Wako wapi hao black ? naona waliojichubua tu na nywele zao ni singa. Ni magoti tu ndio yameshindikana kuchubuliwa !! Haya yote yabainisha kwa mawazo yetu kuwa white is beuty !!
Tatizo hawajulikani waafrika hapo. Yaani dad zetu wakiafrika wamemuweka mzungu ndiyo Mungu maana kila kitu kuwaiga. Ngozi zimechubuliwa, nywele za Wahindi wafu au makatani tu kichwani. Natural ndiyo kila kitu, Artificial ni Uibilisi tu.
mkuu umekosea kidogo labda ungesema black and white nani anatisha kwa uzuri? ila nikuambie tu black African ni wabaya sana hawafai but black from outside of Africa continent ni balaa jamani huu ni ukweli usiopingika tuacheni unafiki,Caribbean, black american, huko wanatisha kwa uzuri ngozi zao kama watoto
Baada ya utafiti Tumegundua Weupe hawi mrembo ila baada ya kugharimu na kuspendi USD.3500-8000 katika vipodozi na
surgeries,ukarabati wa maumbile, kuvimbisha kifua kuoanuwa lips ziwe za kibantu ndipo ajitokeze ku-midea au matangazoni.
Wetu ni automatic hatuspendi hata 50$ huyo adedea jalada la kwanza.uzuri wetu bhanaa !!
Wako wapi hao black ? naona waliojichubua tu na nywele zao ni singa. Ni magoti tu ndio yameshindikana kuchubuliwa !! Haya yote yabainisha kwa mawazo yetu kuwa white is beuty !!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.