Waraka wa Hussein Bashe kwa NEC, CC na secretariet mpya ya CCM

Hizi nyaraka sasa.....
Kweli imeandikwa vizuri, na mtu anaejua anachofanya,
Ila nikitafakari "miaka 50 ya kutawala, pamoja na utajiri wote wa nchi na amani mnayodai mmetupatia... na umasikini huu wa kutisha unaoendelea kwa watu wa nchi hii na nchi kusimama bila kusonga (labda kusonga kurudi nyuma)" nashindwa kujizuia kuona maandishi yote hayo ni TAKATAKA TU
 
Wana JF huo waraka umekaa kama vile Bashe anamkosea heshima Mkuu wa Kaya na M/kiti wa chama chake, au ndio kusema kikwete anaweza kudharauliwa wazi kiasi hicho na wana CCM hadi vijana wa RA!?

PERSONALITIES na kuacha siasa za ISSUE na Nguvu nyingi kuzipeleka katika Formular ya Character assasination

Kikwete alimchafua sana SAS katika kampeni za Urais nadhani ana maana hii ndio character assasination! Lakini pamoja na kutumia hilo neno kumkejeli Mkuu wake wa chama Bashe pia ametumia hilo neno kama ngao ya kutuliza CCM hisirudi katika kukamia mtu mmoja mmoja kama walivyo thamani kufanya juzi kumfukuza RA, EL na Cheng lakini wakashindwa kwasababu kobe yake gamba halivuliki mpaka afe.

...mkataba wetu na watanzania ambao ni ilani ya uchaguzi inasimamiwa na inatekelezwa ...CC lazima iwe THINK TANK chama na si vikao vya kuchuja wagombea na kupitisha yale ambayo mwenyekiti anataka ama anashauri,lazima dhana ya kuhoji ichukue nafasi chama lazima kikemee pale serekali inapokosea msisite kuiambia serekali hili hapana halikuwa sehemu ya AHADI zetu LAZIMA kila jambo chama kiwe na uhakika serekali inapotaka kutekeleza imejiandaa kulitekeleza tusikosee ku hanlde issue kama tulivyokosea ku HANDLE issue ya katiba, na hapa nipongeze uamuzi wa kufuta HATI ya DHARURA ktk sheria hii inayohusu mchakato wa katiba

Anasema CC hisiwe kwa ajili ya kupitisha matakwa ya Rais na pia hisikubali mambo ambayo hayamo katika Ilani ya CCM ya Uchaguzi, kumbukeni ahadi karibia zote za Kikwete wakati wa uchaguzi hazimo katika ilani ya CCM, kwa lugha rahisi Bashe anasema CC wasikubaliane na mambo ya kikwete aliyokuwa anajiongelea mwenyewe nje ya Ilani wakati wa Kampeni za uchaguzi uliopita na pia wasikubali kupita kila kitu anachotaka M/kiti pia anasema CCM imekosea katika issue ya Katiba! anapingana na chama chake! Mimi nashaanga maana wakati Kikwete anafunga kikao Dodoma majuzi alisema CCM wajipange kutetea huo uozo wao juu ya katiba, iweje Bashe anapinga na M/kiti wake!

...Chama kina tatizo kubwa la COMMUNICATION STRATEGY we hope JANUARY na NAPE mtabadili mfumo wetu wa kujibu mambo kwa mzaha na kejeli ...usirudie wala kufanya makosa ya kuwatumia watu wasio kuwa na HESHIMA kwenda ktk PUBLIC kujibu hoja yoyte inayohitaji THINKING...

Hapa nadhani anamuongelea Makamba na Hiza kuwa Nape hasifanye kazi kama Makamba na Hiza; wasi jibu mambo kwa mzaa na wasiruhusu watu wasio na heshima kuongea kwania ya chama, Swali: Makamba kama ni kenge inakuwaje akazaa chura! maana mwanae pia karudi humu aliko toka.

Ana funga kwa kusisitiza CCM kuacha siasa za kuterekeza watu maana imekwisha wagharimu sana mpaka sasa, na kuwa wafufue mali za CCM huku akiwa amesahau kuwa hizo mali anazotaja ni za umma ambazo CCM ilipora kwa wizi na nguvu.

Jamani naona huyu Kijana wa RA pia anampima mbavu Kikwete na Makamba etc. hiyo ni tafsi yangu juu ya waraka wa Bashe.
 
Huyu Bashe ameacha uwakala wa Rostam au ameamua kuigiza kama aliyebadilika? Haka kajamaa inadaiwa kalipewa pesa nyingi kumwangusha mpambanaji Selelii halafu kakanyimwa tiketi ya chama kwa ujanja ujanja wa Makamba kwa kuwa kazi yake ilikiwa kummaliza Selelii basi. Kaambieni kama kamebadilika tunakakaribisha kwenye jamvi.... tatizo hivi vijamaa vikishakula hela ya Rostam vinakuwa haviaminiki tena.
Kuna kengine kapo Chadema kana uwezo wa kupanga hoja lakini tatizo inadaiwa kameshakula kwa hiyo hukaambii kitu, kamekuwa kajeuri kweli baada ya kununua Range Rover.
 
Lugha lugha.......Lugha jamani. Sasa kwani huyu bwana asitumie lugha moja straight kwa kuzingatia ufasaha wa lugha husika. Sasa mara kiingereza mara kiswahili, mara vifupisho ambavyo havijulikali kimataifa. Ah mimi hili limenikera sana hata nikaacha kuzingatia maudhui ya waraka wake.

Lakini ujumbe ni kwamba tuwe mfano mzuri wa matumizi sahihi ya lugha yeyote tunakayoamua kutumia kufikisha ujumbe

jadili mada(waraka) muhimu ni ujumbe umefika! Hata hivyo nimeupenda huu waraka maana una uhalisia lkn umecheleweshwa saana ni ngumu kusadiki! Kwa nini hakusema haya kabla?! Hakuwa anayaona?! Nini kimempata kipindi hiki?! Bado naona kama unafiki ingawa walengwa wamepewa sehemu ya mtaji wa kufanyia kazi.
 
Kaka Mwambene kwanza ni kusalamu Habari za siku kama na Pole na shughuli nzito za kukabidhi ofisi ya IDARA YA SIASA na Mambo ya Nje ambayo mmemkabidhi JANUARY makamba , nafahamu uzito na Majonzi ulonayo,Pia nimeona Hasira na UPOFU wa fikra ulokukumba baada ya JK kuvua GAMBA la BOSI wako kama alivowavua kiana RA,EL,na Chenge.

Nianze na hoja yako kuwa Bashe alimshambulia NAPE ktk uchaguzi wa UVCCM hapa kweli huna kumbukumbu,Bashe hakuwahi kugombea nafasi na nape,Bali kumbukumbu sahihi ni kwamba BASHE na NAPE walitofautiana ktk swala la MRADI wa UVCCM bashe akihoji inakuaje NAPE apinge maamuzi aloshiriki kuyapitisha kwahiyo usimzushie hata kama huyu dogo ni MSOMALI.Lakini kumbukumbu zinaonyesha NAPE aliwahikusema anamkubali HUSSEIN BASHE ktk wagombea wa UVCCM na ktk uchaguzi alikuwa ni mmoja wawapiga kampeni za kutaka BASHE awe makamu mkiti wa UVCCM,ingawa kuna baadhi ya mambo wanatofautianana.

KUHUSU URAIA bosi wako alishiriki kutengeneza zengwe kwa huyu DOGO,ila CCM na BOSI wako waliaibika ktk hoja hii ya URAIA pia usisahau CCM hawakuwa na mamlaka ya kisheria ,kusema BASHE si RAIA huu ulikua ulevi wa madaraka

HOJA yako kuwa BASHE alikuja na story ya list of SHAME hapa pia umeonyesha umbumbu wa hali ya JUU umeshau MWEMBE yanga?bashe ni MUHARIRI wa gazeti?BASHE NI MWANDISHI? Ila walichoandika MTANZANIA ni ukweli ambao CCM walisahau kwamba UFISADI ni KANSA kama BOSI wako alivoiba fedha ktk mradi wa ujenzi wa ofisi za zetu za ubalozi kenya.

Mwambene hoja za bashe ktk hili aloaandika lina mantiki na hata ktk BARAZA kuu la UVCCM aliitaka CC ya chama chake ijiuzulu na kuwataka viongozi wa ccm kuwaomba RADHI watanzania kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake,MTANZANIA jana limeandika kitu ambacho CC wala NEC walishindwa kusema,na waraka wa huyu msomali wa TABORA ni wa msingi kwa chama chake,sioni mantiki ya yeye kuhukumiwa kwa kufanya kazi kwa RA wengi wetu hapa tunafanya kazi kwa MAFISADI ikiwemo VODA,KMCL,SEREKALINI,IPP,kwa MKONO wote hawa walituhumiwa kama EL na RA,mfumo wa dunia wa uchumi ni wakifisadi na sisi sote hapa ni waathirika,sina shaka juu ya uwezo,kusimamia anachokiamini,kutoyumba kwa huyu DOGO tabia ambazo wana ccm wengi hawana ukiwemo ww na wenzio kina Mwameta,NEEMIA,KAKELE na MWAKASALA,MATERU,MAKENE,SAJO,MKOMOLA n.k ambao wote nyie ni vibaraka wa RIZWANI ambao baadhi yenu ameanza kuwatosa,usitoe matusi hapa jenga hoja.

Mtazamo wangu BASHE amekumbuka shuka wakati kumekucha ccm watamalizana.

Jana Msekwa alitangaza JF kuwa ni hatari kwa CCM , kumbe hata viongozi wake mnsahiriki JF na mnajuana kwa majina?
 
<p></p>
<p>&nbsp;</p>
house boy ni wewe mwenye wivu na chuki, mtu mzima akili finyu

Msamehe bwana kwani kazi ni kazi tu bora mkono uende kinywani. 'Title' ya kazi si muhimu bali muhimu ni kile mtu apatacho kutokana na kazi hiyo.
 
Heshima mbele,
Kwanza sii vyema kumtaja mtu kwa jina lake halisi, nani amekuambia kwamba Mbopo ni Mwambene? hata kama alikuambia sisi wana JF tunamjua kwa jina la Mbopo. Huoni kama unaweza kumharibia utendaji wake wa kazi kwa kutaja jina lake? Mbona wewe jina lako halisi hulitaji? Mwisho ukamalizia kwa kutaja majina ya wenzake hapa jamvini, hayo majina mengine yana uhusiano gani na sredi hii? Mimi nadahani wewe na Mbopo mna chuki binafsi, chuki hizo malizeni huko na siyo kuzileta hapa JF (Mnataka kugeuza JF kijiwe cha majungu sasa)

mbopo hakuna sehemu hata moja ambayo amesema kuwa Bashe aliwahi kugombea nafasi moja na Nape, wewe umeyatoa wapi hayo?

Majungu mengine ni kumhusisha bosi (kama unavyodai) wa mbopo katika kutengeneza mizengwe ya uraia. Mimi naona kama ni mizengwe imetengenezwa na NEC ya ccm kwani ndio waliomtosa asigombee ubunge..

Naomba jirekebishe tafadhali.
Kaka Mwambene kwanza ni kusalamu Habari za siku kama na Pole na shughuli nzito za kukabidhi ofisi ya IDARA YA SIASA na Mambo ya Nje ambayo mmemkabidhi JANUARY makamba , nafahamu uzito na Majonzi ulonayo,Pia nimeona Hasira na UPOFU wa fikra ulokukumba baada ya JK kuvua GAMBA la BOSI wako kama alivowavua kiana RA,EL,na Chenge.

Nianze na hoja yako kuwa Bashe alimshambulia NAPE ktk uchaguzi wa UVCCM hapa kweli huna kumbukumbu,Bashe hakuwahi kugombea nafasi na nape,Bali kumbukumbu sahihi ni kwamba BASHE na NAPE walitofautiana ktk swala la MRADI wa UVCCM bashe akihoji inakuaje NAPE apinge maamuzi aloshiriki kuyapitisha kwahiyo usimzushie hata kama huyu dogo ni MSOMALI.Lakini kumbukumbu zinaonyesha NAPE aliwahikusema anamkubali HUSSEIN BASHE ktk wagombea wa UVCCM na ktk uchaguzi alikuwa ni mmoja wawapiga kampeni za kutaka BASHE awe makamu mkiti wa UVCCM,ingawa kuna baadhi ya mambo wanatofautianana.

KUHUSU URAIA bosi wako alishiriki kutengeneza zengwe kwa huyu DOGO,ila CCM na BOSI wako waliaibika ktk hoja hii ya URAIA pia usisahau CCM hawakuwa na mamlaka ya kisheria ,kusema BASHE si RAIA huu ulikua ulevi wa madaraka

HOJA yako kuwa BASHE alikuja na story ya list of SHAME hapa pia umeonyesha umbumbu wa hali ya JUU umeshau MWEMBE yanga?bashe ni MUHARIRI wa gazeti?BASHE NI MWANDISHI? Ila walichoandika MTANZANIA ni ukweli ambao CCM walisahau kwamba UFISADI ni KANSA kama BOSI wako alivoiba fedha ktk mradi wa ujenzi wa ofisi za zetu za ubalozi kenya.

Mwambene hoja za bashe ktk hili aloaandika lina mantiki na hata ktk BARAZA kuu la UVCCM aliitaka CC ya chama chake ijiuzulu na kuwataka viongozi wa ccm kuwaomba RADHI watanzania kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake,MTANZANIA jana limeandika kitu ambacho CC wala NEC walishindwa kusema,na waraka wa huyu msomali wa TABORA ni wa msingi kwa chama chake,sioni mantiki ya yeye kuhukumiwa kwa kufanya kazi kwa RA wengi wetu hapa tunafanya kazi kwa MAFISADI ikiwemo VODA,KMCL,SEREKALINI,IPP,kwa MKONO wote hawa walituhumiwa kama EL na RA,mfumo wa dunia wa uchumi ni wakifisadi na sisi sote hapa ni waathirika,sina shaka juu ya uwezo,kusimamia anachokiamini,kutoyumba kwa huyu DOGO tabia ambazo wana ccm wengi hawana ukiwemo ww na wenzio kina Mwameta,NEEMIA,KAKELE na MWAKASALA,MATERU,MAKENE,SAJO,MKOMOLA n.k ambao wote nyie ni vibaraka wa RIZWANI ambao baadhi yenu ameanza kuwatosa,usitoe matusi hapa jenga hoja.

Mtazamo wangu BASHE amekumbuka shuka wakati kumekucha ccm watamalizana.
 
Hongera Bashe kwa kuandika waraka kwa ujasiri na bila woga wowote, naamini umewakwaza wengi na hata mimi nimehamasika na waraka huu kwa kuwa umetaka hata mafisadi washugulikiwe ila na shaka sana na hilo kama lina ukweli toka moyoni mwako kwa kuwa kama mafisadi wakishughulikiwa kumbuka nawe hutakuwa salama hata kidogo, wewe ni mmoja wa waajiriwa wa fisadi no 1 na adui wa TZ RA tena amekupa madaraka makubwa katika media company yake, ukiwa mkweli wa nafsi yako nyendo zako nyingi za kisiasa amekufadhili na kukuhamasisha yeye, je ni kweli kwa dhati unataka atoswe au unatafuta Cheap Popularity?

Huu waraka wa Husein Bashe nimeupata face Book

by Hussein Bashe on Wednesday, April 13, 2011 at 11:16am

WARAKA WANGU KWA CC NA SEKRETARIETI MPYA CHAMA

Kwanza nianze kwa kuwapongeza kwa uteuzi mliopata na kuwatakia kila kheri kwa imani hiyo mlopewa na NEC ya chama chetu .

Pili nitumie fursa hii kumpongeza Mwenyekiti kwa kuendesha kikao ambacho leo kimetuletea PICHA mpya ya vijana na Wazeee katika CC na Sekretariet ya chama na kuzaliwa upya kwa ccm kwa maana ya HISTORIA KUANDIKWA kutokana na maamuzi yaliyofikiwa Dodoma.

Ningependa kutumia nafasi hii kuwaambia viongozi wetu sasa ni wakati wa chama kukabiliana na changamoto zinazotukabili hatua hii, ya sura mpya haijamaliza bado matatizo yanayotukabili kama chama kinachoongoza taifa hili,na msirudie makosa yaliyofanyika toka kipindi cha 1995 mpaka leo ya chama kubaki na kufanya siasa za PERSONALITIES na kuacha siasa za ISSUE na Nguvu nyingi kuzipeleka katika Formular ya Character assasination ambayo kwa muda mrefu imekiumiza chama na kutufanya kufika hapa tulipo leo ambapo viongozi wote wachama walichafuka na kukosa heshima katika PUBLIC jambo ambalo lilitugharimu kwa Muda Mrefu.

NAPE na JANUARY ni uwakilishi wa vijana katika nafasi nyeti mlizopewa na mnawakilisha vijana wengi,binafsi nina imani kubwa na nyie bcs sina shaka juu ya uwezo wenu wa kusimamia mambo magumu hata kama wengine hawayapendi,changamoto kubwa mlionayo na kuthibitisha matendo yenu yaendane na vijana wa sasa,mawazo yenu yaendane na vijana wa sasa,fikra na issues mtakazo simamia zifananne na ziwakilishe asilimia 60 ama 70 ya watu wa nchi hii ambao ni VIJANA,msiishi kama waliotangulia hatutarajii na nyie kuiendesha CCM kwa mfumo wa NIDHAMU YA WOGA,ama mfumo wa kiuchaguzi uchaguzi jambo ambalo limekiumiza chama chetu kwa kiwango kikubwa January IDARA YAKO INAITWA IDARA YA SIASA NA MAMBO YA NJE alikukabidhi majukumu alijikita mambo ya nje na kuacha fuction ya siasa.

CC na Sekretariet huu ni wakati wa kuisimamia SEREKALI ili itimize matarajio ya watanzania wengi,mnawajibu wa kuhakikisha mkataba wetu na watanzania ambao ni ilani ya uchaguzi inasimamiwa na inatekelezwa umefika wakati sasa wa chama kuwa kiranja mkuu wa serekali kwani tuloshinda ni ccm na serekali ni AGENT wa chama kutekeleza yale ambayo tuliwaahidi watanzania,its a high time muwe na utaratibu wa ku evaluate serekali na msisite kumshauri RAIS kumwambia hapa waziri flani hatekelezi wajaibu wake NEC iwe sehemu ya kuevaluate perfomance ya serekali kila QTR mfumo wa utendaji usiwe wa KI IYENA IYENA the world has changed na Variables zimebadilika sana,CC lazima iwe THINK TANK chama na si vikao vya kuchuja wagombea na kupitisha yale ambayo mwenyekiti anataka ama anashauri,lazima dhana ya kuhoji ichukue nafasi chama lazima kikemee pale serekali inapokosea msisite kuiambia serekali hili hapana halikuwa sehemu ya AHADI zetu LAZIMA kila jambo chama kiwe na uhakika serekali inapotaka kutekeleza imejiandaa kulitekeleza tusikosee ku hanlde issue kama tulivyokosea ku HANDLE issue ya katiba, na hapa nipongeze uamuzi wa kufuta HATI ya DHARURA ktk sheria hii inayohusu mchakato wa katiba.

Chama kina tatizo kubwa la COMMUNICATION STRATEGY we hope JANUARY na NAPE mtabadili mfumo wetu wa kujibu mambo kwa mzaha na kejeli ma na mazoea muubadili ili HOJA ZIJIBIWE KWA HOJA, NAPE usirudie wala kufanya makosa ya kuwatumia watu wasio kuwa na HESHIMA kwenda ktk PUBLIC kujibu hoja yoyte inayohitaji THINKING, usiruhusu jambo litakalo haribu heshima ya chama kwa hoja tu MBONA WAO WANATUZOMEA NA SISI TUKUSANYE WATOTO WAKAZOMEE ,now CCM must act obave diry politics bcs dhamana ya nchii hii ipo mikononi mwetu si lazima kujibu tusi kwa tusi.

CC na Sekretariet,mnajukumu la kuibana serekali na kuisimamia kuhakiksha uchumi unakua,ajira zinapatikana,mfumuko wa bei unatafutiwa njia za kuudhibiti,mawaziri wanafanya kazi na kutoka LIKIZO,wanasimamia majukumu yao na kufanya maamuzi magumu bila kusubiri kila JAMBO mpaka RAIS alitolee majibu,lazima kuwepo PERFOMANCE APPRISSAL system ambayo chama kitatumia kupima utendaji wa mawakala wake ambao ni serekali,leo bei ya mafuta imepanda,vyakula vimepanda,thamani ya shilingi inashuka,maisha yanakuwa magumu kwa watanzania wengi,sekta ya elimu inachangamoto nyingi za kisera,na kimfumo,chama kinahitaji WELEDI katika kusimamia serekali na hilo ni jukumu ambalo lazima mlifanye.

Mnawajibu wa kusimamia PARTY COCUS ili bunge litumike katika ubora wake na wabunge wetu muwanoe ili kukidhi standards za kusimamia hoja na ilani ya chama.

Nidhamu hasa kwa watendaji katika ngazi za wilaya na mikoa ni wajibu wenu kuhakikisha huko chini tatizo la RUSHWA ndani ya mfumo mzima wa chama linakwisha vijana wengi wanashindwa kukipenda chama chetu kwa kuwa huko chini kuna MIUNGU WATU,ni lazima CONCEPT ya utumishi ichukue nafasi ili wenyeviti wetu na makatibu wetu wasiwe wafalme wasimamie COUNCIOUL ili zitekeleze ilani ya uchaguzi kwani HUO NDIO MKATABA WETU NA WATANZANIA.

Mwisho niwaombe CCM IMEUMIA SANA KWA POLITICS ZA CHARACTER ASSASINATION ,POLITICS ZA PERSONALITIES na kuacha kusimamia mambo ya msingi yanayowaumiza watanzania wengi,RUSHWA,(UFISADI),Tatizo la UADILIFU,UKOSEFU WA UZALENDO,ni udhaifu wetu wa kutosimamia MAADILI YA VIONGOZI na hasa tulipofuta AZIMIO LA ARUSHA,hatuna GUIDELINE juu ya maadili ya VIONGOZI na wanachama,umefika wakati wa chama kulitazama upya AZIMIO LA ARUSHA ambalo tuliamua kulifuta na kulizika chama kiamue kulitazama tena kulirudisha pia kufanya mabadiliko pale tunapoona linahitaji,but MSINGI wa azimio la arusha TUNAUHITAJI TENA.

Mwigulu una mzigo mkubwa wa ku reforme mfumo wetu wa uchumi ndani ya chama ni wajibu wako kupitia idara yako kuzifanyia audit mali za ccm ili ktk ngazi za wilaya,mikoa,kata,na mashina tuwe na uwezo wa kiuchumi kuondokana na tabia ya kutegemea wafadhili na wafanyabiashara mawilayani na mikoani ili kuwapa uwezo watendaji wetu na viongozi kufanya maamuzi yanayohusu mustakabali wa chama chetu.

Politics ni uchumi if we are weak economically na sisi kutegemea RUZUKU CCM tutakuwa na hali mbaya ni wajibu wako kufufua miradi iliyowahi kufa na kuisimamia kiukamilifu ,tunaviwanja vingi ni wakati wa kuanzisha Strategic ptnership na mashirika kama NHC na mengine ili kuwekeza ktk real estate, ALL IN ALL LAZIMA MZEE UPAMBANE . ALL THE BEST

Niwatakie kila la kheri ktika utekelezaji wenu wa majukumu na mfahamu kuwa matarajio ya wana ccm ni kubwa sana ninawaombea kwa mungu kila la kheri MUNGU IBARIKI TANZANIA.MUNGU IBARIKI CC
 
Lugha lugha.......Lugha jamani. Sasa kwani huyu bwana asitumie lugha moja straight kwa kuzingatia ufasaha wa lugha husika. Sasa mara kiingereza mara kiswahili, mara vifupisho ambavyo havijulikali kimataifa. Ah mimi hili limenikera sana hata nikaacha kuzingatia maudhui ya waraka wake.

Lakini ujumbe ni kwamba tuwe mfano mzuri wa matumizi sahihi ya lugha yeyote tunakayoamua kutumia kufikisha ujumbe

Hivi kimataifa unaweza ukazungumza kiingereza kisha ukawa unamix na kiswahili humo humo?
 
kumbe ndo maana ccm ni mavuvuzela, kijana kama huyu ambaye kiingereza hajui na kiswahili nacho wasiwasi, anaandika kama vile anapiga soga ndo uvccm wanamtegemea? bwana bashe nenda cdm usiogope ukanolewe na vijana waliokomaa kama kama akina david shilinde, wenje , lema nk. ni vema ukamkimbia rostam mapema kabla hajashindwa kukulipa mshahara, kwa nini?

  1. vodacom imeuzwa kwa vodafone waingereza hawawezi kurithi utapeli wa vodacom ya makaburu wakaendelea kumkumbatia bosi wako fisadi namba wani rostam
  2. makongoro nyerere ameshamwambia kikwete asilipe hata shilingi moja ya dowan kati ya zile 94bn, otherwise jk atafukuzwa kwenye chama cha babake
  3. zitto anataka waliokula stimulus paackage wakamatwe, bosi wako atatumia chapaa kibao kuzima ili asikamatwe, inasemekana ili asihusishwe na kagoda alitoa chapaa ya kueleweka, muulize rose mwakitangwe kilimchotoa kwenye hiyo nafasi uliyorithi, ukwasi!
  4. akina sita na wenzake wana nguvu za kueleweka baada ya rostam kufukuzwa cc
  5. nape amekamata ukamanda hakuna tena ATm mashine za kumwaga fedaha kwa bosi wako kama epa, stimulus package nk
  6. lowasa anapamabana asifukuzwe kwenye chama hana nafasi tena ya kumtetea bosi wako
  7. rostam ndiye adui namba moja wa watanzania wote, kila kona anajulikana kuwa ndiye kisababishi cha matatizo lukuki ya watanzania
  8. kitendo cha kudai kuwa babu wa loliondo hatibu, kimezidi kumjengee matatizo, watz waliopona kwa dawa za babu wanajua wazi kuwa rostam anafurahi umskini na matatizo wa tz na angependa yaendelee ili afaidike
kwa kuwa wewe ni kbaraka wa mtu huyu basi wewe huna sifa ya kushauri chochote katika nchi yetu, wahi kweu somalia,kudadeki!!!!

1

Naomba kutofautiana na mawazo haya kuwa RA ndiye adui namba moja wa watanzania. Kama tutaingia kwenye mtego wa kuamini kuwa matatizo yetu yameletwa na RA tutakuwa tunapoteza fursa ya kushughulikia kiini cha matatizo yetu ambacho ndicho limesababisha watu kama RA waibuke na kuweza kufanya hayo ambayo amefanya.

Kwa mtazamo wangu RA, Lowasa, Chenge, Mramba, Yona, na wengine ni dalili tu (symptoms) za matatizo makubwa ya kimfumo na uongozi yanayotukabili kama nchi. Na hata kama leo hii ukimuondolea uraia na kumfukuza nchini, kama ambavyo alikuwa akidai mmoja wa viongozi wa UVCCM, bado utakuwa hujaondoa matatizo.

Dawa ni kuuondoa kabisa huu mfumo ambao umetoa mianya ya wahuni na majizi kama hawa kuweza kujipenyeza mpaka katika nafasi za juu za uongozi na kuzitumia kujitajirisha kwa gharama za wananchi.
 
Hivi kimataifa unaweza ukazungumza kiingereza kisha ukawa unamix na kiswahili humo humo?

Hapana huu ni udhaifu tu wa umahiri wa lugha hizo mbili ambao unatukabili watanzania wengi. Ukiangalia kwa makini mara nyingi wanaochanganya lugha hizi mbili huwa hawana uwezo wa kuongea kwa ufasaha lugha yeyote kati ya hizo mbili wanazozichanganya. Wanachanganya ili kuficha udhaifu wao na kuwakoga watu kuwa wao ni wasomi na weledi wa hizo lugha mbili.
 
Huu waraka wa Husein Bashe nimeupata face Book

by Hussein Bashe on Wednesday, April 13, 2011 at 11:16am

WARAKA WANGU KWA CC NA SEKRETARIETI MPYA CHAMA

Kwanza nianze kwa kuwapongeza kwa uteuzi mliopata na kuwatakia kila kheri kwa imani hiyo mlopewa na NEC ya chama chetu .

Pili nitumie fursa hii kumpongeza Mwenyekiti kwa kuendesha kikao ambacho leo kimetuletea PICHA mpya ya vijana na Wazeee katika CC na Sekretariet ya chama na kuzaliwa upya kwa ccm kwa maana ya HISTORIA KUANDIKWA kutokana na maamuzi yaliyofikiwa Dodoma.

Ningependa kutumia nafasi hii kuwaambia viongozi wetu sasa ni wakati wa chama kukabiliana na changamoto zinazotukabili hatua hii, ya sura mpya haijamaliza bado matatizo yanayotukabili kama chama kinachoongoza taifa hili,na msirudie makosa yaliyofanyika toka kipindi cha 1995 mpaka leo ya chama kubaki na kufanya siasa za PERSONALITIES na kuacha siasa za ISSUE na Nguvu nyingi kuzipeleka katika Formular ya Character assasination ambayo kwa muda mrefu imekiumiza chama na kutufanya kufika hapa tulipo leo ambapo viongozi wote wachama walichafuka na kukosa heshima katika PUBLIC jambo ambalo lilitugharimu kwa Muda Mrefu.

NAPE na JANUARY ni uwakilishi wa vijana katika nafasi nyeti mlizopewa na mnawakilisha vijana wengi,binafsi nina imani kubwa na nyie bcs sina shaka juu ya uwezo wenu wa kusimamia mambo magumu hata kama wengine hawayapendi,changamoto kubwa mlionayo na kuthibitisha matendo yenu yaendane na vijana wa sasa,mawazo yenu yaendane na vijana wa sasa,fikra na issues mtakazo simamia zifananne na ziwakilishe asilimia 60 ama 70 ya watu wa nchi hii ambao ni VIJANA,msiishi kama waliotangulia hatutarajii na nyie kuiendesha CCM kwa mfumo wa NIDHAMU YA WOGA,ama mfumo wa kiuchaguzi uchaguzi jambo ambalo limekiumiza chama chetu kwa kiwango kikubwa January IDARA YAKO INAITWA IDARA YA SIASA NA MAMBO YA NJE alikukabidhi majukumu alijikita mambo ya nje na kuacha fuction ya siasa.

CC na Sekretariet huu ni wakati wa kuisimamia SEREKALI ili itimize matarajio ya watanzania wengi,mnawajibu wa kuhakikisha mkataba wetu na watanzania ambao ni ilani ya uchaguzi inasimamiwa na inatekelezwa umefika wakati sasa wa chama kuwa kiranja mkuu wa serekali kwani tuloshinda ni ccm na serekali ni AGENT wa chama kutekeleza yale ambayo tuliwaahidi watanzania,its a high time muwe na utaratibu wa ku evaluate serekali na msisite kumshauri RAIS kumwambia hapa waziri flani hatekelezi wajaibu wake NEC iwe sehemu ya kuevaluate perfomance ya serekali kila QTR mfumo wa utendaji usiwe wa KI IYENA IYENA the world has changed na Variables zimebadilika sana,CC lazima iwe THINK TANK chama na si vikao vya kuchuja wagombea na kupitisha yale ambayo mwenyekiti anataka ama anashauri,lazima dhana ya kuhoji ichukue nafasi chama lazima kikemee pale serekali inapokosea msisite kuiambia serekali hili hapana halikuwa sehemu ya AHADI zetu LAZIMA kila jambo chama kiwe na uhakika serekali inapotaka kutekeleza imejiandaa kulitekeleza tusikosee ku hanlde issue kama tulivyokosea ku HANDLE issue ya katiba, na hapa nipongeze uamuzi wa kufuta HATI ya DHARURA ktk sheria hii inayohusu mchakato wa katiba.

Chama kina tatizo kubwa la COMMUNICATION STRATEGY we hope JANUARY na NAPE mtabadili mfumo wetu wa kujibu mambo kwa mzaha na kejeli ma na mazoea muubadili ili HOJA ZIJIBIWE KWA HOJA, NAPE usirudie wala kufanya makosa ya kuwatumia watu wasio kuwa na HESHIMA kwenda ktk PUBLIC kujibu hoja yoyte inayohitaji THINKING, usiruhusu jambo litakalo haribu heshima ya chama kwa hoja tu MBONA WAO WANATUZOMEA NA SISI TUKUSANYE WATOTO WAKAZOMEE ,now CCM must act obave diry politics bcs dhamana ya nchii hii ipo mikononi mwetu si lazima kujibu tusi kwa tusi.

CC na Sekretariet,mnajukumu la kuibana serekali na kuisimamia kuhakiksha uchumi unakua,ajira zinapatikana,mfumuko wa bei unatafutiwa njia za kuudhibiti,mawaziri wanafanya kazi na kutoka LIKIZO,wanasimamia majukumu yao na kufanya maamuzi magumu bila kusubiri kila JAMBO mpaka RAIS alitolee majibu,lazima kuwepo PERFOMANCE APPRISSAL system ambayo chama kitatumia kupima utendaji wa mawakala wake ambao ni serekali,leo bei ya mafuta imepanda,vyakula vimepanda,thamani ya shilingi inashuka,maisha yanakuwa magumu kwa watanzania wengi,sekta ya elimu inachangamoto nyingi za kisera,na kimfumo,chama kinahitaji WELEDI katika kusimamia serekali na hilo ni jukumu ambalo lazima mlifanye.

Mnawajibu wa kusimamia PARTY COCUS ili bunge litumike katika ubora wake na wabunge wetu muwanoe ili kukidhi standards za kusimamia hoja na ilani ya chama.

Nidhamu hasa kwa watendaji katika ngazi za wilaya na mikoa ni wajibu wenu kuhakikisha huko chini tatizo la RUSHWA ndani ya mfumo mzima wa chama linakwisha vijana wengi wanashindwa kukipenda chama chetu kwa kuwa huko chini kuna MIUNGU WATU,ni lazima CONCEPT ya utumishi ichukue nafasi ili wenyeviti wetu na makatibu wetu wasiwe wafalme wasimamie COUNCIOUL ili zitekeleze ilani ya uchaguzi kwani HUO NDIO MKATABA WETU NA WATANZANIA.

Mwisho niwaombe CCM IMEUMIA SANA KWA POLITICS ZA CHARACTER ASSASINATION ,POLITICS ZA PERSONALITIES na kuacha kusimamia mambo ya msingi yanayowaumiza watanzania wengi,RUSHWA,(UFISADI),Tatizo la UADILIFU,UKOSEFU WA UZALENDO,ni udhaifu wetu wa kutosimamia MAADILI YA VIONGOZI na hasa tulipofuta AZIMIO LA ARUSHA,hatuna GUIDELINE juu ya maadili ya VIONGOZI na wanachama,umefika wakati wa chama kulitazama upya AZIMIO LA ARUSHA ambalo tuliamua kulifuta na kulizika chama kiamue kulitazama tena kulirudisha pia kufanya mabadiliko pale tunapoona linahitaji,but MSINGI wa azimio la arusha TUNAUHITAJI TENA.

Mwigulu una mzigo mkubwa wa ku reforme mfumo wetu wa uchumi ndani ya chama ni wajibu wako kupitia idara yako kuzifanyia audit mali za ccm ili ktk ngazi za wilaya,mikoa,kata,na mashina tuwe na uwezo wa kiuchumi kuondokana na tabia ya kutegemea wafadhili na wafanyabiashara mawilayani na mikoani ili kuwapa uwezo watendaji wetu na viongozi kufanya maamuzi yanayohusu mustakabali wa chama chetu.

Politics ni uchumi if we are weak economically na sisi kutegemea RUZUKU CCM tutakuwa na hali mbaya ni wajibu wako kufufua miradi iliyowahi kufa na kuisimamia kiukamilifu ,tunaviwanja vingi ni wakati wa kuanzisha Strategic ptnership na mashirika kama NHC na mengine ili kuwekeza ktk real estate, ALL IN ALL LAZIMA MZEE UPAMBANE . ALL THE BEST

Niwatakie kila la kheri ktika utekelezaji wenu wa majukumu na mfahamu kuwa matarajio ya wana ccm ni kubwa sana ninawaombea kwa mungu kila la kheri MUNGU IBARIKI TANZANIA.MUNGU IBARIKI CC
Ahsante Bwn OgwaluMapesa, mimi siamini kuwa huyu ni yule Bashe wa Nzega au kwa vile mkubwa wake yaani Boss katupwa nje ya CC na NEC na yeye ameanza kufunguka pia kwenye fikra!!!!!!! Bado siamini kwa sababu Bashe analinda maslahi ya Rostam Azizi, huyu Bwn ataona nina mkomalia lakini kujivua gamba hakuweza kubadili nyoka kuwa mjusi. Bwn Bashe kama kweli ni mzalendo atabidi ajiudhuru kwenye kampuni za RA (KAGODA) zilizo tufilisi na kulifikisha taifa letu hapa tulipo!!!!!
Aonyeshe vita ya kupambana na ufisadi kwa vitendo, ukijifungia chooni kwenye uvundo huwezi kuacha kunuka na kufuatwa na mainzi!!!!! Ukijivilinga kwenye upupu utawashwa tuu!!!!
Kama ni jasiri ajitoe humo kwenye KAGODA clutchies.
Maana huwezi kupiga kelele ya ufisadi na wewe unapika chungu cha mafisadi, wewe si CEO wa Habari CO????????
La sivyo utakuwa mnafiki au unakaa kwa mpango maalum!!!!!!
Pole Bwn Bashe!!!!!! SIKUAMINI NGO!!!
 
Najaribu kukuelewa bashe lakini hayo mambo hayatekelezeki kwa ccm sababu kwa sasa ccm ni sawa na mgonjwa mahututi . ccm itaanguka tu labda wewe na vijana wenzako hao uliowataja muanzishe chama kingine. lakini ccm hii ni ya kufa tuuuuuu na lazima ifeee. pole bashe huo ndio ukweli ,ccm ya sasa haina miaka kumi mbele
 
Huu waraka wa Husein Bashe nimeupata face Book

by Hussein Bashe on Wednesday, April 13, 2011 at 11:16am

WARAKA WANGU KWA CC NA SEKRETARIETI MPYA CHAMA

Kwanza nianze kwa kuwapongeza kwa uteuzi mliopata na kuwatakia kila kheri kwa imani hiyo mlopewa na NEC ya chama chetu .

Pili nitumie fursa hii kumpongeza Mwenyekiti kwa kuendesha kikao ambacho leo kimetuletea PICHA mpya ya vijana na Wazeee katika CC na Sekretariet ya chama na kuzaliwa upya kwa ccm kwa maana ya HISTORIA KUANDIKWA kutokana na maamuzi yaliyofikiwa Dodoma.

Ningependa kutumia nafasi hii kuwaambia viongozi wetu sasa ni wakati wa chama kukabiliana na changamoto zinazotukabili hatua hii, ya sura mpya haijamaliza bado matatizo yanayotukabili kama chama kinachoongoza taifa hili,na msirudie makosa yaliyofanyika toka kipindi cha 1995 mpaka leo ya chama kubaki na kufanya siasa za PERSONALITIES na kuacha siasa za ISSUE na Nguvu nyingi kuzipeleka katika Formular ya Character assasination ambayo kwa muda mrefu imekiumiza chama na kutufanya kufika hapa tulipo leo ambapo viongozi wote wachama walichafuka na kukosa heshima katika PUBLIC jambo ambalo lilitugharimu kwa Muda Mrefu.

NAPE na JANUARY ni uwakilishi wa vijana katika nafasi nyeti mlizopewa na mnawakilisha vijana wengi,binafsi nina imani kubwa na nyie bcs sina shaka juu ya uwezo wenu wa kusimamia mambo magumu hata kama wengine hawayapendi,changamoto kubwa mlionayo na kuthibitisha matendo yenu yaendane na vijana wa sasa,mawazo yenu yaendane na vijana wa sasa,fikra na issues mtakazo simamia zifananne na ziwakilishe asilimia 60 ama 70 ya watu wa nchi hii ambao ni VIJANA,msiishi kama waliotangulia hatutarajii na nyie kuiendesha CCM kwa mfumo wa NIDHAMU YA WOGA,ama mfumo wa kiuchaguzi uchaguzi jambo ambalo limekiumiza chama chetu kwa kiwango kikubwa January IDARA YAKO INAITWA IDARA YA SIASA NA MAMBO YA NJE alikukabidhi majukumu alijikita mambo ya nje na kuacha fuction ya siasa.

CC na Sekretariet huu ni wakati wa kuisimamia SEREKALI ili itimize matarajio ya watanzania wengi,mnawajibu wa kuhakikisha mkataba wetu na watanzania ambao ni ilani ya uchaguzi inasimamiwa na inatekelezwa umefika wakati sasa wa chama kuwa kiranja mkuu wa serekali kwani tuloshinda ni ccm na serekali ni AGENT wa chama kutekeleza yale ambayo tuliwaahidi watanzania,its a high time muwe na utaratibu wa ku evaluate serekali na msisite kumshauri RAIS kumwambia hapa waziri flani hatekelezi wajaibu wake NEC iwe sehemu ya kuevaluate perfomance ya serekali kila QTR mfumo wa utendaji usiwe wa KI IYENA IYENA the world has changed na Variables zimebadilika sana,CC lazima iwe THINK TANK chama na si vikao vya kuchuja wagombea na kupitisha yale ambayo mwenyekiti anataka ama anashauri,lazima dhana ya kuhoji ichukue nafasi chama lazima kikemee pale serekali inapokosea msisite kuiambia serekali hili hapana halikuwa sehemu ya AHADI zetu LAZIMA kila jambo chama kiwe na uhakika serekali inapotaka kutekeleza imejiandaa kulitekeleza tusikosee ku hanlde issue kama tulivyokosea ku HANDLE issue ya katiba, na hapa nipongeze uamuzi wa kufuta HATI ya DHARURA ktk sheria hii inayohusu mchakato wa katiba.

Chama kina tatizo kubwa la COMMUNICATION STRATEGY we hope JANUARY na NAPE mtabadili mfumo wetu wa kujibu mambo kwa mzaha na kejeli ma na mazoea muubadili ili HOJA ZIJIBIWE KWA HOJA, NAPE usirudie wala kufanya makosa ya kuwatumia watu wasio kuwa na HESHIMA kwenda ktk PUBLIC kujibu hoja yoyte inayohitaji THINKING, usiruhusu jambo litakalo haribu heshima ya chama kwa hoja tu MBONA WAO WANATUZOMEA NA SISI TUKUSANYE WATOTO WAKAZOMEE ,now CCM must act obave diry politics bcs dhamana ya nchii hii ipo mikononi mwetu si lazima kujibu tusi kwa tusi.

CC na Sekretariet,mnajukumu la kuibana serekali na kuisimamia kuhakiksha uchumi unakua,ajira zinapatikana,mfumuko wa bei unatafutiwa njia za kuudhibiti,mawaziri wanafanya kazi na kutoka LIKIZO,wanasimamia majukumu yao na kufanya maamuzi magumu bila kusubiri kila JAMBO mpaka RAIS alitolee majibu,lazima kuwepo PERFOMANCE APPRISSAL system ambayo chama kitatumia kupima utendaji wa mawakala wake ambao ni serekali,leo bei ya mafuta imepanda,vyakula vimepanda,thamani ya shilingi inashuka,maisha yanakuwa magumu kwa watanzania wengi,sekta ya elimu inachangamoto nyingi za kisera,na kimfumo,chama kinahitaji WELEDI katika kusimamia serekali na hilo ni jukumu ambalo lazima mlifanye.

Mnawajibu wa kusimamia PARTY COCUS ili bunge litumike katika ubora wake na wabunge wetu muwanoe ili kukidhi standards za kusimamia hoja na ilani ya chama.

Nidhamu hasa kwa watendaji katika ngazi za wilaya na mikoa ni wajibu wenu kuhakikisha huko chini tatizo la RUSHWA ndani ya mfumo mzima wa chama linakwisha vijana wengi wanashindwa kukipenda chama chetu kwa kuwa huko chini kuna MIUNGU WATU,ni lazima CONCEPT ya utumishi ichukue nafasi ili wenyeviti wetu na makatibu wetu wasiwe wafalme wasimamie COUNCIOUL ili zitekeleze ilani ya uchaguzi kwani HUO NDIO MKATABA WETU NA WATANZANIA.

Mwisho niwaombe CCM IMEUMIA SANA KWA POLITICS ZA CHARACTER ASSASINATION ,POLITICS ZA PERSONALITIES na kuacha kusimamia mambo ya msingi yanayowaumiza watanzania wengi,RUSHWA,(UFISADI),Tatizo la UADILIFU,UKOSEFU WA UZALENDO,ni udhaifu wetu wa kutosimamia MAADILI YA VIONGOZI na hasa tulipofuta AZIMIO LA ARUSHA,hatuna GUIDELINE juu ya maadili ya VIONGOZI na wanachama,umefika wakati wa chama kulitazama upya AZIMIO LA ARUSHA ambalo tuliamua kulifuta na kulizika chama kiamue kulitazama tena kulirudisha pia kufanya mabadiliko pale tunapoona linahitaji,but MSINGI wa azimio la arusha TUNAUHITAJI TENA.

Mwigulu una mzigo mkubwa wa ku reforme mfumo wetu wa uchumi ndani ya chama ni wajibu wako kupitia idara yako kuzifanyia audit mali za ccm ili ktk ngazi za wilaya,mikoa,kata,na mashina tuwe na uwezo wa kiuchumi kuondokana na tabia ya kutegemea wafadhili na wafanyabiashara mawilayani na mikoani ili kuwapa uwezo watendaji wetu na viongozi kufanya maamuzi yanayohusu mustakabali wa chama chetu.

Politics ni uchumi if we are weak economically na sisi kutegemea RUZUKU CCM tutakuwa na hali mbaya ni wajibu wako kufufua miradi iliyowahi kufa na kuisimamia kiukamilifu ,tunaviwanja vingi ni wakati wa kuanzisha Strategic ptnership na mashirika kama NHC na mengine ili kuwekeza ktk real estate, ALL IN ALL LAZIMA MZEE UPAMBANE . ALL THE BEST

Niwatakie kila la kheri ktika utekelezaji wenu wa majukumu na mfahamu kuwa matarajio ya wana ccm ni kubwa sana ninawaombea kwa mungu kila la kheri MUNGU IBARIKI TANZANIA.MUNGU IBARIKI CC

Kupigia mbuzi gitaa ngoja tusubiri huenda atacheza!!
 
Huyu Bashe ameacha uwakala wa Rostam au ameamua kuigiza kama aliyebadilika? Haka kajamaa inadaiwa kalipewa pesa nyingi kumwangusha mpambanaji Selelii halafu kakanyimwa tiketi ya chama kwa ujanja ujanja wa Makamba kwa kuwa kazi yake ilikiwa kummaliza Selelii basi. Kaambieni kama kamebadilika tunakakaribisha kwenye jamvi.... tatizo hivi vijamaa vikishakula hela ya Rostam vinakuwa haviaminiki tena.
Kuna kengine kapo Chadema kana uwezo wa kupanga hoja lakini tatizo inadaiwa kameshakula kwa hiyo hukaambii kitu, kamekuwa kajeuri kweli baada ya kununua Range Rover.
Kanunua Range Rover au Hammer labda nakosea wapo wawili wote ni wa RA!!!!!! Huyu RA ni Mungu atuokoe maana anajitia yuko kila mahali, tumvue pia kama gamba!!!!!!
 
Haitatokea kamwe viongozi wa ccm kuikemea serikali. Hiyo bashe asahau na aiondoe mawazoni mwake. Ccm ni chama dola. Ni wakati wa Nyerere tu ndiyo chama kilikuwa na uwezo wa kukemea viongozi.
 
RA ameshasulubiwa, anamtetea JK na wengine, maana Mtanzania lilishaanza jana na leo kumtaja na yeye ni fisadi aondoke. Kazi kubwa.
Ila jamani mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni, Bashe ameandika vizuri na hii naona kaandika haraka haraka kutoka kichwani, maana yake akitulia anaweza kuandika hata ripoti nzuri si kama ile yenye mambo ya kusema JF imeanzishwa na watu wa Chadema, japo ina mambo mazuri pia. Bashe ni hazina nzuri akipewa nafasi na akiachana na mabosi wake, umri unamruhusu

Tina I think you got it wrong; The house boy is hitting JK himself maana ndiye muasisi wa siasa za maji taka ndio maana ana-refer 1995. JK na kampuni yake (RA, Nchimbi, EL, Kamara....) walianza kujipanga kwa urais wa 2005 lakini huku wakiwaua kisiasa wenye kuonekana ni tishio kwao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom