Kalamu ya Mwigamba ni mwiba mkali sana kwa Serikali hii ya kufikirika.
Tatizo la sisi watanzania jamaa akianza kucheka nasi tunacheka sijui
tunaelekea wapi maana kila mahali mambo hayaendi sijajua mwisho
utakuwaaje kama hatujaanza chapana sijui. Hapa tulipo ni pagumu
mno na jamaa na serekeli yake sidhani wana mpango mkakati wa
kuokoa hii hali watu wamechoka vibaya sana hawa washauri wake
sijajua wanamshauri nini la msingi huyu ******, nachoona ni
wingi wa magari kwenye misafara utadhani amepindua nchi,
Mwigamba kamshauri akae atafakari ahadi zake na sijajua aliyemuaminisha
kuwa zitatekelezeka ni yule aliyekuwa akikaa magomeni ambaye
hatunaye au ni nani, wewe mtu ameshidwa kjenga barabara za mitaani
anakambia atajenga flying over hii ni ajabu sana ****** kaa chini
na hao wa CCM wako then mjue mtoke vipi