denoo JG
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 1,786
- 6,028
Tatizo lako Mpina akizungumza mambo yake hupendi kumsikiliza kwa makini, umeshamuhukumu zamani sana kwako hana jema, ndio maana unakuwa negative always dhidi yake.Mwigulu na Mpina wote ni CCM usitarajie watakua na nia njema kwa maslahi ya nchi. So Mwigulu ku underperform hakumfanyi Mpina kuwa mzalendo kisa kuongea mambo asiyo na utaalamu nayo.
Ndio maana nimekuuliza Trillion 40 ndio bajeti alafu Trillion 30 imeporwa kwa mwaka mmoja pekee!! Sasa mishahara ililipwaje?
Unajua we ni great thinker mkuu nashangaa unavyobebwa na upepo wa walaghai.
Hata kama akiwa CCM ni haki yake kuzungumza na asikilizwe, kuwa CCM hakumuondolei hiyo haki yake, usihukumu mtu kwa sababu ya u CCM wake.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app