Warembo Viwango Approved By Allien

Warembo Viwango Approved By Allien

Hapa full heshima. Yaani wamevaa vizuri, wao wazuri, dah!
ronn, Wametulia! Si lazima uvae kimini au kitovu nje ili upendeze.

My wife ni wa tatu toka kushoto!
 
Last edited by a moderator:
Kuna kitu naomba kuuliza Allien. Hivyo hizo futi (kneel) haziwezi kurekebisha kama nyuso na vitu cvyengine? Kwani ukiangalia hapo basi tu!!!!

Haaaaa haaaaa goti au mguu?
 
2945_1143902273696_1111657099_442439_6326167_n.jpg

Devotha Feruz aka muke ya muzungu.

anapatikanaje ?
 
Hapa baadhi weshachoka......nilikutana na Saida nikamsahau......kanenepa huyo.....
Hoyce bado anatesa.....Richa sijui kapotelea wapi......mweeee.....urembo maji ya moto jamani....
Preta; Uzuri ni Uzuri tu hata Ukizeeka

Hebu elezea huko kuchoka unakokusema!
 
Last edited by a moderator:
balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah

Ze Totoz zaidi ya uwajuao. Na bado sijafika mwisho.

Dadaz, kama unaamini unafika viwango, tuma picha yako.

The idea ni wa TZ tujue kuwa tuna Dadaz Viwango, na Dadaz Club (For a good cause) is on making. Warembo wote wataalikwa. Utaona Wakakaz watakavyojaa na kutoa pesa zao.

Ndo maana hawabanduki kwenye uzi huu wako usiku na mchana. wao wanadai wanakula kwa macho.

Wacha wale ugali kwa picha ya samaki!
 
huyo namba 9.....anafaa kweli......kuwa modo....

Belive me mawazo yangu yalikuwa kama yako kabla sijaona comment yako.

 
Nini tofauti kati ya 'mwili' na 'akili'? Nini tofauti kati ya 'moyo' na 'tabia'? Je, mavazi hayatoi dalili ya tabia ya mtu ingawaje wakati mwingine sio sahihi?
 
Sioni comments za kina dada, hawajazifurahia hizi picha...??
 
Allien Bana....wewe umiza mimi sana bana....Hivi vitu sisi vijana wa zamani tulikuwa tunaita Mikwaju..daaa..nomaaa hii mikwaju mikali dduuu haya bana!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom