Waraka Wa Jaji Warioba kwa Wassira

Waraka Wa Jaji Warioba kwa Wassira

Asante mkuu, umebarikiwa ktk kutukana watu, mchunguze vizuri huyo unayemuabudu utajua kama una haki ya kutukana watu eti ------,! Lipi jema kukueleza ukweli au kumpakazia Bint wa watu eti Msagaji! Kisa nini hasaa? Ubunge au ? Tz haitaji rais anayewatusi wananchi wake kisa anampinga tena kwa hoja safi na za kujipima. Tunakumbuka alichosema Mwalimu 1995 Bunda, kuwa kati ya hawa wawili Joseph Warioba ni bora sana lakini kwa ulevi wa gongo mkalishwa rushwa mkamdondosha Joseph.

Mwambieni asipoteze muda hafai kwa mboga wala kiungo chochote. CCM ina hazina kubwa huyu hakuwahi kuwa mmoja wao na hatakuwapo....,

Sasa kama wewe shabiiki uko hivyo tutarajie nini mkipewa tena fursa? Kuwa mstaarabu

Hayo yote ni matokeo ya kiongozi DHAIFU kumuweka mtu muongo kama mshauri wake; ukaribu wake na viongozi wa hapo Magogoni unamfanya nae aamini kuwa anafaa kuwa mpangaji pale!!
 
Unajijibu mwenyewe.....
 
Jamani waraka upo na Mwananchi wamejikongoja kuuweka hadharani.....huu ndio msimu wa kuufahamu ukweli. Nyerere ndie aliyemkimbiza Wasira na si Warioba kama kumbukumbu zetu ziko sawa....1995, ni sawa na Slaa alivyokimbizwa na Mwinyi 1995 pale alipomtaka Qorro ....fact hizi si za kubezwa, Slaa alipinga NEC akagomewa ikabidi atumie haki yake nje ya CCM na akasimamia haki hiyo. Wassira hakufanya hivyo na kibaya zaidi alitumia rushwa ktk kupata ushindi wake....akabainika mahakamani pia. Sasa kuendelea kutudanganya eti alionewa ilihali alikosea mwenyewe, asiyesikia la mkuu huvunjika mguu, kama wengi hamuamini huu waraka utamuumiza Wassira mbele ya safari. Akubali tu amepewa second chance kimagumashi imetosha....kung'ang'ania tena 2015 ni kusaka unhealthy downfall. Ukiiba bila kuonwa...bila kuhisiwa...basi shukuru kuwa umekula na vipofu imetosha. Funika kombe.....
siyo kutukana watu

Dalili kubwa kabisa ya kwamba CCM mambo siyo mazuri, ni ile hali ya kuwategemea watu wenye utata mwingi, watu wasiokuwa na chembe yoyote ya ushahidi kwamba wana hekima na busara. Huwa namsikiliza sana ndugu Wasira, jinsi anavyojenga hoja zake, anavyotoa hotuba zake. inasikitisha kwa kweli mtu aliyejaliwa umbo kubwa kama lile, angekuwa ni mtu mwenye busara na hekima, angefaa sana katika siasa. lakini kwa kweli ni tatizo kubwa. katika kampeni za CCM huwa anajitambulisha kama "kiboko ya CHADEMA", kwa kumaanisha kwamba CHADEMA ni tatizo kubwa sana kwa ccm. lakini nikiangalia sana sana mikakati ya Wasira katika kuibomoa CHADEMA ni katika kutabiria CHADEMA kifo, pengine kwa kuzusha "ugaidi" katika CHADEMA, na kuwashambulia viongozi wake kwamba ni "mashetani" au "mapepo". sioni zaidi ya hilo.

Katika jitihada zake za kufukia madhambi yake huko nyuma, hapo ndipo Wasira ameonekana kabisa kwamba hana busara. hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kuchagua kupita njia inayopita karibu na mzinga wa nyuki, kisha akawachokoza na kuendelea na safari yake huku anapiga mluzi? maana Warioba alimwangusha Wasira "comprehensively" - CHALI!! - katika kesi ya uchaguzi, na zaidi ya hapo Wasira alithibitika kuhonga na akapewa adhabu. sasa kumbukumbu kama hizi Wasira alitakiwa kuziepuka kabisa. yeye hakutakiwa kabisa kumshambulia Warioba, maana hapo ndipo uvundo wake wote ungekuwa hadharani. angeanzisha chaneli tofauti kabisa ya harakati zake na mikakati yake. sasa alivyokuwa zoba, mradi kaona kila mtu anamshambulia Warioba, kwamba kumtukana Warioba ndio "habari ya mujini" naye kajitumbukiza huko. Kubwa jinga? Hovyo!

Na ukiangalia majibu ya Warioba, ni kama anaongea na mtoto mdogo, zaidi hasa anamuasa. hapo jenga picha: mtoto mdogo ni bonge Wasira - mwenye muonekano wa kutisha na wenye mamlaka, wakati mtu mzima mwenye busara hapo ni kiji-Warioba - kijamaa chembabaa, na sura tulivu! Warioba anamkumbusha Wasira kwamba ni "mgombea urais", na anamtahadharisha kwamba kauli hizo zinaweza kumgharimu huko mbele. anasisitiza kusema "ukweli" - maneno ya hekima hayo ambayo Wasira au washauri wake - kama anao - wanatakiwa kuyazingatia sana.

katika mtanange unaoendelea sasa hivi, ni kawaida kwa watu wasioona mbali, na kujua maslahi ya kweli ya taifa yako wapi, kupiga kelele kwa sauti kubwa sana. wenye muono wa mbali na kuwa na hekima na busara watakuwa na sauti ndogo. walio wengi watafuata kelele. Wenye busara watakuja kuonekana baadae - wakati mambo yameharibika - kwamba walichokuwa wanaongea ndio hasa ukweli wenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: ral
Jamani waraka upo na Mwananchi wamejikongoja kuuweka hadharani.....huu ndio msimu wa kuufahamu ukweli. Nyerere ndie aliyemkimbiza Wasira na si Warioba kama kumbukumbu zetu ziko sawa....1995, ni sawa na Slaa alivyokimbizwa na Mwinyi 1995 pale alipomtaka Qorro ....fact hizi si za kubezwa, Slaa alipinga NEC akagomewa ikabidi atumie haki yake nje ya CCM na akasimamia haki hiyo. Wassira hakufanya hivyo na kibaya zaidi alitumia rushwa ktk kupata ushindi wake....akabainika mahakamani pia. Sasa kuendelea kutudanganya eti alionewa ilihali alikosea mwenyewe, asiyesikia la mkuu huvunjika mguu, kama wengi hamuamini huu waraka utamuumiza Wassira mbele ya safari. Akubali tu amepewa second chance kimagumashi imetosha....kung'ang'ania tena 2015 ni kusaka unhealthy downfall. Ukiiba bila kuonwa...bila kuhisiwa...basi shukuru kuwa umekula na vipofu imetosha. Funika kombe.....
siyo kutukana watu

Bado ukweli uko palepale, Wassira alionewa, na uonevu siku zote una kikomo, kama Warioba alikuwa anapendwa sana na Wana-Bunda kulikoni akaangukia pua mwaka 1995?

Kama Warioba ni msafi kulikoni atumie gari la Waziri Mkuu na Pesa za serikali kwenye kampeni?
Nadhani hata wewe ukweli unauona alichokisema Wassira.

Kwanini Safari ya Warioba ilikomea njiani na Wssira mpaka leo anaendelea?
Katika hayo nani anakubalika na wana-Bunda?

Kwanini Warioba hajawahi kugombea tena Bunda? na kwanini mpaka leo hajarudi bunda hata kupalilia nyumba yake iliyojaa nyasi kijijini kwao Nyamuswa?
Kwanini hapendi kuwasaidia ndugu zake hata kwa Matibabu tu, Kaka yake Ndg. Chai Warioba mpaka leo anaumwa na ni fukara kupindukia kwanini asimsaidie? na hao ndio waliomnyima kura, Warioba alikosa kula mpaka za ndugu zake.

Warioba nilitarajia utaweka waraka mzito lakini nimeshangazwa kuona maandishi tu tena ya kujitetea, Wassira is always a hero to you.
Hakuna haja ya kurushiana maneno, nyie ni watu wa eneo moja, ukweli unajulikana, kukubali kushindwa ni Heshima pia.
 
Dalili kubwa kabisa ya kwamba CCM mambo siyo mazuri, ni ile hali ya kuwategemea watu wenye utata mwingi, watu wasiokuwa na chembe yoyote ya ushahidi kwamba wana hekima na busara. Huwa namsikiliza sana ndugu Wasira, jinsi anavyojenga hoja zake, anavyotoa hotuba zake. inasikitisha kwa kweli mtu aliyejaliwa umbo kubwa kama lile, angekuwa ni mtu mwenye busara na hekima, angefaa sana katika siasa. lakini kwa kweli ni tatizo kubwa. katika kampeni za CCM huwa anajitambulisha kama "kiboko ya CHADEMA", kwa kumaanisha kwamba CHADEMA ni tatizo kubwa sana kwa ccm. lakini nikiangalia sana sana mikakati ya Wasira katika kuibomoa CHADEMA ni katika kutabiria CHADEMA kifo, pengine kwa kuzusha "ugaidi" katika CHADEMA, na kuwashambulia viongozi wake kwamba ni "mashetani" au "mapepo". sioni zaidi ya hilo.

Katika jitihada zake za kufukia madhambi yake huko nyuma, hapo ndipo Wasira ameonekana kabisa kwamba hana busara. hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kuchagua kupita njia inayopita karibu na mzinga wa nyuki, kisha akawachokoza na kuendelea na safari yake huku anapiga mluzi? maana Warioba alimwangusha Wasira "comprehensively" - CHALI!! - na zaidi ya hapo katika kesi alithibitika kuhonga na akapewa adhabu. sasa kumbukumbu kama hizi alitakiwa kuziepuka kabisa. yeye hakutakiwa kabisa kumshambulia Warioba, maana hapo ndipo uvundo wake wote ungekuwa hadharani. angeanzisha chaneli tofauti kabisa ya harakati zake na mikakati yake. sasa alivyokuwa zoba, mradi kaona kila mtu anamshambulia Warioba, kwamba kumtukana Warioba ndio "habari ya mujini" naye kajitumbukiza huko. Kubwa jinga? Hovyo!
Kaka naona unatumika kisawa sawa, hapa jukwaani miaka miwili iliyopita, wakati huo bado ni msomaji tu makala nyingi za matusi na kejeli zilitungwa na kumponda Wassira, lakini ajabu umaarufu wake na sifa zake zinazidi kuongezeka, sasa hujiulizi kwanini?
Unadhani haya ni Matusi mapya?
Wassira ana kipaji, na amebarikiwa kuijua siasa, kwenye ushindani kama huu mnaojaribu kuufanya yeye huibuka mshindi.

Yeye ni sawa na gogo la udi ukilichoma ndio linazidi kunukia.
 
Waraka wa Warioba ni mzuri.
Bila shaka Mr Tyson anatafuta pa kutokea. Warioba ni mwanachama wa CCM si CCM! Kama kungekuwa na tatizo kipindi hicho, basi angepeleka malalamiko CCM na si kukimbia chama. Ni aibu kwa mtu anayehamahama kwenye vyama akagombea nafasi ya urais kama vile hamna waadilifu na wakereketwa ndani ya chama.
Bila shaka anaposisitiza kuwa UKAWA warudi kwenye vikao vya BMK angetakiwa kujua kuwa hiyo principle ilikuwepo ndani ya CCM tangu enzi hizo za Warioba. Na alichotakiwa kukifanya ni kujisalimisha kwenye chama na si kwenda NCCR.
Anjo
 
Warioba atabaki kuwa MWAMBA wa Taifa hili! Kwa kusema ukweli pasi na unafiki, amekuwa mtume mwema na mwaminifu. Wezi, wahafadhina, walafi, viwavi, wavivu na wapuuzi watamuona J S Warioba kama shubiri na mwiba juu ya ulafi wao! Asante Warioba. Taifa bado linakuhitaji iwe ndani ama nje ya ccm.
 
Sina tatizo na "kuongezeka kwa umaarufu wa Wasira" - ninachoangalia ni Wasira mwenyewe anaamini nini na anasema nini na anafanya nini. sijakiona cha pekee kwake, historia yake ndiyo hiyo. tatizo kubwa hapo nadhani ni CCM kukosa falsafa. hivyo wababaishaji ndio wanakuwa maarufu sana. endelea kumshabikia huyo Wasira, lakini utaona atakavyoishia, halafu ndio tutazungumza vizuri.
 
Warioba atabaki kuwa MWAMBA wa Taifa hili! Kwa kusema ukweli pasi na unafiki, amekuwa mtume mwema na mwaminifu. Wezi, wahafadhina, walafi, viwavi, wavivu na wapuuzi watamuona J S Warioba kama shubiri na mwiba juu ya ulafi wao! Asante Warioba. Taifa bado linakuhitaji iwe ndani ama nje ya ccm.

Kutoka maktaba: Warioba looses seat

Minister for Regional Administration and Local Government and former Prime Minister and First Vice-President, Joseph Warioba, lost his Parliamentary seat in October after the nullification of last year's election results in the Bunda constituency. Declaring the seat vacant before a packed Musoma Cultural Centre audience, the Chairman of the Electoral Commission said the complainant who had opposed him in the election, Mr Ramadhani Mkondya, had not been afforded a fair and equal opportunity to be elected by Bunda District CCM Political Committee. Counsel for Mr Warioba had submitted that, as Prime Minister, he was entitled to ceremonial privileges inherent in his post. The complainant said that Warioba had used Party and Goverment machinery to influence voters.

In mid-December it was announced that Mr Warioba was one of five candidates hoping to re-contest the seat in the forthcoming by election.

SOURCE: http://www.tzaffairs.org/1992/01/warioba-loses-seat/
 
Asante mkuu, umebarikiwa ktk kutukana watu, mchunguze vizuri huyo unayemuabudu utajua kama una haki ya kutukana watu eti ------,! Lipi jema kukueleza ukweli au kumpakazia Bint wa watu eti Msagaji! Kisa nini hasaa? Ubunge au ? Tz haitaji rais anayewatusi wananchi wake kisa anampinga tena kwa hoja safi na za kujipima. Tunakumbuka alichosema Mwalimu 1995 Bunda, kuwa kati ya hawa wawili Joseph Warioba ni bora sana lakini kwa ulevi wa gongo mkalishwa rushwa mkamdondosha Joseph.

Mwambieni asipoteze muda hafai kwa mboga wala kiungo chochote. CCM ina hazina kubwa huyu hakuwahi kuwa mmoja wao na hatakuwapo....,

Sasa kama wewe shabiiki uko hivyo tutarajie nini mkipewa tena fursa? Kuwa mstaarabu

Mkuu nimependa bandiko lako lakini hujaeleza kiundani kati ya hao wawili na mantiki ya mwalimu ilikuwa nini
 
Hii ndio Jf yetu, tuko tayari kuhukumiwa kwakuwa wakweli na si kuwatukuza watu wabovu kwa sababu ya ulinzi wa matumbo yetu kama Ras aliyekubuhu kutukana akidhania yeye ndie wa kwanza kutukana.
 
huyu binadamu anayeitwa Wassira kwa nini anajipa shavu sana siku hizi?
 
Kuna wengi hawajatambua hekima na njia aloipitia Jakaya, ni kweli alilipa visasi vingine bila yeye kupenda, aligombanishwa na wengi kwa kuamini sana type ya huyu wasira, yeye alipobaini akavunja kambi strategically. ...JK wa 2005 siyo huyu anayeondoka....sasa yeye yuko tayari kwa swala ya hijja kwani nafsi yake imejiridhisha na ndio maana ukimuangalia usoni majibu unayaona wazi kuwa amechoshwa na wachumia tumbo waliomzunguka ktk tenure yake kwa kumpamba kinafiki ila rohoni anajua wazi "Ole wao wanafiki siku akiondoka Ikulu" JK ana mapatano kwa matendo pale pote alipogombanishwa na kufitinishwa, ole wenu msiomsoma Jakaya kwa hekima pevu usoni....
 
Waraka wa Warioba ni mzuri.
Bila shaka Mr Tyson anatafuta pa kutokea. Warioba ni mwanachama wa CCM si CCM! Kama kungekuwa na tatizo kipindi hicho, basi angepeleka malalamiko CCM na si kukimbia chama. Ni aibu kwa mtu anayehamahama kwenye vyama akagombea nafasi ya urais kama vile hamna waadilifu na wakereketwa ndani ya chama.
Bila shaka anaposisitiza kuwa UKAWA warudi kwenye vikao vya BMK angetakiwa kujua kuwa hiyo principle ilikuwepo ndani ya CCM tangu enzi hizo za Warioba. Na alichotakiwa kukifanya ni kujisalimisha kwenye chama na si kwenda NCCR.
Anjo

Warioba atabaki kuwa MWAMBA wa Taifa hili! Kwa kusema ukweli pasi na unafiki, amekuwa mtume mwema na mwaminifu. Wezi, wahafadhina, walafi, viwavi, wavivu na wapuuzi watamuona J S Warioba kama shubiri na mwiba juu ya ulafi wao! Asante Warioba. Taifa bado linakuhitaji iwe ndani ama nje ya ccm.

Poor @Wasira acha wanabunda waungane na bulaya may be watasonga atleast, Wasira ameshindwa kuimanage Bunda ataweza nchi? This old man is undergoing mind decay.

Hii ndio Jf yetu, tuko tayari kuhukumiwa kwakuwa wakweli na si kuwatukuza watu wabovu kwa sababu ya ulinzi wa matumbo yetu kama Ras aliyekubuhu kutukana akidhania yeye ndie wa kwanza kutukana.

huyu binadamu anayeitwa Wassira kwa nini anajipa shavu sana siku hizi?

Kutoka maktaba: Warioba looses seat

Minister for Regional Administration and Local Government and former Prime Minister and First Vice-President, Joseph Warioba, lost his Parliamentary seat in October after the nullification of last year’s election results in the Bunda constituency. Declaring the seat vacant before a packed Musoma Cultural Centre audience, the Chairman of the Electoral Commission said the complainant who had opposed him in the election, Mr Ramadhani Mkondya, had not been afforded a fair and equal opportunity to be elected by Bunda District CCM Political Committee. Counsel for Mr Warioba had submitted that, as Prime Minister, he was entitled to ceremonial privileges inherent in his post. The complainant said that Warioba had used Party and Goverment machinery to influence voters.

In mid-December it was announced that Mr Warioba was one of five candidates hoping to re-contest the seat in the forthcoming by election.

SOURCE: http://www.tzaffairs.org/1992/01/warioba-loses-seat/

Ubunge wa Warioba ulitenguliwa kwasababu ya kutumia Madaraka vibaya kwa tafasiri rahisi ni Rushwa 100% Warioba alikiri kutumia gari la waziri Mkuu, shame on him.
 
Angalau hakudanganya kama alivyofanya Wassira
 
Madhara ya Copy and Paste... Warioba amekwishaeleza kwamba kosa alilofanya na ambalo mpinzani wake alitake advantage ni kutumia gari la serikali kwenye campaign zake... Hivyo ulichocopy hapo hakina mantiki wala tija. Warioba atabaki kuwa hazina ya nchi hii. Na ukitaka kufwatilia hayo ni kiongozi gani, ukianza na Rais wako, ambaye hajatumia Mali za umma kusaka uongozi??!
 
huyu binadamu anayeitwa Wassira kwa nini anajipa shavu sana siku hizi?

Kwakweli nakiri kukosea kumjadili mtu huyu hapa, naishia hapa na kwa dhati naungana jamii iliyo m delete huyu mtu. Ushauri, ajistaafie na kurudi kuwa mwananchi anayesubiri hukumu yetu kwa dhambi zake.
 
Anayekutumia amekuharibu ubongo wako, sasa unawaza kama yeye, pole.
Kamwambie Wassira hana kashfa hata moja, hayo yote mnajitahidi kutunga kumchafua Rais wa Watanzania mtarajiwa.

Hivi mnadhani kuwa rais ni RAHISI..??? Mtahangaika sana kumsafisha lakini hasafishiki...

Huo waraka utakujam kumtesa sana hapo baadaye na hizi harakati zake...
 
Back
Top Bottom