Ndio, sio siri tena sasa kuwa nchi iko mashaka, ina kwikwi nyemelezi. sitaki kupoteza muda kuelezea matatizo yanayoikumba nchi kwa sasa kwani kila mtanzagiza anaelewa na yanamgusa na kumathiri si kwa njia moja ama nyingine bali katika kila nyanja ya maisha. Hali hii inachangiwa sana, san tu na sisi wanatanzagiza wenyewe kwani tumendelea kukubali kuwa nyeupe ni nyeusi na nyeusi ni nyeupe kwa miongo kadhaa sasa. LAKINI WAKATI WA MABADILIKO UMEFIKA.
WANA IGUNGA. kwa muda mrefu mmechangia sana matatizo ya nchi hii, yawe ya kiuchuimi au kisiasa kwa kumruhusu fisadi Rostam Aziz kuchukua nafasi ya uongozi kwa miongo kadhaa, watanzania wamelia na Mungu amesikia kilio chao. "Ameng'atuka". Ni wakati muafaka kwenu kutubu dhambi zenu na kufuta historia chafu ambayo ingeendelea kuwahukumu vizazi na vizazi. Katika uchaguzi ujao tumieni nafasi hii kwa busara, wekeni maslahi ya kichama pembeni na tangulizeni maslahi ya Taifa mbele, CHONDE CHONDE pigieni kura Chama chochote mpendacho lakini si CCM.
Ni matumaini yetu kuwa hamtatuangusha tena.
Watanzagiza tunaoangamia kwa makosa yenu mliyoyafanya kwenye vyumba vya kupigia kura miongo kadhaa iliyopita