KOMBAJR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 5,827
- 1,276
Mwigulu ni kamanda wa kweli, lazima aisambaratishe chadema
kwenye hili ukamanda cyo issue zingatia ushauri.
Mwigulu ni kamanda wa kweli, lazima aisambaratishe chadema
Mwigulu ni kamanda wa kweli, lazima aisambaratishe chadema
Wewe mwenyewe hewa tu huna jipya ungekuwa usafiri ungekuwa baiskel.Kikwete anampongeza, ndugai anamsifu, kuna wabunge maccm wakiona amesimama basi ni makofi to. Naona sio yeye tu wakumlaumu bali wate wanaoshadidia kila ovu alifanyalo.
Nampongeza mwigulu kwa kuwaumbua wauwaji
Mpaka ifike 2015 matusi yote mnayotukana haya yatawaishatu,hadi wazazi wenu mtawatukana tu.Ataanza na masaburi yako
Hakuna nchi ambayo inatawaliwa na wananchi bali wananchi huchagua mtu au watu wa kuwaongoza kwa niaba yao.Mimi mbona naona kinyume chake? Au wenzetu mmelala usingizi bado?
Hivi mnapopita mitaani mmevaa yale mashati yenu mnapozomewa inamaanisha nini?
Mwigulu ni virus mkuu. Mtakapokuja jitambua, Tanzania itakuwa chini ya utawala wa wananchi.
Salaams,
Kila kukicha ni wewe na kila uchao unavuma kwa mambo ambayo hayana msingi na wala hayana mwelekeo wa kuiendeleza Iramba Magharibi. Yawezekana umesahau jukumu lako kama mbunge wetu matokeo yake unafanya kazi za CCM na serikali ndani ya Bunge. Kumbuka kuwa wewe haupo bungeni kuiwakilisha serikali, au usalama wa taifa au CCM, upo bungeni kwa niaba ya wana Iramba Magharibi. Mengi unayozungumza bungeni ni yale uliyonayo kichwani mwako na si yale ambayo wana Iramba wamekutuma.
Huna sifa za kuwa mwakilishi wa wana Iramba. Ulipoteuliwa na wana CCM kugombea ubunge wana iramba wengi walidhani wamepata mtu wa kuisogeza Iramba. Niliwaskitikia sana wana Iramba wenzangu kwa kuwa na mtazamo huo. Ni kwa sababu walikuwa hawakujui. Mie niliyepata kukufahamu japo kidogo nilisikitika sana. Nakumbuka ulipokuwa UDSM kipindi kile cha mgomo wa kushinikiza marehem Mkili atolewe magereza, kila uliposimama kutoa hoja watu walikuzomea na kukutaka ukae chini. Si kwa sababu walikuwa wankuchukua, ila kwa sababu hukuwa na uwezo wa kujenga hoja za kushawishi watu. Hilo liko wazi, watanzania walio wengi wanakuzomea kila uzungumzapo bungeni. Sidhani kama hiyo ni sifa nzuri kwa kiongozi mzuri.
Umekuwa ukihusishwa na mambo mengi ya hovyo, wahenga walisema lisemwalo lipo.... Sidhani sana kama unajitambua na unatambua uyafanyayo. Wakati mwingine huwa nafikiri huenda yale maisha yako ya kukaa porini kwa muda mrefu ukichunga ng'ombe yaliathiri ukuaji wako kiakili kiasi kwamba hujitambui, huwezi kujenga hoja zikashawishi watu, ukatumiwa na wenzako kwa kila aina ya jambo lisilojema na wewe ukalibebea bango pasipo tafakuri ya kutosha. Ama kwa hakika umekuwa limbukieni wa kila jambo. Kumbuka cheo ni dhamana, na hukuzaliwa kuwa kiongozi milele. Muda wako utakwisha watakuja wengine nao watapita. Ni vema sasa ukatumia muda huu kufanya mambo ambayo watu watakukumbuka nayo kwa wema.
Ulikuwa mchunga ng'ombe hebu kumbuka kufanya mambo ambayo yatawasaidia wale wachunga ng'ombe uliowaacha wanataabika. Think wider, achana na ulimbukeni wa kisiasa na kulewa vimadaraka ulivyo navyo. Jitambue kuwa wenzako wanakutumia, ukichujuka watakumwaga. Si unajua mwisho wa vuvuzela ni nini.
Shukia
Sasa mkuu ni na wewe hewa kweli lisu anahoja gani zaidi ya kukaa anaomba miongozo na utaratibu,lisu mnapswa kumtibu kwanza ule ugonjwa wake vinginevyo mnajikaanga kwa mafuta yenu wenyewe.Sidhani kama anahitaji attention ya GT's...CCM walimfurahia mwanzo wakidhani sasa wanaweza kukabiliana na hoja za Lisu...sasa hivi washajua kuwa wamepata dafu mwenzao ...
Ushauri wa bure kutka kwa mchunga ng'ombe, kama hatomuelewa mchunga ng'ombe sisi wanywa mbege atatuelewa huyu?Salaams,
Kila kukicha ni wewe na kila uchao unavuma kwa mambo ambayo hayana msingi na wala hayana mwelekeo wa kuiendeleza Iramba Magharibi. Yawezekana umesahau jukumu lako kama mbunge wetu matokeo yake unafanya kazi za CCM na serikali ndani ya Bunge. Kumbuka kuwa wewe haupo bungeni kuiwakilisha serikali, au usalama wa taifa au CCM, upo bungeni kwa niaba ya wana Iramba Magharibi. Mengi unayozungumza bungeni ni yale uliyonayo kichwani mwako na si yale ambayo wana Iramba wamekutuma.
Huna sifa za kuwa mwakilishi wa wana Iramba. Ulipoteuliwa na wana CCM kugombea ubunge wana iramba wengi walidhani wamepata mtu wa kuisogeza Iramba. Niliwaskitikia sana wana Iramba wenzangu kwa kuwa na mtazamo huo. Ni kwa sababu walikuwa hawakujui. Mie niliyepata kukufahamu japo kidogo nilisikitika sana. Nakumbuka ulipokuwa UDSM kipindi kile cha mgomo wa kushinikiza marehem Mkili atolewe magereza, kila uliposimama kutoa hoja watu walikuzomea na kukutaka ukae chini. Si kwa sababu walikuwa wankuchukua, ila kwa sababu hukuwa na uwezo wa kujenga hoja za kushawishi watu. Hilo liko wazi, watanzania walio wengi wanakuzomea kila uzungumzapo bungeni. Sidhani kama hiyo ni sifa nzuri kwa kiongozi mzuri.
Umekuwa ukihusishwa na mambo mengi ya hovyo, wahenga walisema lisemwalo lipo.... Sidhani sana kama unajitambua na unatambua uyafanyayo. Wakati mwingine huwa nafikiri huenda yale maisha yako ya kukaa porini kwa muda mrefu ukichunga ng'ombe yaliathiri ukuaji wako kiakili kiasi kwamba hujitambui, huwezi kujenga hoja zikashawishi watu, ukatumiwa na wenzako kwa kila aina ya jambo lisilojema na wewe ukalibebea bango pasipo tafakuri ya kutosha. Ama kwa hakika umekuwa limbukieni wa kila jambo. Kumbuka cheo ni dhamana, na hukuzaliwa kuwa kiongozi milele. Muda wako utakwisha watakuja wengine nao watapita. Ni vema sasa ukatumia muda huu kufanya mambo ambayo watu watakukumbuka nayo kwa wema.
Ulikuwa mchunga ng'ombe hebu kumbuka kufanya mambo ambayo yatawasaidia wale wachunga ng'ombe uliowaacha wanataabika. Think wider, achana na ulimbukeni wa kisiasa na kulewa vimadaraka ulivyo navyo. Jitambue kuwa wenzako wanakutumia, ukichujuka watakumwaga. Si unajua mwisho wa vuvuzela ni nini.
Shukia
...ana mke mchaga...nashangaa alitoka wapi na huyu chizi....maana wachaga wajanja....Du! Kumbe jamaa ana mke, lakini kichwani ndiyo debe hali achi kutika!
mwigulu sijui ameathiriwa na mdudu gani maana utafikiri hakusoma! anajigamba ni first class labda za kuiba mtihani maana sioni akili za kuzaliwa na zo pale. mtu mwenye asili huwa anatumia sana busara si lugha za kunuka na akili legelege kama zake