Jesse Lingard
Member
- May 5, 2020
- 93
- 387
Onana na mm nakuahidi hutojutiaNdo maana sipend kuonana na mwana jf.
Mbaya kwako ila mzuri kwa mwingine. Kumbuka sio kila mwanaume anapenda mwanamke kama Hamisa Mobeto kwa ajili ya show off za mtaani, wengine kama mimi tunapenda maneno mzuri kutoka katika kinywa cha mwana-mama baaas hata kama sio mrembo kabisa.naongelea ukawaida wa mwanadada, siyo urembo.. Niliobahatika kukutana nao ni below par kwa ukawaida.
Anyone to prove me wrong?
Asante BabaMbaya kwako ila mzuri kwa mwingine. Kumbuka sio kila mwanaume anapenda mwanamke kama Hamisa Mobeto kwa ajili ya show off za mtaani, wengine kama mimi tunapenda maneno mzuri kutoka katika kinywa cha mwana-mama baaas hata kama sio mrembo kabisa.
Kuna mwanaume anapenda maonyesho kwamba ana demu mkali ila wengine tunapenda utulivu wa nafsi basi na sio kujionesha facebook na Instagram.
Nan ataonana na wewe ilhal umefanana na mjomba wakoNdo maana sipend kuonana na mwana jf.
Nawaombeni msinielewe vibaya.Sijapenda ulivyokuja kunisema humu 😬😬😬
Ahahahahah😂😂😂Mashambulizi yanakujia kaa Tayari kwa vita...
Ukweli ni kwamba nimetamani nipate mmoja wa humu.. Ukweli kabisa.. Sijabahatika.. Wale nimekutana nao hapana aisee!!Hilo ni tatizo,,
Kauli mbiu ya JF inasema " where we dare to speak openly" , yaani " mahala ambapo tunathubutu kuzungumza kwa uwazi"
Sasa utawezaje kuzungumza kwa uwazi ikiwa unakutana kutana na watu wote hao ?
Baki njia kuu,, wanawake hawatafutwi mtandaoni mkuu.
Wewe wa kawaida ndo ninayekutaka.Kwahiyo sisi wa kawaida tunatakiwa tuandike mwandiko unaopandiana au ili tusiwe feki tuwe real?