Baikal Aguido
Member
- Jul 13, 2009
- 13
- 0
Huwa sivutiwi sana na siasa za bongo,
wengi wa wanasiasa wetu ni blabla nyingi na wanapenda saaana kuvaa ngozi za kondo. Mbaya zaidi ni waoga saana kuukabili ukweli.
Hivi hatujiulizi michakato inayotumika kupata viongozi huko mbelembele?!
Namuheshimu sana Mkubwa, Mh..ila naimani kuu na Kanisa katoliki. Kwanza tu, mpaka kufikia hatua ya kuitwa Padri, ni enough kipimo of maturity, hasa kwa swala zima la busara. Hii ikiwemo uchambuzi wa mambo.
Hivi, sisi waafrika tutaishi kwa kuukimbia ukweli mpaka lini?????????
Kunadhambi yeyote tunapopewa mwanga wa kuchambua mchele ni upi na chuya ni zipi????
Nini hasa umuhimu ya vyombo vya dini? Kwanini basi huwa tunaomba dini ihubiri amani na utulivu kipindi cha chaguzi???
Nimesikitika saana wale wanaotaka kuliachia jukumu serikali kupitia tume na vyombo vingine vya serikali, hii ndiyo sababu miji inatushinda kuwa misafi, tukisubiri serikali iingilie kati.
Kila la kheri,