Waraka wa wazi kwa The Finest.

hahahahahah don't worry sweet heart..
mi ni mtu mgumu sana ku kasirika .. Anyway welcome home (I mean in my world).. sun wu
afrodenzi
Ha ha ha haa haa :) They say home is where the heart is and in that token I had never left.., was and will always be there/here...., even when sun wu dissapears in sight lakini in mind will always be around.
 
Last edited by a moderator:
Ninapoandika waraka huu ni dakika moja baada ya kumalizika birthday yako.Hongera.
Binafsi nimekuwa memba yapata muda sasa ndani ya jamvi hili la jf.Kama ni kuona nimeona mengi humu.Kwa kifupi i am a keen observer of the goings around here. Niseme neno moja:
afrodenzi anakupenda!
Ushauri wangu kwako:
Mpende afrodenzi
Muenzi afrodenzi
Mfanye afrodenzi awe kitovu cha dunia yako
Mkabidhi afrodenzi tunu ya roho yako
Katu usim cheat
Awe mboni ya jicho lako
Daima dumu
Na Inshallah
Mkijaliwa kuoana
Wanenu wakue vyema
Wawe mfano wa tabia njema
Ameeen.
Ps:
Kwa kuzingatia uzito wa waraka huu bishanga hatapost tena chochote kwenye uzi hu,alamsiki!
Bishanga nilijua umeamua kujikita kati mwenyewe kumbe misele yote ni The Finest??Siyo mbaya lakini je Afrodanzi kakubali??
 
niko timu uliyoipangua

huo upendo wa wote wa wapendwa tunajua unao

Tumefanya mazowezi weee ya nyimbo za mapokezi yako afu unasema una upendo wa wapendwa??

This is abormination to Fynesthood
Kongosho
mbona unataka kunifunga na kosa sina mpenzi..
 
Last edited by a moderator:
afrodenzi
Ha ha ha haa haa :) They say home is where the heart is and in that token I had never left.., was and will always be there/here...., even when sun wu dissapears in sight lakini in mind will always be around.
sun wu..
strong words...
i guess the thought is what counts ..
thanks for such inspiration words.. TA :)
 
Last edited by a moderator:
acha fujo, ila unamenichekesha.

Hehehe ukikataa ndoa mbadala wake ni nini? Unacheck mpango wa kando
Mi nanyemelea tender ya userengeti boy kila kijamaa hujakitema lakini? Nataka tuanze mazungumzo.
 
Back
Top Bottom