Warembo wananikataa, sijajua nakosea wapi I'm really stressed up

Kuna umri ukifika, hiyo michezo unaacha kabisa...haina future ni kupoteza muda tu
Uko sahihi,ebu jaribu kujitathmini wewe mwenyewe unataka mtu wa namna gani?baada ya hapo weka mikakati wa maeneo gani utawapata.
 
Dokta nelson p
 
Kumbatia penzi tafuta google utapata clinik ya afya ya mapenzi ya dokta nelson Paul uaga ana kipndi redio free Africa j3 na j5 atakusomesha vzyr uyu ni dokta na mshauri Wa mapenz namb zake 0754039994 autojuta.
 
Nikuunganishe na mdada huku kitaa anauhitaji mkuu, ila ni diploma holder!
 
Ameen
 
Atakuja tu mkuu,muombe Mungu kwa imani yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…