Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,638
- 697,929
Misa za Jumapili ya leo kwenye makanisa mbalimbali nchini zimemalizika kwa kusomwa kwa mara ya pili waraka wa kupinga mkataba wenye walakini mkubwa wa uwekezaji kati ya bandari za Tanganyika na kampuni ya DPW
Kikubwa kilichoonekana kwenye hizo misa nchini kote ni ongezeko la wageni na waumini.. Ishara ya kwamba moto wa waraka unazidi kushika kasi kwenye mbuga kavu
Pamoja na watu wenye nia ovu ya kutaka kunasibisha huu waraka na udini lakini TEC hawajarudi nyuma wa wamesisistiza wataendelea na ratiba yao ya kuusoma kwa wiki nne zilizobaki
Wenye uelewa finyu na mawazo kimo cha mbilikimo wameelewa kupuyanga kwa kujadili watu, imani na taasisi huku wakishindwa kabisa kujibu walau mstari moja tu wa hoja za waraka!
Tutegemee vioja zaidi
Tutegemee vitisho zaidi
Tutegemee ujinga zaidi ... Maana bado wiki 4 kukamilisha ratiba ya kusomwa kwa waraka