Warembo wananikataa, sijajua nakosea wapi I'm really stressed up

You're a nice man, then, learn to be a bad boy while chasing money...

Btw; ukiona mapenzi yanakusumbua, achana nayo. Fanya vitu vingine.
 
Ahsante.

Halafu mkuu, ushawahi kuombea kitu hadi ukahisi unakosea kuomba / au umesusiwa? Ndio hali inayonikumba kwa sasa
Duuuh....kikukweli kwenye kuomba inabidi uwe na lijiroho la paka!


Unaweza kuomba kujibiwa hujibiwi ukahisi labda Sir God hakupendi 😳

Lakini usikate tamaa endelea kumuomba Muumba mkuu
 
Hitaji lake ni mpenzi ambae pengine itawapelekea hadi kuoana. Sasa kuwataka warembo sio shida ,. shida ipo kwenye hatma ya hao wawili je wote wamenuia mamoja? Most of warembo tunasaka ngawira tu kwenye mahusiano.ndoa tunawaachia wenye wito wao.
Eeeh bwana eeeh 😳 😳 😳
 
Write your reply...jamaa kamata 50000 mkononi mtafute demu yeyote yule mwambie nina ukame nataka nikutomb hii hela ya kwako!.. ndo mapenzi yanaanzia hapo.. ikiwezekana unapiga mimba kabisa,
hao hujifanyaga hawakubali kirahisi!!..fanya hivyo!
Mmmh....mkuu mbona ndo unampoteza jamaa mazima 😀 😀 😀 😀
 
Kwanza pole bro pili nikutoe wasiwasi kuwa kuna vitu inabidi uzingatie kujenga attraction kwa wanawake unaowataka...

Jitahidi sana kuanzia sasa kuwa smart interns of how unavaa,mazingira unayokaa pia lugha yako iwe smart haswa. Pia usiweke alot of expectations juu ya msichana fulani hii itasaidia wewe kuwa busy na kazi while unakamda kadogo kakuwasiliana nae.... Jitahidi sana kuavoid kutumia mda mwingi na mwanamke in the name of friendship itafanya wakuchukulie kama kaka yao pia itafanya vile vitu vizuri Mungu alivyokupa visionekane kwao..... Pia usiwe mtu wa kujichanganya sana i mean unawezakuwa na rafiki zako wachache ambao wanaeleweka na ambao nao wapo busy....wanawake wanapenda mtu ambae muda mwingine ni independent sio kutegemea marafiki to....

All the best brother... But tatizo sio were wala muonekano wako bro inawezekana ni perception zako na psychology uliyojengea
 
Wekeza muda wako mwingi kujijenga wewe mwenyewe kwanza,ishu za mahusiano umeingia kichwakichwa zitakusimbua,falsafa yako juu ya mapenzi na wanawake haiko sawa.kaa na magwiji na waliokuzidi umri wa kufunde.
 
Mh mpaka mahela unayo na sio mbahili jamani kama mkristo nenda kanisani ukafanyiwe maombi mkuu
 
Tatizo unaenda yard kununua gari kwa nauli ya daladala
 
Mzee haujatongoza bado tu? Jaribu na hapa jukwaani ulete mrejesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…