Medical Dictionary
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,060
- 309
Mkuu inawezekana ukawa na nianjema lakini usipotoshe umma Lema uko kusini kwenye M4C hayuko Arusha na kwenye zile CD lema kama lema hauzi bali kuna watu wali record na wana uza kweli pale stand ndogo ya hiace na soko kuu huuzwa sana...kuhusiana na waraka wa Lema kusambazwa nani watu wameamua kuwasambazia wakazi wa arusha baada ya kuguswa na ujumbe uliotolewa na Lema...Leo katika pitapita zangu katika maeneo ya soko kuu jijini arusha niliona sii mbaya nikienda kupata taarifa mbili tatu katika kijiwe kimoja cha wazee pale soko kuu.Wazee wale walikua wanzungumzia hotuba ya rais..muda si muda ilitokea gari aina ya noah ikapaki pale akashuka godbless lema na karatasi kadhaa zilizoandikwa huo waraka wake ndipo akaanza kuugawa kwa wa2 waliokuwepo pale zilipo isha copy zikatolewa na kuanza kujadili nao kuhusu waraka huo.pia lema aliuza baadhi ya cd za nyimbo za chadema na operesheni za m4c na kwawale wasio na uwezo walichukua bure.Hakika hamasa ya wa2 ilkua kubwa sana pale.hakika ccm wasahau kabisa jimbo la arusha mjini.
pipiooooz....powerrrrr..!!!!
Mkuu inawezekana ukawa na nianjema lakini usipotoshe umma Lema uko kusini kwenye M4C hayuko Arusha na kwenye zile CD lema kama lema hauzi bali kuna watu wali record na wana uza kweli pale stand ndogo ya hiace na soko kuu huuzwa sana...kuhusiana na waraka wa Lema kusambazwa nani watu wameamua kuwasambazia wakazi wa arusha baada ya kuguswa na ujumbe uliotolewa na Lema...
Acha urere! Lema yuko kusini!
Mkuu hata mimi nilishangaa sana kumuona Lema pale wakati najua yupo Mtwara..lakini yawezekana alitumia usafiri wa ndege..hata hivo hakukaa sana alionekana kua na haraka sana.
Kuhusu CD hizo nikweli zinauzwa maeneo uliyo yataja lakini pia lema alikuja nazo pale na hata hivo zilizochukuliwa bure ni nyingi zaidi ya zile zilizouzwa kwahyo nia ya Lema haikua biashara..
Mkuu Lema jioni hii amehutubia kusini
hata mie nashangaaa Lema jana mnamo majira ya tisa kama na robo alikuwa anatoka kewnye mkutano mji mdogo wa Ndanda kwa ajili ya kurudi Masai mjini kuungana na Kamanda wa kikosi cha anga Mbowe, na DR slaa,kama kasafiri kwa ndege,ni Mtwara mjini ambako ni km 260 toka mtwara mjini,na ndege pale hutoka saa 3 asubuhi?aliwezaje kuwepo Arusha,kuwa makini kwa taarifa zako ,huyo jamaa asipotoshe umma.Mkuu inawezekana ukawa na nianjema lakini usipotoshe umma Lema uko kusini kwenye M4C hayuko Arusha na kwenye zile CD lema kama lema hauzi bali kuna watu wali record na wana uza kweli pale stand ndogo ya hiace na soko kuu huuzwa sana...kuhusiana na waraka wa Lema kusambazwa nani watu wameamua kuwasambazia wakazi wa arusha baada ya kuguswa na ujumbe uliotolewa na Lema...
Leo katika pitapita zangu katika maeneo ya soko kuu jijini arusha niliona sii mbaya nikienda kupata taarifa mbili tatu katika kijiwe kimoja cha wazee pale soko kuu.
Wazee wale walikua wanzungumzia hotuba ya rais..muda si muda ilitokea gari aina ya noah ikapaki pale akashuka Godbless Lema na karatasi kadhaa zilizoandikwa huo waraka wake ndipo akaanza kuugawa kwa wa2 waliokuwepo pale zilipo isha copy zikatolewa na kuanza kujadili nao kuhusu waraka huo.
Pia Lema aliuza baadhi ya cd za nyimbo za chadema na operesheni za m4c na kwawale wasio na uwezo walichukua bure. Hakika hamasa ya wa2 ilkua kubwa sana pale. Hakika ccm wasahau kabisa jimbo la Arusha mjini.
pipiooooz....powerrrrr..!!!!
namba za lema 0764150747
namba za lema 0764150747
Mkuu hata mimi nilishangaa sana kumuona Lema pale wakati najua yupo Mtwara..lakini yawezekana alitumia usafiri wa ndege..hata hivo hakukaa sana alionekana kua na haraka sana.
Kuhusu CD hizo nikweli zinauzwa maeneo uliyo yataja lakini pia lema alikuja nazo pale na hata hivo zilizochukuliwa bure ni nyingi zaidi ya zile zilizouzwa kwahyo nia ya Lema haikua biashara..