Waraka wa Lema kwa rais wasambazwa Arusha mjini

Hakuna m2 anaitwa Lema katika siasa za arusha mnajisumbua bure na cd zake utadhani alizaliwa awe kiongozi tena kwa arusha asahau ata ubalozi wa nyumba2 hafai kuwa kiongoz muhuni,kibaka,jambaz,mlevi anaedanganya kaokoka c bora ata 2ongozwe na jiwe kuliko lema

Uandishi huu ni aliyeishiwa kimwili na kiakili. Kama katumwa na Nape au Ikulu ya JK kuleta mipasho
 
Mkuu hata mimi nilishangaa sana kumuona Lema pale wakati najua yupo Mtwara..lakini yawezekana alitumia usafiri wa ndege..hata hivo hakukaa sana alionekana kua na haraka sana.Kuhusu CD hizo nikweli zinauzwa maeneo uliyo yataja lakini pia lema alikuja nazo pale na hata hivo zilizochukuliwa bure ni nyingi zaidi ya zile zilizouzwa kwahyo nia ya Lema haikua biashara..
Jamani lema yupo mtwara acha kudanganya wewe
 
Hakuna m2 anaitwa Lema katika siasa za arusha mnajisumbua bure na cd zake utadhani alizaliwa awe kiongozi tena kwa arusha asahau ata ubalozi wa nyumba2 hafai kuwa kiongoz muhuni,kibaka,jambaz,mlevi anaedanganya kaokoka c bora ata 2ongozwe na jiwe kuliko lema

Kwenu watu wanaotetea haki na utu wa watanzania, wanaopigania kutetea rasilimali za watanzania wanaonekana ndiyo Majambazi, wezi, nk.
Lakini wanaoiba, wanaokwapua rasilimali za watanzania wanaonekana ndiyo viongozi bora! sharo.
NA ULAANIWE MBINGUNI NA DUNIANI, NA WATU WOTE WASEME AMEN!
 
Last edited by a moderator:
haya Lema yupo Arusha yupo kusini yote sawa cha maana ni mwanamapinduzi na Arusha tunamkubali tuzielewe na kuzieneza falsafa zake!!
 
Hakuna m2 anaitwa Lema katika siasa za arusha mnajisumbua bure na cd zake utadhani alizaliwa awe kiongozi tena kwa arusha asahau ata ubalozi wa nyumba2 hafai kuwa kiongoz muhuni,kibaka,jambaz,mlevi anaedanganya kaokoka c bora ata 2ongozwe na jiwe kuliko lema
Aisee umerudi lini toka magereza ile kesi yako ya kubaka kichaa iliishia wapi? nakushauri uende mawenzi au Mirembe wakuchunguze laana ya yule kichaa bado unayo!!
 
Hakuna m2 anaitwa Lema katika siasa za arusha mnajisumbua bure na cd zake utadhani alizaliwa awe kiongozi tena kwa arusha asahau ata ubalozi wa nyumba2 hafai kuwa kiongoz muhuni,kibaka,jambaz,mlevi anaedanganya kaokoka c bora ata 2ongozwe na jiwe kuliko lema

Kichaa si mpaka ushinde majalalani ni kutokuoga mtindio wa ubongo una ishara nyingi
 
Hakuna m2 anaitwa Lema katika siasa za arusha mnajisumbua bure na cd zake utadhani alizaliwa awe kiongozi tena kwa arusha asahau ata ubalozi wa nyumba2 hafai kuwa kiongoz muhuni,kibaka,jambaz,mlevi anaedanganya kaokoka c bora ata 2ongozwe na jiwe kuliko lema

G.Lema si size yenu nyie MAGAMBA watoto. Alyemwta Lema Oysterbay ndo size yake. Ndo maana hakuna mwngne anayeinglia. Si nape, mukama, kinana, kingung, makamba wala nani. Wanajua kabisa kuwa Lema ni size ya bosi wao.
 
Back
Top Bottom