Warembo punguzeni dharau huyu kaumbuka sasa

Warembo punguzeni dharau huyu kaumbuka sasa

Nasema mara nyingine sio lazima wote tutoe uzi...wengine tubaki kuwa wachangiaji tu....watu tunaumiza vichwa kukushauri kumbe umecopy na kupaste...
 
Leo asubuhi nikiwa stand
ya mabasi nakata tiketi mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari kake
akadondosha simu nikamuita ili nimweleze kilichotokea, akanisonya tena
msonyo wa dharau.

Alipoondoa gari nikaiokota hiyo simu na kuondoka zangu; wala sikuizima.

Nafika town simu ile ikawa inaita nikapokea .... haya ndo yakawa
maongezi yetu.

Mdada: Hallo habari yako...??

Mimi : Nzuri, nani wewe ...??

Mdada : Mimi ndo mwenye hiyo simu

Mimi : Na mimi ndo nilokuita pale stand asubuhi leo ukanisonya

Mdada : Basi kaka nisamehe naomba unambie ulipo nije tuelewane

Mimi : Nitakwambia baadaye .. (nikakata simu)

Swali ni je nimwambie napatikana wapi au nimpotezee ili liwe fundisho
kwake........?

kafanya vibaya ila kama vip mpe sim yake kwam wew una njaa ya simu? bora kaomba samahan mpe sim yake
 
Back
Top Bottom