Kibosho1 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2017 Posts 2,621 Reaction score 4,298 May 4, 2020 #1 Mimi ni mtumiaji mpya wa twitter ila haya maneno bado sijajua maana yake wanayatumia sana huko hasa kigogo 2014. Mwenye kujua itapendeza sana kama tutajuzana "Wapwa na MATAGA"
Mimi ni mtumiaji mpya wa twitter ila haya maneno bado sijajua maana yake wanayatumia sana huko hasa kigogo 2014. Mwenye kujua itapendeza sana kama tutajuzana "Wapwa na MATAGA"
zege la nyasi JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 938 Reaction score 1,259 May 5, 2020 #2 Subiri wapwa waje ila MATAGA hayatajisema hapa😂😂😂 Usishangae wewe kuwa mmoja wa hiyo misimu ....
Abuu Abdurahman JF-Expert Member Joined May 9, 2017 Posts 1,446 Reaction score 1,813 May 5, 2020 #3 Kuna mtu humu aliandika kuwa ni Make Tanzania Great Again (mimi ni mgeni pia wa hili neno, so i stand to be corrected ) Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu humu aliandika kuwa ni Make Tanzania Great Again (mimi ni mgeni pia wa hili neno, so i stand to be corrected ) Sent using Jamii Forums mobile app
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,723 Reaction score 22,613 Nov 10, 2020 #4 Abuu abdurahman said: Make Tanzania Great Again Click to expand... Leo ndio nimejua, iwapo hii ndio maana yake iliyousudiwa
Abuu abdurahman said: Make Tanzania Great Again Click to expand... Leo ndio nimejua, iwapo hii ndio maana yake iliyousudiwa
Greg50 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 1,986 Reaction score 2,501 Nov 10, 2020 #5 Make Tanzania Great Again
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 176,434 Reaction score 194,347 Nov 10, 2020 #6 Wapwa - wanaofanana... Mataga - Bendera kufuata upepo... Cc: mahondaw