Waraka Wa Jaji Warioba kwa Wassira

Waraka Wa Jaji Warioba kwa Wassira

Hivi kuna jitu jiongo kama Wassira nje ya ccm? Uwongo ni rangi ya ccm. Na mtu akishaanza kuwa mkweli kama vile jaji Warioba alivyo, tayari ni adui wa ccm.

Warioba hana ukweli wowote ni MTU anaependa popularity
 
Halafu eti CCM wanamwita Wassira jembe!? Kumbe ni jembe la kusema uongo? Chama chenyewe kimejaa uongo, fitna na majungu. Ndiyo maana kinaipeleka nchi kwenye umasikini.
 
huyu binadamu anayeitwa Wassira kwa nini anajipa shavu sana siku hizi?

Haya nakwenda GOMBE kumfuata bosi wako!!

Angalau hakudanganya kama alivyofanya Wassira

Vijana mbona mnaweweseka sana mkisikia jina la Wassira? kulikoni amewabana?
kuna wengine mnasema hafai, kama hafai si mumuache tu ili ashindwe vizuri.
Mathalani mtu hakubaliki, mbaya wa sura, anawakera, wazungu watawacheka mkimchagua, sasa mtu wa namna hiyo kwanini mnamjadili kila siku?

Ukiona nyuki wametanda msituni tena sehemu moja ujue kuna maua yanayofaa kwa asali.
mnapozidi kumshambulia Stephen Wassira mnawafanya wasiomjua kumjua zaidi, waliokuwa wanambeza kumheshimu zaidi, kwa ufupi mnapigia kampeni kwa gharama nafuu.

Kuna mgombea wa kimarekani yaliwahi kumkuta hayahaya ya kutukanwa na kubezwa, kuzomewa na kuitwa majina ya madubwasha na madudu, siasa ni upepo, kilichokuja kuwageuka wapinzani wake ni simulizi mpaka leo, yaani "mbaya huyo" aliwatimulia vumbi hawakuamini.
Hii naiona very soon kupitia huyu Stephen.

Muda haudanganyi, na ukweli haujifichi, endeleeni kupambana lakini kumbukeni Politics is a game of chance,opportunity and wording.
 
Unatetea mtu asiyekubalika na alichemka tangu alipohama chama.
 
Warioba atabaki kuwa MWAMBA wa Taifa hili! Kwa kusema ukweli pasi na unafiki, amekuwa mtume mwema na mwaminifu. Wezi, wahafadhina, walafi, viwavi, wavivu na wapuuzi watamuona J S Warioba kama shubiri na mwiba juu ya ulafi wao! Asante Warioba. Taifa bado linakuhitaji iwe ndani ama nje ya ccm.

mwamba wa wanywa gongo .ukiona mtu hanenepi huku anamaisha poa jua anaroho mbaya sana
 
ukiona mtu hajibu hoja yy matus ujue anaondoa ukweli!,huu uzi unaonekana umewagusa watu wenye maslah binafs ila sio taifa cz hadui wa taifa hili sikuizi amekuwa msema UKWELI,ambao viongoz wetu mlii wengi hamjui ukweli
 
Nilikuwa najiuliza kwanini Makamba na Wassira ni watu wa karibu? Sasa nimepata jibu, hawa wote wako tayari kukupakazia lolote ailimuradi ana survive ktk siasa maslahi....JK akamtosa Makqmba kwa shinikizo la wenye CCM ila huyu amemganda kama ruba.....lakini ni suala la wasaa tu naye ataondoka naye ktk siasa za nchi hii, nashangaa Bulaya leo kuitwa msagaji eti kwa sababu anatishia ustawi wa Wasssira pale Bunda! Makamba , Wasira, Makinda waliwatumia Kombani na Mkulo huku Aziz Aboud aki finance operesheni tokomeza Ngasongwa 2007...2008...2010. Nikikumbuka hawa watu walivyomfanyia visa Alhaj Ngasongwa siamini mpaka leo kama kweli hii ndio Tanzania! Dhambi kubwa ni influence yake ktk kumminya Aboud Morogoro 2000 na 2005 pale alipowabeba wazawa Mazola na Dkt Mzeru.....ktk ubunge, Polyster na vitu kama hivyo. Wasira alimuhofia sana Ngasongwa huku akimuita anajifanya Msomi sana huyu jamaa. Wassira ni janga ambalo limeachwa litamalaki kwa miaka 10 ya JK. Kuna mtu alihoji kwanini Jakaya anayumbishwa na watu wawili wa Mara? kila mmoja ana mapungufu yake but Wassira is the worst thing happened to Jakaya na hana pa kujitenga naye.

ukimsikia wasira unajambajamba tu humu

tulieni sindano za wasira ziwaingie wanafk wote
 
Hivi mnajua Jaji Warioba anaandamwa na ile organ ya Dkt Magufuli eti aondoke kwenye nyumba yao alikoweka ofisi zake Masaki! Hivi JK au JPM wanalijua hili jambo? Acheni kumchafua JK na Magufuli kwa usanii huu, kawakosea nini huyu Jaji?
 
hahahaaaaaaaaaa! Njaaaas mbaya sana....kama utetezi ni huu basi atafute kambi itakayomlealea.
 
Bado ukweli uko palepale, Wassira alionewa, na uonevu siku zote una kikomo, kama Warioba alikuwa anapendwa sana na Wana-Bunda kulikoni akaangukia pua mwaka 1995?

Kama Warioba ni msafi kulikoni atumie gari la Waziri Mkuu na Pesa za serikali kwenye kampeni?
Nadhani hata wewe ukweli unauona alichokisema Wassira.

Kwanini Safari ya Warioba ilikomea njiani na Wssira mpaka leo anaendelea?
Katika hayo nani anakubalika na wana-Bunda?

Kwanini Warioba hajawahi kugombea tena Bunda? na kwanini mpaka leo hajarudi bunda hata kupalilia nyumba yake iliyojaa nyasi kijijini kwao Nyamuswa?
Kwanini hapendi kuwasaidia ndugu zake hata kwa Matibabu tu, Kaka yake Ndg. Chai Warioba mpaka leo anaumwa na ni fukara kupindukia kwanini asimsaidie? na hao ndio waliomnyima kura, Warioba alikosa kula mpaka za ndugu zake.

Warioba nilitarajia utaweka waraka mzito lakini nimeshangazwa kuona maandishi tu tena ya kujitetea, Wassira is always a hero to you.
Hakuna haja ya kurushiana maneno, nyie ni watu wa eneo moja, ukweli unajulikana, kukubali kushindwa ni Heshima pia.

Waambie hao wachumia tumbo wanaotumika hovyo hovyo
 
Kwakweli nakiri kukosea kumjadili mtu huyu hapa, naishia hapa na kwa dhati naungana jamii iliyo m delete huyu mtu. Ushauri, ajistaafie na kurudi kuwa mwananchi anayesubiri hukumu yetu kwa dhambi zake.

Ni bora umejitambua sasa huna hadhi ya kumjadili mzee Wasira bana who Ar u by da way Nonsenc
 
hahahaaaaaaaaaa! Njaaaas mbaya sana....kama utetezi ni huu basi atafute kambi itakayomlealea.

Hio kambi yako na siasa yako hamna kitu kuielezea jamii zaidi ya mafile ya umbea na upashkuna uliyojaza kwenye hio box yako
 
Mtu anayemtetea Wasira atakuwa hana tofauti na yeye. Jitu kuubwa akili ndogo kama ya inzi. Kinachomfanya alalamike leo ni nini. Hapa ni takriban 20 years. Halafu anajiona eti rais 2015. Aseme kwa nini alihama chama halafu akajirudisha then anataka Urais. Akikosa kipindi hiki atahamia wapi?
 
Back
Top Bottom