Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,553
Kwenye suala la udini cdm ndugu zangu haisafishiki hata ukiiosha na mchanga wa bahari zote . Hili liko wazi na hakuna mikakati ya makusudi yakurekebisha hili ndugu zangu. Katika safu ya uongozi wa cdm kuanzia kata hadi taifa , zaidi ya 97 percent ni wa dini moja , hapa utabishaje kuwa cdm sio chama cha dini moja ? Muulize huyo makamu mwenyekiti takwimu hizi anazijua na hujadiliwa sana ndani ya vikao vya cdm , hakuna hatua yoyote
Hizi takwimu angezitoa mtu mwingine ningejiuliza mara mbili! Kwa vile ni wewe, ngoja niongeze Ndovu Special Malt nyingine. Sibabaishwi na propaganda za magamba!