Warembo wa JF karibuni UDSM kwenye mahafali

Ryan The King

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
2,788
2,688
Habarini Warembo wa Jf.

Nipende kuwaalika katika mahafali ya 47 Ya Udsm. Mahafali hayo yatafanyika Mlimani City, tarehe 21 mwezi huu.

Warembo wafuatao ni muhimu kuwepo;
1. Shunie
2. Miss Chagga
3. Money talk
4. Lara 1
5. FaizaFoxy
6. Nifah

Kwa ambao sijawataja utakuta ujumbe Pm.
Watakaothibitisha kuja watanifuata Pm ili niwatumie kiasi kidogo kama nauli ya kuja huku na kurudi.

Chakula na vinywaji vipo. Baada ya sherehe pale Mlimani City tutaelekea kwenye ukumbi maalumu kwaajili ya kufurahi, kuburudika na kupongezana.

Uwakilishi wenu ni muhimu.

Kwa upande wa wanaume muwe wapole.

Mimi Michaelray 22 Nyota ya Mashariki.
 
Back
Top Bottom