Sema wewe na siyo sisi maana wapo wanaompinga.Fisadi membe mlipokua mnakula hadi kututapikia wananchi mliona sawa sisi tunamtaka magu aendelee kuwa nyoosha
Mtenda hutendwa! Membe ana hali ngumu mpaka anapiga magoti kana kwamba ni mtakatifu. Si aongee na wanao mpa kashi kashi sisi personal matters zinatuhusu nini!Aisee maneno ya waraka huu yanamuhitaji mtuu jasiri kuyasema hasa wakati huu na aliyeyasema ni jasiri
Serikali ya Libya haijengi reli bali inapigana Vita! Acheni kupenda dezo!Pesa za libya zirudishwe serkalini zijenge reli
Fisadi membe mlipokua mnakula hadi kututapikia wananchi mliona sawa sisi tunamtaka magu aendelee kuwa nyoosha
Hayo mabilioni ya Libya, una kielelezo chochote? Naamini siyo kweli.Upuuzi na uomgo , eti kampeni na ufisadi.
Hivi huyu siyo yule wa mabilion ya Gaddafi, siyo yule wa clip za kupindua serikali?
Shetani hana tone la aibu.
Inakuwaje huyu aombwe kuzirudisha wakati wengine wanalazimishwa????!! Hahaaaaaa #niguse ninukePesa za libya zirudishwe serkalini zijenge reli
Yeye anaongea tu! Awami ya tano ni vitendo tu. Sasa nani kiboko?Dah ningekuwa mwanaccm ningekuwa ni team membe.waraka kiboko sana huu kwa ccm na serikali ya awamu ya tano
Je vp kuhusu nyumba za serikali na kivuko?Pesa za libya zirudishwe serkalini zijenge reli
Sisi au wewe?Fisadi membe mlipokua mnakula hadi kututapikia wananchi mliona sawa sisi tunamtaka magu aendelee kuwa nyoosha
Maneno yenu hayo !!!Pesa za libya zirudishwe serkalini zijenge reli
Hiyo ni kauli thabiti. Ni sawa na ile ya shahidi wa uganda aliyeifia dini ya Kikristo. Alipewa vitisho, aliona wenzake wakiuawa, na yeye akielekea kwenye njia ya kifo lakini bado kwa ujasiri mkubwa alinena:KAMWE SITAABUDU MTU WALA MIUNGU WENGINE.
***akimaanisha kamwe hataenda jumba jeupe kupiga magoti kuomba msamaha**
Wanalumumba njooni huku muone nguli wa kidiplomasia alivyowaambia