Waraka wasambazwa

Waraka wasambazwa

kweli chizi ni chizi tu ata alale kemp.iski, wanasahau kuwa udini unauwa mamia huko Nigeria, Mombasa, na kwingineko! Au CCM hakuna wakristo na waislam? Bad plan, mi nahisi wanaleta udini ili kuwaharibia wana CCM wenzao wenye nguvu ya urais 2015.....
 
Huu ni wakati muhimu sana kwa waislamu kutumia akili zao walizojaliwa na mwenyezi Mungu kutafakari na kufanya maamuzi ya busara.
Na mapendekezo yangu naona ni vema wakaiomba serikali kufanya uchunguzi ktk suala hili ambalo linataka kuwagombanisha waislam na CDM.
Binafsi sioni km kuna usahihi wo2te ktk waraka huu kwan ndan ya CDM kuna viongozi na wabunge ambao ni waislam je! Wakristo hao wa Chadema wasingeona kuwa kufanya hivyo ni kuwafukuza hata hao wachache na walioponyuma yao lkn pia je?tuseme kuwa CDM wamesahau kuwa nchi haina dini na kufanya hivyo ni kujihatarisha wenyewe.
Nijuavyo mimi kila chama goals zake ni kushika madaraka ktk nchi husika km ilivyo CDM ktk Tz na madaraka hayo n kuunda serikali ya kuwaongoza wananchi wote bila kujali dini,lugha wala kabila kwa kuhakikisha uwiano wa maendeleo kitaifa na individual level.Je! haya yatawezekanaje ikiwa serikali ya dini moja itawaongoza wananchi wenye dini mbali2.
Kwa mawazo haya tu mepesi si rahisi kushawishiwa kuwa CDM ya Tanzania ni chama cha siasa cha dini fulani.
Naomba kuwasilisha hoja.
 
wamepoteza mwelekeo jambazi akizidiwa anaanza kuchukua ata vitu visivyo na madhara wala uzito ili tu aendelee kupigana hii ndio inafanyika na magamba this time, wanatapatapa
 
Ukiona ccm wameanza cheap politics za style hii ujue kushindwa kunakaribia kushinda.
Mwigulu+nape+Shingela= maziko ya ccm.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ha ha ha haaaaa umeandika nn sasa hapa mkuu? sio kweli kuwa 97% ya viongozi wa dini moja ? na hili lajulikana hata kwa viongozi wa cdm na ndio maana wakaamua kuwachanganya wakina prof safari ili ku dilute hicho kitu , ila ilikuwa ni kama kutumbukiza tone kwenye bahari
DARASA: Tangu uhuru CCM imekuwa na mawaziri wakuu wasiopungua 10, lakini 6 kati yao ni kutoka kanda ya kaskazini. Tena Mikoa mitatu tu!... 1. J.k. Nyerere - (Mara) -Kaskazini; 2. Joseph Sinde Warioba (Mara) - Kaskazini; 3. Cleopa Msuya - (Kilimanjaro) Kaskazini; 4. Edward Moringe Sokoine (Arusha)... 5. Frederick Sumaye, (Arusha) 6. Edward Lowassa, (Arusha) ..
 
Ha ha ha haaaaa umeandika nn sasa hapa mkuu? sio kweli kuwa 97% ya viongozi wa dini moja ? na hili lajulikana hata kwa viongozi wa cdm na ndio maana wakaamua kuwachanganya wakina prof safari ili ku dilute hicho kitu , ila ilikuwa ni kama kutumbukiza tone kwenye bahari
DARASA: Tangu uhuru CCM imekuwa na mawaziri wakuu wasiopungua 10, lakini 6 kati yao ni kutoka kanda ya kaskazini. Tena Mikoa mitatu tu!... CCM wapingacho ndicho wafanyacho 1. J.k. Nyerere - (Mara) -Kaskazini; 2. Joseph Sinde Warioba (Mara) - Kaskazini; 3. Cleopa Msuya - (Kilimanjaro) Kaskazini; 4. Edward Moringe Sokoine (Arusha)... 5. Frederick Sumaye, (Arusha) 6. Edward Lowassa, (Arusha)Nasikia hii ilikuwa ni bahati Mbaya! .na zaidi ya yote wao si wa kanda ya kaskazini.
 
magamba walie tu sisi tunapambana! Waache wabaki na majungu
 
Kweli bwana, mwambie akaze buti kwani mwenye nchi anajipongeza na totoz za kihabeshi, huku wenzie tunaomboleza majanga ya mbwa wake

.....hivi jamaa AMEPIMA kweli??? nina wasiwasi!!
 
Watu wanaotumia udini kuchonganisha wenzao katika jamii ni hatari kama ugonjwa wa ebora
 
Propaganda hizo kwa Bara zitakuwa ni ngeni sana. Lakin Zanzibar walisha zizoea sana.

Mbombo ngafu
 
msishangae sana wadau unajua mtu anayezama akiona hata unyoya wa kuku unaelea atajishika nao sasa CCM imefikia hapo haijui pa kushika.,udini, ukanda, ukabila wanatumia kila kilicho mbele yao ila good news wananchi wameshawastukia kila mbinu wanaijua wanasubiri tu 2015 waipe CCM hukumu ya haki kwenye sanduku la kura! wananchi wawe wakkristo waislamu wapagani wanateseka na adui yao mmoja tu CCM!! wameshikana kumuondoa!
 
Na ufitini pia wanauweza kweli wanatisha,hawa ni wauaji wa kubwa kwani vita za kidini ni mbaya sana.
Washindwe kabisa!
 
Inshalah chadema iko na alah. kwa jina la mola wangu siku ya kuonja rehema za nchi yetu inakaribia, kamwe hawatofaulu na hadaa zao. Waisilam tuko wengi chadema si kama wadhaniavyo wao. Haki mõla yko karibu na wale wenye kusubiri. Peoples power.

Wewe huwajui cdm vizuri'ila kwa vile upo hapa jukwaani utawajua tu kwa rangi zao na tabia zao,halafu mwisho utapata jibu kama uko sahihi kujificha cdm
 
Magamba endeleeni kutunga vimeseji vyenu tu 2015 ndo tutaona nani mbabe
 
ni ujinga hata mtoto wa darasa la kwanza awzezi kukubali uongo na uzushi huu, huu ni upuuzi mtupu ,cdm twend e kazi
 
CCM jamani mambo mengine tumieni akili, tacts kama hizi ni za mtu asiyekuwa na uwezo wa kufikiri! Kama kweli safu ya viongozi 20 fikra zenu ziko hivi inasikitisha mno!
 
Hakika Mungu akisema ndio hakuna atakayeweza kusema hapana.

Go on M4C.................!
 
Back
Top Bottom