La gioconda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 676
- 1,283
Kwanin utumie id nyingine kusema mapungufu ya wengineSalaam,
Natumia hii account kwa mara ya tatu leo kwasababu maalum.
Mada yangu leo inawahusu warembo wa JF, jamani huu ukurasa hauna warembo wazuri? Nimebahatika kufahamiana na kukutana na watatu ndani ya miezi kama 18 iliyopita.
Kiukweli tuliishia tu kupiga story mbili tatu, hata urafiki wetu ukaishia. Maandishi yetu na anonymity plus qualities tunazopresent kwa story zetu ni tofauti kabisa na tunavyoonekana.
Ni vema tuwe real tu kwakweli. BTW, naongelea ukawaida wa mwanadada, siyo urembo.. Niliobahatika kukutana nao ni below par kwa ukawaida.
Anyone to prove me wrong?
Sidhani kama huu uzi unahitaji povu
Adios!!
Ilikuwa, hivyo kwa mara ya kwanza na Mungu akatubariki tukawa kitu kimoja.Mbona ulionana na Infantry Soldier?πππ
Umemaliza mkuuKwanin utumie id nyingine kusema mapungufu ya wengine
Maana yake hujiamin na wew una mapungufu
Ungetumia id yako halisi wapate kukuchambua punguza umbea
Asante sana mkuu, wengine watoto hapa, hawajakuwa badoJifunze mkuu, issues za private zinaishia huko huko. Narudia tena, mambo yenu wawili mnamaliza huko huko, sisi wala hatutaki kujua lini ulikutana na nani, wapi na ikawaje. Kila mtu angesema hizo mambo humu isingekuwa sehemu salama kabisa.
Angalau Ungempaushauri basi namna yakutibu huo upele ungeonekana wa maana kumsema umeona ndio njia sahihi huna sifa za kuitwa mwanaume. Ebu niulize swali dogo, mrembo wa jf unashindwaje kutibu maupele ya sehemu za wazi? Basi si ajitande na baibui? Am sorry lkn..
Duh! Hivi ushawahi kumuona huyo karunguyeye anonekanaje [emoji23][emoji23]Afu ukute na kenyewe kapo kama karunguyeye.
Huyu mnyama nimemjua leo kupitia sredi ingine na nikasema leo leo akikatiza mtu na sredi ya kiboya namuita karunguyeye.
So there you are Mkuu K.Y.
Ndo huyu anaezodoa wenzie.Duh! Hivi ushawahi kumuona huyo karunguyeye anonekanaje [emoji23][emoji23]
Si kwa ubaya, lkn hicho ulichoandika, nimeshindwa kujizuia! π€£kwanini ucheke mkuu?
Hujakutana na mjukuu wangu Joanah we mzembe...Salaam,
Natumia hii account kwa mara ya tatu leo kwasababu maalum.
Mada yangu leo inawahusu warembo wa JF, jamani huu ukurasa hauna warembo wazuri? Nimebahatika kufahamiana na kukutana na watatu ndani ya miezi kama 18 iliyopita.
Kiukweli tuliishia tu kupiga story mbili tatu, hata urafiki wetu ukaishia. Maandishi yetu na anonymity plus qualities tunazopresent kwa story zetu ni tofauti kabisa na tunavyoonekana.
Ni vema tuwe real tu kwakweli. BTW, naongelea ukawaida wa mwanadada, siyo urembo.. Niliobahatika kukutana nao ni below par kwa ukawaida.
Anyone to prove me wrong?
Sidhani kama huu uzi unahitaji povu
Adios!!
Tatizo huyu bwege kaenda kutongoza kule jukwaa la siasa. Watu wanabishana na kina Lissu unategemea watakuwaje?Kwahiyo sisi wa kawaida tunatakiwa tuandike mwandiko unaopandiana au ili tusiwe feki tuwe real?
si you tel me what made you laugh ni issue ya tiss or huyo bidada auSi kwa ubaya, lkn hicho ulichoandika, nimeshindwa kujizuia! π€£
Jamani mbona akina shangazi na sarungi wazuri kabisa [emoji1787][emoji1787]Tatizo huyu bwege kaenda kutongoza kule jukwaa la siasa. Watu wanabishana na kina Lissu unategemea watakuwaje?
π€£π€£π€£Hili nalo litapita, kwani hamuwezi kuonana na maisha yakaendelea bila kutangaza?
Mimi sitotangazaπ€£π€£π€£
#Utototuhamnakingine.
Kutangaza nini eti Mtani? π€£π€£π€£π€£Mimi sitotangaza
TukionanaπKutangaza nini eti Mtani? π€£π€£π€£π€£
Hahahaaa. LolTukionanaπ
Unakimbia tena mtaniHahahaaa. Lol
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ