Warembo punguzeni dharau huyu kaumbuka sasa

Warembo punguzeni dharau huyu kaumbuka sasa

Wewe mrudishie, si unajua wadada wana changamoto nyingi ambapo mojawapo ni ya kutongozwa na ukute the way ulivyomwita ilionyesha viashiria kama unataka kutupa ndoano
 
Wa siku ile walikuwa wanapanda wote gari.Huyu alimuacha anakata tiketi.Jamaa ana bahati ya kuokota "vidude" huyu,lol!
 
Wa siku ile alikuwa anapanda naye gari.Huyu alimuacha anakata tiketi.Jamaa ana bahati ya kuokota "vidude" huyu,lol!
 

New bottle,Old wine.

Mkuu weka source ya thread yako.
 
naona safar hii unataka ngumi sonyo halijakutosha. rudisha simu
 
Mkuu rudisha simu ya watu.......kuepusha mabalaa simu za siku hizi hazichukuliwi kama pipi.....usingoje mpaka defenda lije mpaka mlangoni......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Umeikopi hii story ilishawahi kuja hapa miaka Mitatu iliyopita sorry.

SWISSME:

Mwenyewe naikumbuka sana hadi nimeangalia tarehe ya kuposti nilifikiri mchangiaji tu kaifukua chini kumbe imepostiwa upya!
 
Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi nakata tiketi mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari kake akadondosha simu nikamuita ili nimweleze kilichotokea, akanisonya tena msonyo wa dharau.

Alipoondoa gari nikaiokota hiyo simu na kuondoka zangu; wala sikuizima.

Nafika town simu ile ikawa inaita nikapokea .... haya ndo yakawa maongezi yetu.

Mdada: Hallo habari yako...??

Mimi : Nzuri, nani wewe ...??

Mdada : Mimi ndo mwenye hiyo simu

Mimi : Na mimi ndo nilokuita pale stand asubuhi leo ukanisonya

Mdada : Basi kaka nisamehe naomba unambie ulipo nije tuelewane

Mimi : Nitakwambia baadaye .. (nikakata simu)

Swali ni je nimwambie napatikana wapi au nimpotezee ili liwe fundisho kwake........?
Ungempa kamsamehe bwanawako katasimu
 
Goma lishaingia mmasai na sime hili mleta uzi

Raia wema washabumburuka hii sredi umeifanyia remix

Kajipange upya!
 
Back
Top Bottom