mliverpool
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 1,580
- 2,993
Source au uandike chanzo tujueSosi!?
Wanatafuta visingizio msiripoti basi wawateme,mwisho 9 wakati waraka umetoka jana sijui dah je wa mikoani
Na walioajiriwa na mahakama wameitwa??Mnaotaka sosi subirini chilli, watu tushajaza mikataba,hii ni taarifa kama unawajua wapo vijijini au waliuza simu waambie wawahi maofisini kwao
Umetoka lini?Kuna MTU nimemsikia kweli au
Chanzo yeye mwenyewe kaona waraka ofsiniSource au uandike chanzo tujue
Hebu Ni pm kwenye 0763500398 .tueleweshaneMnaotaka sosi subirini chilli, watu tushajaza mikataba,hii ni taarifa kama unawajua wapo vijijini au waliuza simu waambie wawahi maofisini kwao
HahahaMnaotaka sosi subirini chilli, watu tushajaza mikataba,hii ni taarifa kama unawajua wapo vijijini au waliuza simu waambie wawahi maofisini kwao
Tupeane updates jaman wengne tumefanya hvyo lakin hawatuiti kwenda kuaza kazi kuna yeyote ambaye ameshaitwa kuaza kazi ?:upande wa afya . hospital.Hebu Ni pm kwenye 0763500398 .tueleweshane
mh ujapata check noAisee mm nimepigiwa simu tangu tarehe saba mwezi wa nne kujaza mkataba upya lakini hadi Leo sijaitwa tena kuaza kazi... Inakuwaje jamani