Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

Umeandika upumbavu kama ulivyo mpumbavu...we jifanye mpuuzi tu kuchezea viongozi wa dini
 
Nanukuu" Kama maendeleo hayana CHAMA iweje MTU ajiuzulu nafas yake ya uongozi kujiunga chama kingine ili kuleta maendeleo"? salamu hizi zimekua wazi na ukweli so wahusika wajitafakari.
Jibu ni jepesi sana. Maaskofu inaelekea hawajui kuwa sheria haimfungi au kumkataza mtu kuhama chama kimoja kwenda kingine. Ni tashi la kinadamu na sheria vilevile. Povu lote hili hawajalitoa alipohama Nyalandu.
Ila ni kweli tunahitaji sheria ya kuzuia hayo mambo coz yanaligharimu taifa. Ila kwa sasa lipo kisheria kabisa. Na linaonekana linaathari baada ya upande wao maaskofu wa kkkt waliokuwa wanaushabikia kuelemewa.
Tunahitaji kulijadiri hili kitaifa zaidi kuliko kisiasa.
 
Mnaanza kujigawa kimadhehebu sasa.... so sad!

Waafrica ni haki yetu kutawaliwa tena.
 
Binafsi nichukue fursa hii kwanza kumuomba Mungu msamaha wa dhati na pili niwaombe msamaha wapakwa mafuta wake yaani viongozi wa dini hapa nchini (hususani Wakatoliki & KKKT).

Nilikuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wanawalaani na kuwaponda sana kwa kukalia kimya mambo yanayoendelea nchini kwetu. Nimegundua kumbe nilikuwa nime-underestimate hekima ya ki-Mungu ambayo imepandwa ndani ya mioyo na nafsi zenu.

Mungu awabariki sana enyi wateule wake!

Ukisikia udicteta ndiyo huu watu 27 wamekaa na kuja na waraka unaopingana na matakwa ya wanyonge ambao wamekuwa wakinyonywa mda wa miaka nenda rudi. Watu hawa wamefanya haya kwa nafasi zao ili hali tunaona kanisa likikengeuka, Manisa limegeuka daraja LA kuvushia madawa na uasi was ikiwemo taasisi wanazoziongoza
Mkuu heshimu Imani za watu. Acha Fallacy of generalization.
Mhh ukisikia kanisa kukengeuka ndio huku??
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Kanisa la kiinjiri la kilutheri Tanzania (KKKT)

Historia inajionesha na inanionesha yafuatayo,

Mwaka 1995 umoja wa wachungaji wa KKKT waliungana kuwa against CCM

Mwaka 2000 waliungana kuwa against CCM na CUF pia

Mwaka 2005 nikiwa na mazungumzo na askofu wa kanda moja sitaitaja alitamka sentence ambayo mpaka leo huwa siamini kama ilitankwa na kiongozi mkubwa namna ile,

Sitataja jina ila nitataja aliyoyasema,

Rais asiye mlutheri amewabania sana kupitisha mali zao bandari kwa tax exemption, na akasema makanisa ya Roma yanapendelewa mno,

Akaenda mbali na kusema kwamba wenda Rais akiwa mlutheri kuna unafuu utapatikana,

Akaendelea leo hii Roman hawalipi kodi na wanaruhusiwa kupata msaada toka nje kwa kupitia mgongo wa serikali,

Wanapata scholarships za serikali kwa mgongo wa roman kumbe ni serikAli imegharamia,

Leo hii shule nyingi za binafsi zinazomilikiwa na lutheran zinawekewa figisu na serikali,

Kwakweli mimi kama mlutheri niliogopa sana nkasema kama kiongozi mkubwa wa dini anasema haya??

Siku moja nikawa natokea kanisa kuu nikawa ndani ya gari la askofu tukielekea Nyumbani kwa waziri mkuu mwaka 2012 , ndani ya gari la askofu nikaona majarida mbali mbali ya CHADEMA na kuna kitabu cha kampeni juu kina picha ya Dr slaa na watu waliokwenda kwenye mkutano wa hadhara,

Nilivyoona kile kitabu nikaanza kukiangalia, Askofu akasema

"huyu bwana alishinda sema wakamuibia kura na Tutasimama naye japo ingependeza zaid akagombea mtu ambaye ni wa kwetu, maana na huyu akiingia atafanya yale yale" anasema askofu,

Nikapata picha kwamba hawa viongozi wa dini wanakosea kuonesha pande zao za siasa wao walipaswa wakae mbali,

Tokea siku hiyo niliona kwamba KKKT ina choko choko za chini chini

Ila watanzania hatujali sana bora tupate raia w watanzania siyo rais wa wadini

Naipenda KKKT ila kuna sehemu wanakosea
Pia hata rushwa ya ngono
Mchungaji KKKT jela kwa rushwa ya ngono

Cc Rutashubanyuma

Note nisihusishwe na CCM , sijawahi kuwa mwana CCM
Safi sana ,uko sawa,sikiliza ushahidi kamiliView attachment Lowassa_Aomba_Kura_kanisani_KKKT_Tabora.mp4
 
Ukisikia udicteta ndiyo huu watu 27 wamekaa na kuja na waraka unaopingana na matakwa ya wanyonge ambao wamekuwa wakinyonywa mda wa miaka nenda rudi. Watu hawa wamefanya haya kwa nafasi zao ili hali tunaona kanisa likikengeuka, Manisa limegeuka daraja LA kuvushia madawa na uasi was ikiwemo taasisi wanazoziongoza

Mhh ukisikia kanisa kukengeuka ndio huku??
ndugu, wapakwa mafuta wameshasema.
heed or perish - the choice is yours (or the govt's)!
 
Sasa mnawaweka waumini Wa kkkt kuwa ni cdm , then catholic watatafuta chama. Ila jiulize ni namna gani kanisa lamfariji mzazi Wa Ben, lisu, aquila Azory, nk watu Wa kimara maana kimbilio la Moyo uliovunjika ni Imani. Je wakiulizwa juu ya uhalali Wa vyama waseme haiwahusu, humu viongozi Wa vyama kila Mara wanaomba kuombewa.
 
Kanisa la kiinjiri la kilutheri Tanzania (KKKT)

Historia inajionesha na inanionesha yafuatayo,

Mwaka 1995 umoja wa wachungaji wa KKKT waliungana kuwa against CCM

Mwaka 2000 waliungana kuwa against CCM na CUF pia

Mwaka 2005 nikiwa na mazungumzo na askofu wa kanda moja sitaitaja alitamka sentence ambayo mpaka leo huwa siamini kama ilitankwa na kiongozi mkubwa namna ile,

Sitataja jina ila nitataja aliyoyasema,

Rais asiye mlutheri amewabania sana kupitisha mali zao bandari kwa tax exemption, na akasema makanisa ya Roma yanapendelewa mno,

Akaenda mbali na kusema kwamba wenda Rais akiwa mlutheri kuna unafuu utapatikana,

Akaendelea leo hii Roman hawalipi kodi na wanaruhusiwa kupata msaada toka nje kwa kupitia mgongo wa serikali,

Wanapata scholarships za serikali kwa mgongo wa roman kumbe ni serikAli imegharamia,

Leo hii shule nyingi za binafsi zinazomilikiwa na lutheran zinawekewa figisu na serikali,

Kwakweli mimi kama mlutheri niliogopa sana nkasema kama kiongozi mkubwa wa dini anasema haya??

Siku moja nikawa natokea kanisa kuu nikawa ndani ya gari la askofu tukielekea Nyumbani kwa waziri mkuu mwaka 2012 , ndani ya gari la askofu nikaona majarida mbali mbali ya CHADEMA na kuna kitabu cha kampeni juu kina picha ya Dr slaa na watu waliokwenda kwenye mkutano wa hadhara,

Nilivyoona kile kitabu nikaanza kukiangalia, Askofu akasema

"huyu bwana alishinda sema wakamuibia kura na Tutasimama naye japo ingependeza zaid akagombea mtu ambaye ni wa kwetu, maana na huyu akiingia atafanya yale yale" anasema askofu,

Nikapata picha kwamba hawa viongozi wa dini wanakosea kuonesha pande zao za siasa wao walipaswa wakae mbali,

Tokea siku hiyo niliona kwamba KKKT ina choko choko za chini chini

Ila watanzania hatujali sana bora tupate raia w watanzania siyo rais wa wadini

Naipenda KKKT ila kuna sehemu wanakosea
Pia hata rushwa ya ngono
Mchungaji KKKT jela kwa rushwa ya ngono

Cc Rutashubanyuma

Note nisihusishwe na CCM , sijawahi kuwa mwana CCM
Hivi na wewe Marinda huna
 
Usipotoshe ujumbe wa waraka huu; hiki ni kilio cha WATANZANIA wanaominywa uhuru wao wa kujiamulia mambo yao wenyewe!! Wananchi wanataka KATIBA WANAYOITAKA WAO lakini wanakataliwa eti haimo kwenye ilani ya ccm, kwani katiba ya nchi na ilani ya chama tawala vina uhusiano gani?Inakuwaje leo bunge ambalo ndio muwakilishi wa wananchi linakuwa chini ya EXECUTIVE kwa kupewa maelekezo ya jinsi ya kufanya kazi zake? Magufuli anajifanya kwenda kusali kila jumapili lakini ni mnafiki asiyestahili kuombewa na waumini wote nchini.
Siyo watanzania bali ni KKKT ndani ya Chadema!!
 
Kanisa la kiinjiri la kilutheri Tanzania (KKKT)

Historia inajionesha na inanionesha yafuatayo,

Mwaka 1995 umoja wa wachungaji wa KKKT waliungana kuwa against CCM

Mwaka 2000 waliungana kuwa against CCM na CUF pia

Mwaka 2005 nikiwa na mazungumzo na askofu wa kanda moja sitaitaja alitamka sentence ambayo mpaka leo huwa siamini kama ilitankwa na kiongozi mkubwa namna ile,

Sitataja jina ila nitataja aliyoyasema,

Rais asiye mlutheri amewabania sana kupitisha mali zao bandari kwa tax exemption, na akasema makanisa ya Roma yanapendelewa mno,

Akaenda mbali na kusema kwamba wenda Rais akiwa mlutheri kuna unafuu utapatikana,

Akaendelea leo hii Roman hawalipi kodi na wanaruhusiwa kupata msaada toka nje kwa kupitia mgongo wa serikali,

Wanapata scholarships za serikali kwa mgongo wa roman kumbe ni serikAli imegharamia,

Leo hii shule nyingi za binafsi zinazomilikiwa na lutheran zinawekewa figisu na serikali,

Kwakweli mimi kama mlutheri niliogopa sana nkasema kama kiongozi mkubwa wa dini anasema haya??

Siku moja nikawa natokea kanisa kuu nikawa ndani ya gari la askofu tukielekea Nyumbani kwa waziri mkuu mwaka 2012 , ndani ya gari la askofu nikaona majarida mbali mbali ya CHADEMA na kuna kitabu cha kampeni juu kina picha ya Dr slaa na watu waliokwenda kwenye mkutano wa hadhara,

Nilivyoona kile kitabu nikaanza kukiangalia, Askofu akasema

"huyu bwana alishinda sema wakamuibia kura na Tutasimama naye japo ingependeza zaid akagombea mtu ambaye ni wa kwetu, maana na huyu akiingia atafanya yale yale" anasema askofu,

Nikapata picha kwamba hawa viongozi wa dini wanakosea kuonesha pande zao za siasa wao walipaswa wakae mbali,

Tokea siku hiyo niliona kwamba KKKT ina choko choko za chini chini

Ila watanzania hatujali sana bora tupate raia w watanzania siyo rais wa wadini

Naipenda KKKT ila kuna sehemu wanakosea
Pia hata rushwa ya ngono
Mchungaji KKKT jela kwa rushwa ya ngono

Cc Rutashubanyuma

Note nisihusishwe na CCM , sijawahi kuwa mwana CCM
You think you are wise....sasa tukaneni sana, msaidieni Magufuli kutukana maaskofu, maana ndivyo kichaa chenu kinavyowatuma, msaidieni kuwasingizia makuhani, tukaneni matusi yote mliyo nayo britanicca
 
Kaka unaponiona hapa nimefika ngazi za juu za KKKT na kipindi cha kina Alex malasusa ungekuwa umeshaanza kujitambua ningekwambia, pia mi kufika hatua ya kukaa meza moja ofisi kuu Luther house na kina Mwombeki, malasusa, Johson na wengine hujui this is next level? Mbaya zaid katia kampeni za mwaka 1995 nimeambatana nao mpaka wanaenda kwa mzee mrema, mwaka 2000 vivyo hivyo, ukibisha ntamwaga ugali hapa ohoooo
Usitishe watu, kama unamwaga mwaga tuu
 
Kanisa la kiinjiri la kilutheri Tanzania (KKKT)

Historia inajionesha na inanionesha yafuatayo,

Mwaka 1995 umoja wa wachungaji wa KKKT waliungana kuwa against CCM

Mwaka 2000 waliungana kuwa against CCM na CUF pia

Mwaka 2005 nikiwa na mazungumzo na askofu wa kanda moja sitaitaja alitamka sentence ambayo mpaka leo huwa siamini kama ilitankwa na kiongozi mkubwa namna ile,

Sitataja jina ila nitataja aliyoyasema,

Rais asiye mlutheri amewabania sana kupitisha mali zao bandari kwa tax exemption, na akasema makanisa ya Roma yanapendelewa mno,

Akaenda mbali na kusema kwamba wenda Rais akiwa mlutheri kuna unafuu utapatikana,

Akaendelea leo hii Roman hawalipi kodi na wanaruhusiwa kupata msaada toka nje kwa kupitia mgongo wa serikali,

Wanapata scholarships za serikali kwa mgongo wa roman kumbe ni serikAli imegharamia,

Leo hii shule nyingi za binafsi zinazomilikiwa na lutheran zinawekewa figisu na serikali,

Kwakweli mimi kama mlutheri niliogopa sana nkasema kama kiongozi mkubwa wa dini anasema haya??

Siku moja nikawa natokea kanisa kuu nikawa ndani ya gari la askofu tukielekea Nyumbani kwa waziri mkuu mwaka 2012 , ndani ya gari la askofu nikaona majarida mbali mbali ya CHADEMA na kuna kitabu cha kampeni juu kina picha ya Dr slaa na watu waliokwenda kwenye mkutano wa hadhara,

Nilivyoona kile kitabu nikaanza kukiangalia, Askofu akasema

"huyu bwana alishinda sema wakamuibia kura na Tutasimama naye japo ingependeza zaid akagombea mtu ambaye ni wa kwetu, maana na huyu akiingia atafanya yale yale" anasema askofu,

Nikapata picha kwamba hawa viongozi wa dini wanakosea kuonesha pande zao za siasa wao walipaswa wakae mbali,

Tokea siku hiyo niliona kwamba KKKT ina choko choko za chini chini

Ila watanzania hatujali sana bora tupate raia w watanzania siyo rais wa wadini

Naipenda KKKT ila kuna sehemu wanakosea
Pia hata rushwa ya ngono
Mchungaji KKKT jela kwa rushwa ya ngono

Cc Rutashubanyuma

Note nisihusishwe na CCM , sijawahi kuwa mwana CCM
Haya kachukue buku 7 yako hapo Lumumba.
 
Huwezi kuwa KKKT wewe, sema wewe wazazi wako ni waumini wa KKKT, KKKT ni kanisa sio mtu
 
Kaka unaponiona hapa nimefika ngazi za juu za KKKT na kipindi cha kina Alex malasusa ungekuwa umeshaanza kujitambua ningekwambia, pia mi kufika hatua ya kukaa meza moja ofisi kuu Luther house na kina Mwombeki, malasusa, Johson na wengine hujui this is next level? Mbaya zaid katia kampeni za mwaka 1995 nimeambatana nao mpaka wanaenda kwa mzee mrema, mwaka 2000 vivyo hivyo, ukibisha ntamwaga ugali hapa ohoooo

Sema tu mkuu, sema kama ni ukweli. Kuna watu wanajua kuwa mambo yako hivyo ila wanaona aibu kuongea.

Na kama huu ndio ukweli basi watu wengi wanajua kuanzia walutheri, wasio waislamu na wengineo. Aibu hii. Watu wa maslahi binafsi
 
Siyo watanzania bali ni KKKT ndani ya Chadema!

Potelea mbali na propaganda zenu; mnawafanya waTanzania wajinga hata CHADEMA wawe wasemaji wao ? Mateso wanayoyapata chini ya utawala huu yanabebwa na Chadema? Acheni ujinga.
 
Kanisa la kiinjiri la kilutheri Tanzania (KKKT)

Historia inajionesha na inanionesha yafuatayo,

Mwaka 1995 umoja wa wachungaji wa KKKT waliungana kuwa against CCM

Mwaka 2000 waliungana kuwa against CCM na CUF pia

Mwaka 2005 nikiwa na mazungumzo na askofu wa kanda moja sitaitaja alitamka sentence ambayo mpaka leo huwa siamini kama ilitankwa na kiongozi mkubwa namna ile,

Sitataja jina ila nitataja aliyoyasema,

Rais asiye mlutheri amewabania sana kupitisha mali zao bandari kwa tax exemption, na akasema makanisa ya Roma yanapendelewa mno,

Akaenda mbali na kusema kwamba wenda Rais akiwa mlutheri kuna unafuu utapatikana,

Akaendelea leo hii Roman hawalipi kodi na wanaruhusiwa kupata msaada toka nje kwa kupitia mgongo wa serikali,

Wanapata scholarships za serikali kwa mgongo wa roman kumbe ni serikAli imegharamia,

Leo hii shule nyingi za binafsi zinazomilikiwa na lutheran zinawekewa figisu na serikali,

Kwakweli mimi kama mlutheri niliogopa sana nkasema kama kiongozi mkubwa wa dini anasema haya??

Siku moja nikawa natokea kanisa kuu nikawa ndani ya gari la askofu tukielekea Nyumbani kwa waziri mkuu mwaka 2012 , ndani ya gari la askofu nikaona majarida mbali mbali ya CHADEMA na kuna kitabu cha kampeni juu kina picha ya Dr slaa na watu waliokwenda kwenye mkutano wa hadhara,

Nilivyoona kile kitabu nikaanza kukiangalia, Askofu akasema

"huyu bwana alishinda sema wakamuibia kura na Tutasimama naye japo ingependeza zaid akagombea mtu ambaye ni wa kwetu, maana na huyu akiingia atafanya yale yale" anasema askofu,

Nikapata picha kwamba hawa viongozi wa dini wanakosea kuonesha pande zao za siasa wao walipaswa wakae mbali,

Tokea siku hiyo niliona kwamba KKKT ina choko choko za chini chini

Ila watanzania hatujali sana bora tupate raia w watanzania siyo rais wa wadini

Naipenda KKKT ila kuna sehemu wanakosea
Pia hata rushwa ya ngono
Mchungaji KKKT jela kwa rushwa ya ngono

Cc Rutashubanyuma

Note nisihusishwe na CCM , sijawahi kuwa mwana CCM
Nyie watu ni wapumbaf sana
 
toka utapeli watu kipindi kile sijawahi tena kua na imani na wewe hata kwa unayo yaandika yanasadifu ni utapeli utapeli
 
Back
Top Bottom