Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,504
ombi lako jaribu tena baadae network iko busy
Nimejaribu tena naona inaita tu! Soma jibu lako, nasubiri PM...
ombi lako jaribu tena baadae network iko busy
Hahahaha! dada yangu anaipata habari yake kisawasawa. Rough Rider si ndio zile zenye vipelepele? Lol![/QUOTE]
prisaizili!huna hizo hujamvua kabisaaaaaaaaaaaaaa,na hamuwezi kuelewana.
huwezi amini shemeji,kwa sasa mechi za mchangani nimekuwa extra keafuli,na bila kuvaa zana sijapiga kicheche.
Hahaha! Bashee bana. Hapa nimezikosa baraka za mpwa Fidel. Yeye weekend huwa inaanza Alhamisi.
masalino tigo tena! loh unafata maandiko ya kitabu gani?
Mi naona za kike ni nzuri zaidi kwa sbb unakuwa unahisi km unapiga bare footed tu! Na hapo hazitakufrustrate wewe mchapaji!
Hahaha! Bashee bana. Hapa nimezikosa baraka za mpwa Fidel. Yeye weekend huwa inaanza Alhamisi.
yupo bar!ameniesiemuesi ameshafika ndovu ya kumi
Lol! Mpwa! Hahahaha! water proof? I deserve kupata ufafanuzi.
Lol! Ngoja nami nisepe, mpwa atanimalizia.
twende zao!stendi ya kwanza chawote.lakini kumbuka shemeji,
IF YOU WOMANISE,PLEASE CONDOMISE!ndo sera yetu WAZAWA!(naomba niirudie kwa msisitizo,HIYO NDIYO SERA YETU WAZAWA)
mpwa unajua ile sehemu basi kwakuwa wengi wametokea huko(isipokuwa wale wa kisu) si salama sana, watalaamu wanakwambia kuna bacteria wa kutisha mno, sisi tunaoweka midomo huko tukimaliza huwa tunatumia mouth wash sasa kwa wale wanaoloweka nanii zao kuna d..k wash kwani? ndio maana natumia ile miplastiki kujizuia nisichafuke.
Hahahaha! Shemeji twende kwenye point sasa. Ya kiume au ya kike?
Mimi na huyu mlala pembeni yangu kihalali, tukiwa na akili timamu na bila ya kulazimishwa na mtu yeyote tukiwa na nia moja na bila ya kushawishiwa na mtu yeyote tumeamua kutumia kondom kama njia ya kufanya uzazi wa mpango. Tuko katika mtihani mzito wa kuamua aina ya kondom itakayotufaa katika zoezi hili. Hatujawahi kutumia kondom huko nyuma kwa pamoja (mi nlishawahi kutumia kwenye mechi za mchangani, sijui kama wife alishawahi kutumia. Naogopa kumuuliza nisije vunja ndoa yangu kwa wivu)
Nisaidieni ushauri hivi kondom ipi bomba kwa wanandoa. Ya kiume au ya kike? (Wife kama uko JF nisamehe na nakuomba usichangie lolote kwenye hii mada)
hiyo bado!Tumia FAMILIA. Kuna matangazo siku hizi ya kondomu aina hii. Wanasema hii ndiyo kondomu maalumu kwa wanandoa.