Warembo Miss Tanzania 2010

Mwaka huu kuna mshiriki mwenye asili ya China, duh hawa jamaa mpaka kwenye Miss Tanzania?

attachment.php
 
Attachments

  • Miss_TZ_2010.JPG
    Miss_TZ_2010.JPG
    61.9 KB · Views: 201
Waremvbo hawa wa Miss Tabata, kama warembo wenyewe wa Vitongoji ndio wa viwangu hivi nina wasiwasi na hata products za miss Tanzania in general...

misstabata17.jpg
misstabata+maswali.jpg

Maskini, mbona huyu kakaa kama vile yuko mbele ya Pilato anasubiri kuwambwa msalabani? Jamani tuogope njaa. Mwenye njaa ni hatari kuliko simba, VVU au SCUD!!
 
Details zake sizifahamu dadangu ila kwa kumuona physically ana asili ya China

afadhali leo umenijibu vizuri....nimependa!... mie naona hana uchina wowote ni jinc alivyo tu...btw nimempenda huyo wa kwanza sema tu na hay manywele tu huko kichwani...watatu make yake haijatulia ovyo, pale kwenye mic cjui vitongoji mie ndio chaliii mazima...wacha nic comment.
 
Maskini, mbona huyu kakaa kama vile yuko mbele ya Pilato anasubiri kuwambwa msalabani? Jamani tuogope njaa. Mwenye njaa ni hatari kuliko simba, VVU au SCUD!!

kwa ujumla hao warembo wote hapo wa vitongoji ni hapana ndio mana nikauliza wanatumia vigezo gani....
 
Kusema kweli mambo ya Miss TZ ni zaidi ya urembo manake mambo ya kumegwa ni milioni kwa mmoja ndio huwa na nafuu...sisemi wanaachwa kabisa ila wachache hao ni NAFUU...huyo mwenye hiyo hotel walikopiga kambi mnamjua? binafsi niliposikia kwa mara ya kwanza watakuwa wanaweka kambi hotel hiyo(Girrafe) nilisema wamekwisha..na kweli jamaa ni mbaya na marafiki zake (mapedeshee) wanajisevia kama wanaoagiza mvinyo kaunta...nilishawahi kuongea na matron mmoja wa kamati (si ya mwaka huu) akanambia wanajaribu kuzuia ila ndio hivyo watamwaga unga..na ndio maana washindi hupangwa na wengine huwa na bifu la kudumu(tumeona mifano) pale mshindi anapogeuzwa wa pili na wa pili kuwa mshindi. Sipendi umbea ila haya mambo yanasemwa na nilipochunguza nilibaini kuna ukweli mwingi...sijui hiyo mikataba waliyowapa itasaidia kupunguza au itawafanya wasitoe siri manake ni wao kwa wao ndio huweka hadharani habari zao as in nani alimroga nani,nani alimegwa na nani,nani walichukuliana mapedeshee n.k.
Hapo ni mtafutano..ndio mana maboyfrend hupigana na kuzua majanga kwa mamiss kwani huwa hawaachi kudili na mapedeshee hata shindano likiisha coz ndio huwaweka mjini.
kwa Lundenga awe makini kurekebisha mapungufu ila wao wenyew ndio huwamega visura na hii kashfa ipo miaka nenda rudi..sina zengwe na yeyote ila tusubiri tuone mikataba waliyopewa mamiss itasaidia chchote?
 
Mmh:confused2:! na hizi nywele za bandia za watu waliokufa na za maplastick na urembo wa kuazima tutakoma mwaka huu. maana kila umuonaye nywele mpaka matakoni tehetehe:playball: hivi kipilipili nywele zetu asilia haziwezi kutufanya kuwa warembo! no wonder kamwe hatutashinda miss world kwa sababu hatutumii uzuri wetu wa asili.
 
Ningeshauri hao washiriki wanaochaguliwa wachaguliwe wasichana wenye maadili mema ya kitanzania ili kufundisha jamii na siyo wahuni wanaotembea na waume za watu na kuvunja ndoa za watu (hususan Salma Mwakalukwa) ndio anaenda kufundisha nini jamii? vigezo vya msingi vingetumika kuchagua mabinti wanaofaa...jamii ya Tanzania
 
Kusema kweli mambo ya Miss TZ ni zaidi ya urembo manake mambo ya kumegwa ni milioni kwa mmoja ndio huwa na nafuu...sisemi wanaachwa kabisa ila wachache hao ni NAFUU...huyo mwenye hiyo hotel walikopiga kambi mnamjua? binafsi niliposikia kwa mara ya kwanza watakuwa wanaweka kambi hotel hiyo(Girrafe) nilisema wamekwisha..na kweli jamaa ni mbaya na marafiki zake (mapedeshee) wanajisevia kama wanaoagiza mvinyo kaunta...nilishawahi kuongea na matron mmoja wa kamati (si ya mwaka huu) akanambia wanajaribu kuzuia ila ndio hivyo watamwaga unga..na ndio maana washindi hupangwa na wengine huwa na bifu la kudumu(tumeona mifano) pale mshindi anapogeuzwa wa pili na wa pili kuwa mshindi. Sipendi umbea ila haya mambo yanasemwa na nilipochunguza nilibaini kuna ukweli mwingi...sijui hiyo mikataba waliyowapa itasaidia kupunguza au itawafanya wasitoe siri manake ni wao kwa wao ndio huweka hadharani habari zao as in nani alimroga nani,nani alimegwa na nani,nani walichukuliana mapedeshee n.k.
Hapo ni mtafutano..ndio mana maboyfrend hupigana na kuzua majanga kwa mamiss kwani huwa hawaachi kudili na mapedeshee hata shindano likiisha coz ndio huwaweka mjini.
kwa Lundenga awe makini kurekebisha mapungufu ila wao wenyew ndio huwamega visura na hii kashfa ipo miaka nenda rudi..sina zengwe na yeyote ila tusubiri tuone mikataba waliyopewa mamiss itasaidia chchote?

Dah habari hii na mimi niliishawahi kuisikia from someone
 
Back
Top Bottom