Warembo hata Zanzibar wapo!

Warembo hata Zanzibar wapo!

16846123.jpg


huyu ndio superstar wangu kwenye huu uzi.........

Marhabaaa Preta, macho unayo.
FirstLady1 pia tupo pamoja.
 
3361768707_93f34dbd7f_z.jpg


huyu siku nyingine mwambie afue mtandio kabla hajapiga picha.....asije niaibisha kama yule wa jana aliyekuwa anahojiwa TBC kuhusu kifo cha bi Kidude.....kunivalia mtandio uliochomwa na pasi.....
 
Hamna kitu hapo, sijaona wa kushtua japo mshipa wa nywele ya katikati.
 
3361768707_93f34dbd7f_z.jpg


huyu siku nyingine mwambie afue mtandio kabla hajapiga picha.....asije niaibisha kama yule wa jana aliyekuwa anahojiwa TBC kuhusu kifo cha bi Kidude.....kunivalia mtandio uliochomwa na pasi.....
Huyu ndiye aliyenitia kichefuchefu nikafunga page kabisa.
 
Zinduna Mi bado cjawaona kama wanatija sana katika warembo walioko Bara
Zinduna nakwambia kama haujawahi kuonaga warembo nakwambia hao toka Zanzibar hebu waambie wapite left kabisaaaa! Nakuomba fanya ziara chap hapa A town na uwaone hawa wadau na unipe majibu;

Preta
Lily Flower
Passion Lady
Meljons
sweetlady
Blaki Womani
Loner
marejesho
Kabakabana

Warembo hawa kama ctaacha kuwasifu!
Watajwa hapo juu hebu wekeni photo zenu na Zinduna aseme mwenyewe!
Orodha hii haitakamilika bila y jina la Nyamayao
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom