Kwetu sisi wazee, tulio pitwa na wakati, tunawapa pole ninyi manao ona huo kuwa ni urembo. Poleni sana wanetu.
Linalo nisikitisha zaidi, ni kuona picha ya mwanangu akiwa nusu ........, Je! ingekutokea na wewe, ukamwona mwanao, au hata dada yako, ungeita urembo??????????????