Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 245
- Thread starter
- #21
Issue si u-CCM wake;bali ni ubora wa hoja zake!
Nani aliyekwambia kazi ya kukosoa na kusahihisha viongozi wetu ni ya CHADEMA pekee?
Shivji ni chama gani?Warioba je?
Jambo la muhimu hapa ni kuwa Mwigamba yupo sahihi kihoja;chama chake si muhimu kwangu!
Mtoa hoja ya kumuhusisha mwigamba na uccm haina mashiko.
Mwigamba ni mwanachama mfu wa ccm.