crocodile
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,864
- 2,951
Kumtukana mtu ni rahisi sana kwa sababu ndio upeo wa fikra zenu unapoishia.Pole kwa kuporeza muda wako kuandika upuuzi.
Nimesoma paragraph nne za mwanzo.
Unatuambia sababu za kuvunjwa nkataba zipo wizarani wananchi wazifuatilie.
But mwanzoni umesema wewe ulifuatilia sana hii issue.
Sasa sitaku kukutukana ila kiufupi stori yako ni ya kutunga.
Na upo shallow sana uvccm wewe
FACT: Kesi nyingi za madai tunashindwa kwa sababu kweli wapo watz wenzetu wanakuwa double- agents kusaidia upande wa pili ili nchi ikishindwa, wao wanavuna mgao huku wakiiacha nchi ikipata hasara kubwa. Na ndio waliojazana humu JF pamoja na vilaza wasiojua kinachoendelea kujaza mashudu na harufu mbaya kutetea wezi hawa. JPM yuko Serikalini zaidi miaka 20 anaijua hii michezo.