Wapwa na mabinamu zangu nisaidieni kufanya uchaguzi

Za kike sio kabisa kaka yangu yani inaeza ishilia humo ndani ikawa tabu baadaye tumia tu za kiume much safer
 
ebanae mimi huwa natumia kondomu kwa kwenda mbele yaani mechi za ndani ya nchi hata zile za njee ya nchi na huwa natumia kondomu yoyote iliyoko mbele yangu ila kujali jina lake zamani nilikuwa nafikiri kuwa bei ya kondomu ndiyo inamaanisha ubora wa kondomu niokaja kugundua kuwa kwamba kwanza bei inategemeana na vitu vingi sana kuna taasisi zimeamua kulipia kiasi fulani cha bei za kondomu ili ziwafikie watu wenye kipato cha chini kwa bei powa ndio maana zinatofautiana bei ila uboa mwana ni ule ule tumia utakuja niajibu hapa jf mimi nimetumia kwa muda mrefu sana na sijaona tatizo lolote sijawahi kupasukiwa na kondomu wala nini na size yangu sio haba so in kondomu i trust
 
Za kike sio kabisa kaka yangu yani inaeza ishilia humo ndani ikawa tabu baadaye tumia tu za kiume much safer

Hivi kwa nini wanawake iwa hampendi kukumbuka condom? na jukumu la kubeba na kununua mnamwachia mwanaume kwa nini hivi?
 
hahahaha mpwa acha hizo, hujui huyu FL1 ananizimikia! Najua ipo siku atanipa tunda la uzima!
Mpwa utafaidi sana halafu ile Avatar yake kama ndivyo FL1 alivyo basi dunia hii kuna watu wanakula vitu vitamu kama asali mchanganyiko wa nyuki wakubwa na wadogo!!
 
Hivi kwa nini wanawake iwa hampendi kukumbuka condom? na jukumu la kubeba na kununua mnamwachia mwanaume kwa nini hivi?
Hata mimi hili huwa linaniudhi kwani mwenye jukumu la kuzuia UKIMWI na mimba ni mwanaume pekee?? Na ndio maana wanawake wa jinsi hii wakikutana na wanaume wababe wanapiga mtanange kavu kavu!! Kwanini nasema hivyo kwa sababu saa hizo ni saa tano halafu maduka yote na baadhi ya bar za karibu zimefungwa na wote wameshapiga mitungi kwahiyo no way out ndio zinakuja zile za ajli kazini au kama ni siku ya kufa hata ufanye nini utakufa tu! LOL!! Wanawake bebeni kondom ni kinga madhubuti!! By thw way umeme wa IPTL unawaka lini jamani?? Uuwwiii!! Uuuwiiii!! UUwiiii!! Silali giza tena nimekataa
 
kaka chris na wifi hongereni sanakwa uamuzi huo, ila napenda ufahamu kwamba condom zetu hizi huwa zinapasuka!! kwa hiyo unapofanya utafiti tafuta jina la ile imara kuliko zote,

Halafu mi huwa sipendagi uniite kaka. Ni vile tu hujuagi.
 
Mpwa utafaidi sana halafu ile Avatar yake kama ndivyo FL1 alivyo basi dunia hii kuna watu wanakula vitu vitamu kama asali mchanganyiko wa nyuki wakubwa na wadogo!!

ahahahhahah....sipo upo kweli..hii in ipi? kama umeme bado njoo nairobi kwetu 24/7 huku hamna cha giza giza vitu unakula ukiviona kweupeeeeeeeeeee!
 
hee! haya KAKA nimeweka herufi kubwa kabisa maana hizo herufi ndogo huzipendi, hazionyeshi msisitizo, au wewe una suggest nikuiteje?

Nikivaa mawani yangu, Kaka huwa inasomekaga Darling. Vipi unaipenda mawani yangu?
 
Nikivaa mawani yangu, Kaka huwa inasomekaga Darling. Vipi unaipenda mawani yangu?

GEOFF:hehehehe!shemeji vipi?mimi leo siongei sana kwasababu nimesahau pasiwedi yangu ya jamii.NIMESHALEWA.mkuu nguli ana mpango wa ZIADA na mpiganaji mimi
 
Back
Top Bottom