heb weka picha
Kama ni urembo wa asili nimejaliwa ukiniona huondoi macho
Na sie tuliokaa kaa ki-Semenya jee?
Ila kiukweli warembo wengi ni lesibian na ni kero tena sikuhizi hawajifichi ...mi wananiudhi, eti mtu anakuchana live labda nimependa lips o kifua chako yaani ni shida..huko fb ndo balaa....nilitukana nikachoka sshiv nawaambia tu njooni kwa Yesu mpate waume wawasugue muache hyo tabia
The only thing I can say sio wote wako hivi kama topic inavyosema. Kuna wengine wazuri lakini Wakaamua kuwa single because ya kuumizwa sana na nyie ( wakaka) na kuamua kuwa single it.doesnt mean that eti sisi ni lesbians no ni msimamo tuu wa MTU na ni maamuzi yao or yetu pamoja na uzuri wetu. Hebu naomba tuwasikilize na wengine. Thanks!