warembo haoooo!!

menny terry

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
509
667
Hebu fikiria siku moja umemtoa mkeo out alafu huko mnakutana na mabinti warembo kupindukia ghafla unaanza kukodoa mijicho mkeo nae anakushtua kila saa but huelewi mwishoe anaamua kuondoka kwa hasira je utafanyaje?
 
Huyo mtu alioa ya kazi gani???
Utashangaa warembo mpaka ufe kwa tamaa!
 
we ukiangalia warembo na mi naangalia ma hanky
tit for tat
na ole wako unitolee kibesi ndo utajua mi nani
 
Mtaani kwetu tunakubatiza jina la **** Mwanaume lazima uwe stable, hasa unapokuwa na mywife au mysweet
 
Hao ndo wanawake bana, kila mmoja anamzidi mwenzie. Utakuta huyu ana sura nzuri, mwingine kafungasha kishuzi kikubwa, mwingine ana ziwa saa sita, yaani wee acha tu.
 
je utafanyaje?,
Itabidi na wewe mume uondoke umfuate mkeo kama unamheshimu kweli umwombe msamaha na outing yenu iendelee kama mlivyopanga iwe.Kwani utafaidika nini ukikosana na mkeo kwa urembo wa kupita tu??
LAKIN mpaka mkeo anafikia hatua ya kuondoka wewe mume unawaangalia hao warembo kwa jiccho gani hasa???,
Ni jicho la kawaida tu kama liangalivyo vingine vyote au uangaliaji huo unakuwa na ujumbe mwingine wa ziada??
Mbona warembo wengi sana akiwemo na mkeo ktk idadi hiyo na warembo wengi zaidi wanazaliwa na kukua,
sasa wewe mwanamke mwenye uroho wa kuangalia si utapata shida sana???.
 
wee macho juu ya nini na unamkee...ungekuwa unataka kukodoa mimacho kwa warembo usinge owaa...chungaa TAMAAAA MBAYAAAA
 
Mh! Hiyo ni tabia mbaya na pia nidharau na uzalilishaji kwa mke wako...unaitaj kumwomba msamaha tena umpe na zawadi angalau asahau icho kitendo.
 
Du mm nikiangalia wanawake warembo anachukia, nikiangalia wanawake - ugly atashangilia, wanawake ni mama zetu, wanavituko wanapokuwa wamepishana hasa akijua mumewe anapenda mabaibui, au zegembe linalotingishika,au mguu wa bia.
Naomba dada uvumilie wanawake ndio waliowashawishi kina Adam na Lutu kugeuka jiwe la chumvi au kutembea na mabinti zake wote watatu
 
Na uendenao..
nyumbani usirudi..
ukirudi yako ngumu..
Hii ni uthibitisho huna heshima mbele ya mkeo..
 
mwanamke ukiona mwenzio yuko hivyo ujue imekula kwako shosty. Tatizo wenzetu wengine mkishaolewa mnajiona mmefiiiiika. Nyie jiendekezeni tu mnafikiri walioikosa hiyo bahati watalaza damu inahuuuu
 
inatakiwa ujiamini naisitoshe umzooee mumue kwa maneno ya utani kuondoka siyo insuuu mazeee wanawaqke wenyewe hawa wakibongo uwizi mtupu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom