Waraka wa kurudishwa kazini

Ishu hyo Ni kweli mm binafsi tangu mwezi wa NNE nilifanya hvyo lakini imekuwa kimya tena hakuna cha kuitwa wala nn???
ni pm upo wizara gani ishu walio rudishwa mwezi wa NNE ni wale wenye applicant number ila kwa wale ambao awana applicant no bado utumishi awajatoa maelekezo
 
unge ulizia
Alieshiba hajui mwenye njaa na wala hajui maumivu na uchungu wa asie na kazi .. Hakika mwenyezi Mungu ndo anajua. HR wengine ukimuuliza hata kwa polite way namna gani huwa wanahisi unawasumbua vile kumbe mtu unashida ...
Acha tu Mungu mwema atatenda mwenyewe siku yangu ikifika
Nimejitahidi kujaribu kuulizia lskini aliekupigia simu tena hapokei na wala msg hajibu ..
Hakika Mungu anamuona haya Ni mapito tu ....
 
pole ndivyo walivyo ma hr
 
 
Wanaita kurudi kazini lakini kwa makundi makundi serikali haina pesa kuruhusu watu wote waingie kazini kwa wakati mmoja.Hivyo kuweni na subira ndugu zanguni
 
Wanaita kurudi kazini lakini kwa makundi makundi serikali haina pesa kuruhusu watu wote waingie kazini kwa wakati mmoja.Hivyo kuweni na subira ndugu zanguni
acha uongo kwa makundi kivipi bwana kama hujui kitu kaa kimya
 
Reactions: irk
acha uongo kwa makundi kivipi bwana kama hujui kitu kaa kimya
Sasa unanibishia mkuu ama?au una stress ndugu yangu? Maana sio kwa povu hilo. Narudia tena watu wameshaanza kuitwa kazini kwa awamu...we ukibisha wala sikushikii kiboko kukulazimisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…