warembo (masista du) wana matatizo gani??

warembo (masista du) wana matatizo gani??

Hahaha nimecheka sana dah. Mzee wa Mia, mia naona unawapa makavu yale yale dada zetu. Wajifunze, mambo kutegemeana bhana sio kila kitu mimi ndo niwe supplier wa pesa huduma upatiwe wewe vinginevyo tutaendelea kuwakimbia tu baada ya kusatisfy our curiousity in your beatiful bodies.
 
Habari zenyu? Ukiwaona barabarani wanaonekana wana mvuto wa mapenzi, lakini mbona kwenye 6 kwa 6 ni matatizo? hawajitingishi kabisa. halafu wanakuwaga na mambo mengi, simu kila dakika, message halafu ni watu wa matatizo kila siku wao ni kuomba hela. hata kama ameuchuna siku atakapo kupiga kibomu utashangaa. yaani wanaomba hela utafikili wavulana wanatengeneza hela. ndo maana mvulana akishaona mtu wa hela anagonga na kukimbia kama nyoka. na hii inasababisha wengi kubadilisha mabwana na kuto olewa. Mia

Mbio za sakafuni tu hizo, mwisho wake ni ukingoni. Hata ukayekuja kumuoa tayari alishagongwa na mtu mwingine.

Pesa ndio kila kitu, mengine yanafuata. Unless uamue kumuumba mwanamke unayemtaka wewe, lakini aliowaumba mungu ndio hao hao. Ukisema wa nini wanaoweza kuhudumia wanasema watampata lini. The choice is yours.
 
Habari zenyu? Ukiwaona barabarani wanaonekana wana mvuto wa mapenzi, lakini mbona kwenye 6 kwa 6 ni matatizo? hawajitingishi kabisa. halafu wanakuwaga na mambo mengi, simu kila dakika, message halafu ni watu wa matatizo kila siku wao ni kuomba hela. hata kama ameuchuna siku atakapo kupiga kibomu utashangaa. yaani wanaomba hela utafikili wavulana wanatengeneza hela. ndo maana mvulana akishaona mtu wa hela anagonga na kukimbia kama nyoka. na hii inasababisha wengi kubadilisha mabwana na kuto olewa. Mia

ooh Yahaya, yahaya weeh, Yahaya eeeh, yahaya unaishi wapi? Yahaya eeh, kwani kazi yako haifahamiki yahaya eeh!

Mashati na suruali zako yahaya eeh, unaonekana kama unahela kumbe fix tu yahaya eeh! ukipigwa mzinga wa laki unapiga kelele yahaya eeh, unajifanya hujui masista duu ni gharama yahaya eeh! Kama huna kitu mwachie bishanga yahaya eeh!
 
Kumbe ishu za wanawake kukanywa zimeanza siku nyingi tu lakini hawakomi. Yani ni ka ukoo wa panya, hata atakayezaliwa leo atakua na tabia zilezile.
 
Toa hela wewe upate watoto wazuri, kama zinauma waachie wenyewe.
 
Back
Top Bottom