Warembo Miss Tanzania 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Warembo Miss Tanzania 2010

Discussion in 'Entertainment' started by Lucchese DeCavalcante, Aug 18, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  [​IMG][​IMG]

  Warembo waliofanikiwa kuingia Fainali ya Taifa ya Mashindano ya Urembo ya VODACOM MISS TANZANIA 2010, waingia kambini katika hatua ya mwisho ya kinyang’anyiro cha kumsaka mrithi wa MRIAM GERALD ambaye anamaliza muda wake wa kuwa Mrembo wa Taifa.  Wakiwa kambini warembo hawa watakuwa na ratiba mbali mbali ikiwa ni pamoja na kufanya kazi za kijamii na kutembelea sehemu mbali mbali za vivutio vya kitalii kama ifuatavyo:-


  · Tarehe 17 / 08 / 2010 warembo watapewa semina maalumu na viongozi wa kamati ya Miss Tanzania pamoja na kusaini mikataba kati yao na waandaaji.


  · Tarehe 19 / 08 / 2010 waandishi wa habari wote watapata nafasi ya kuongea na washiriki na kupata maoni yao na jinsi walivyojiandaa katika kunyakuwa taji la VODACOM MISS TANZANIA 2010


  · Mwishoni mwa wiki warembo wote wakiambatana na baadhi ya viongozi wa kamati watasafiri kwenda katika mikoa ya kanda ya kaskazini “KILIMANJARO: na “ARUSHA” kwa ajili ya kutembelea vivutio vya utalii ili kuvitangaza na kuwahamasisha watanzania ili wajenge utamaduni wa kutembelea, kuvilinda na kuvithamini vivutio vyetu. Huu ni mpango tunaoshirikiana na taasisi za serikali yaani ,BODI YA UTALII, TANAPA na NGORONGORO CONCERVATION AREA AUTHORITY.


  Huu ni mwaka wa pili taasisi yetu “Miss Tanzania” kushirikiana na taasisi za serikali kuhamasisha watanzania kuthamini na kutembelea vivutio vilivyopo nchini kwetu.


  Tunategemea kwenda mbele zaidi kwa kuvitembelea vivutio vya kusini mwa Tanzania, SELOUS, RUAHA NATIONAL PARK, MIKUMI na UDIZUNGWA, katika siku za usoni.


  Walimbwende walioingia kambini ni:- Ester Dennis na Gloria Kaale,Shadia Mohammed, Furaha David na Mary Kagali ,Bahati Chando, Salma Mwakalukwa na Consolata Lukosi,
  Beatrice Premsingh, Willemi Etami na Pili Issa, Flora Florence, Mary Adam na Angelina Ndege.


  Wengine ni Alice Lushiku, Irene Hezron, Amisuu Malick ,Genevive Emmanuel, Anna Daudi na Britney Urassa,Glory Mwanga, Prisca Mkonyi na Jally Murei,Gloria Mosha na Christine Justine,Flora Martin, RachelSindbad, PendoSam Fatma Ibrahim, Buduri Ibrahim na Margareth Godson.


  Fainali za mashindano hayo makubwa ya Urembo nchini yanataraji kufanyika Septemba 11 2010 jijini Dar es Salaam
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hivi huwa hawafanyagi kazi (office) au wakati wa mashindanno wanaacha kazi....nimeuliza tu
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ni wkt muafaka wa mapedeshee kwenda kujichagulia totoz.
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hivi Preta unafikiri what more else they can do kuna rafiki yangu alishiriki kwenye hii kitu baada ya mashindano kumaliza kila siku kwake yalikuwa yanapaki magari ya aina tofauti kila ukienda unakutana na sura tofauti she doesn't work but she's leaving,eating and dressing kama alivyosema Fidel80 mapedeshee wanafanya kazi yao
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Hivi na wewe Mfukunyuzi ni mpiga picha wa kujitegemea na mie nimeuliza tu?
   
 6. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Haya mjomba Lundengaaaaaaa mali mpya kwako hizo, kweli bongo kuna warembo sana ila naomba kama kuna mtu mwenye photos za miss rwanda atupe maana nasikia hao ni funika bovu.Best wishes mamiss.
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hivi hiyo picha ya kwanza hapo juu ndio ofisi ya Kamati ya Miss Tanzania mhhhh mhhhh :confused2:
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  sasa hapa nashawishika kupata mawazo ya kwamba miss Tanzania is more than that....uuh God forbid
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Huyo mwenye Top Blue ana kibinda nkoi mazoezi ya ziada yanahitajika
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280

  Preta nimependa Avatar yako mpya ...naiomba :A S 8:
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  ha ha ha...nitakutafutia niqab yako au jalabib...utasema ile unataka
   
 12. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hajjat Preta:

  U-Miss ni KAZI - You can make leaving in and out of it!

  Tatizo langu kubwa kama alivyobandika Fidel80 ni kwamba kuazia sasa hadi mwisho wa mashindano kila mshiriki atakuwa amefanya ngono na wanaume zaidi ya watano at least! Hii nalisema kwa kuwa nimekuwa nikifanya uchunguzi under-cover kuhusu mashindano ya u-miss na nime-conclude kuwa apart from what we see kuna uchafu mwingi unafanyika "behind the scene" - Mabinti wanageuzwa kuwa MAKAHABA!
   
 13. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Anashiriki kwa sababu maalum! Beauty Contest is more than what you see, touch, or measure, it about everything they DO!
   
 14. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #14
  Aug 18, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Wataka kunipa kazi ya kupiga picha ya send-off ya mwanao nini?
   
 15. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #15
  Aug 18, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Waremvbo hawa wa Miss Tabata, kama warembo wenyewe wa Vitongoji ndio wa viwangu hivi nina wasiwasi na hata products za miss Tanzania in general...

  [​IMG][​IMG]
   
 16. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #16
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  For the past 3 years MISS Tanzania haijaleta walimbwende! Imekuwa ni bora twende! shame!
   
 17. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #17
  Aug 18, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Wasiriki wote wa Miss tanzania 2010 katika picha ya pamoja... washiriki wa miss tanzania 2010.JPG DSC_0631.JPG
   
 18. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #18
  Aug 18, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Watumishi kazi mnayo, wenye roho nyepesi mtakula kondoo zenu!
   
 19. ALU-MASOLI

  ALU-MASOLI Member

  #19
  Aug 18, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  :welcome:They look beautiful but their clothings do!
  I advise the orgenisers should use more clothings of african tradition to advertise our african prestige even to the outsiders since it will promote tourism an thus income generation rather than only consuming.
  'ukikumbuka njaa yako ya jana,utajua kwa kuupata mkate wa kesho'
   
 20. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #20
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  hata ingekuwa ni mimi nawala tu kwani shida iko wapi?kama hawadanganyiki unajisevia tu kama self service buffee.
   
Loading...